..indiana ni toss up, kuna polls zinaonyesha Obama anaongoza kwa 2 points lakini hii state inaweza kwenda kwa yeyote. North Carolina, Obama anaweza kushinda kwa double digits, ingawa kuna republican forces zinataka kumsadia mama kiana. Kentucky, ni Clinton bila ubishi. Oregon ni tailor made kwa Obama. Puerto Rico, itachukuliwa na Hillary so as West Virginia!! lakini Guam ni Obama..........kutokana na hiyo "map madness," HRC kwisha habari!! ubishi tu.
SUV,
politics za Guam ni kama za HI, kwa inside info's nilizonazo....Guam ipo ready for change!! yes, 5 delegates matters a lot kwenye close primaries kama hii!!.
kwani ile effect ya bill richardson haiwezi kumsidia jaluo kunyakua latino votes huko puerto rica?.
www.exposeobama.com
enjoy...
Mjaluo wetu anachechemea, yuko hoi bin taaban, kathibitisha maneno ya Nyani "ndivyo Tulivyo" ngoja nikamdai refund ya mchango wangu kama Kikwete na BAE!
hahahahaaaa...Rev. refund sahau kaka....
.....fix huyo, hakuwa ka-donate mahala popote, kwanza wamemtoa nduki kusema paka jizi kwenye ile kamati ya fweza pale kanisani kwake!! maana shavu lilikuwa linatutumka kama "mtoto wa biscuti."...shame on you Rev. Kishoka!!.
.....Rev. Kishoka, is our worst person of the dayyyyyyy, kwa kujipakazia ku-donate kwa BO while hajafanya hivyo na ufisadi wa pesa za kanisa!!!.
03/24/08 CHECK CRD PURCHASE 03/20 OBAMA FOR AMERICA 312-819-2416 IL 432374XXXXXX9114 083840017087342 ?MCC=8651 091000019DA $50.00
Thank you for your donation!‏From:BarackObama.com (info@barackobama.com)Sent:Thu 3/20/08 4:42 PMTo: xxxxxx (xxxxxx@msn.com)
Dear xxxxxx,
Thank you for your generous donation of $50.00.
Your gift will be immediately put to work building a campaign to change our country and our politics for the better.
Looking for more ways to get involved?
Head over to My.BarackObama.com where our growing set of tools puts the future of this campaign in your hands:
You really sound like Hillary now, an angry and bitter old white woman!
You know I was kidding on refund, naongeza mchango mwingine ingawa kijana ana PoP!hahahahaaaa...Rev. refund sahau kaka....
...except for the fact that, I'm YNIM, happy and sweet young black(African-Tanzanian) man!!. what??
Susu,YNIM it's true that we must not be complacent with 5 delegates, and I am hoping for the best. I am not convinced that Puerto Rico will necessarily go for Hillary, hii inatokana na ile myth ya Latinos lakini I think Puerto Ricans are not Mexican Latinos. Maybe you think that because PR changed it from caucus to primary, that might be more favorable to Hillary? I hope that Jaluo keeps the margins tight.
Kwa nini tuandikie mate wakati wino upo? shika adabu yako!
...umenichesha sana yaani kwikwikwi, ati "shika adamu yako" kwikwikwikwi, sound like my late grandma!!! LOL.
....hamna lolote, hiyo kitu umecopy/paste kwa staili ya kufoji kama ile bank statement iliyokupatia VISA ya kutinga USA!!.
....wewe ni comedian, kuanzia leo nitashika adabu yangu na adabu itanishika mie!!! asante kwa kunikumbusha.
...i'm sending another 100$ to Obama,Mccain lazima tukumalize na GOP wenzako maskini...mama sio factor tena habari yake kwisha sasa!