Jimmy Carter....the worst U.S. president ever....kwikwikwiiiii
Lol anacheza ligi moja na Dubya ama Dubya kamzidi? Alafu Edwards naona kasema akiombwa kuwa running mate atachomoa(pride na ego?).
Hapana bana! Dubya hayuko katika level moja na Carter. Dubya kakaa mihula miwili. Carter walimtosa baada ya muhula mmoja tu. Kwenye uchaguzi wa '80 alishinda majimbo sita tu kati ya 50. During his administration there was a creepy malaise in the American society....no wonder why he lost the way he did.
The thing is we have to bring in all the factors of what happened before he became the President. The same as Obama Boy, he will be inheriting a country which is in mess, it may take longer to clean a mess than to run a country, and that can bring him down like it did to Carter!
It didn't take long for The Greatest Communicator to restore America's respect...
At least, you do not eat up Hillary's word that talk is cheap! Maana Obama is also a Great Communicator!! Unanifurahisha unapokuwa objective!
Haya tupatie habari za Haninty anasemaje? Maana baada ya Ed Rendell kuwasifia akina Fox, tumeshakuwa na uhakika ya kuwa Hillary is looking for support among the Repugs lakini she should instead strengthen the Democratic base.
2000-2007 Returns
Feds Taxes Paid: $33.7 million
Charity: $10.2 million
Her Senate Salary: $1,051,606
His Presidential Pension: $1,217,250
Her Book Income: $10,457,083
His Book Income: $29,580,525
His Speech Income: $51,855,599
Nyani: hii wiki inaisha vibaya kwa Hillary na McCain:
Hillary: Advisor wake Mark Penn alikuwa busy anawasaidia Columbia to negotiate trade agreement, ingawa Hillary alisema she opposes it. Sasa Penn ame-apologize but after teh hysteria clinton made about NAFTA and Obama, Penn has to resign or else it will be trouble and she looses further credibility with blue collar workers.
McCain: got booed at MLK memorial ceremony na alisema it was only in the 90's that he realized the imprtance of MLK when he was 60! Until then he was busy dealing with Vietnam! Alafu mtu mweusi ndo alimshikia mwamvuli! All the wrong moves!
Mmh! hivi bado unaona kama Babu atawezana na Obama?
1.CHENNEY VOTED AGAINST MANDELA'S FREEDOM.Nilijua watamzomea McCain kwani ustaarabu hawana! Watu wote hufanya makosa. Sasa mtu anapokuja na kukiri bila spin yoyote mbele yako halafu unamzomea...what does that say about you? Nijuavyo mimi Mac hategemei kura ya weusi. Sikumbuki Republican yoyote yule ktk miaka karibuni aliyewahi kupata asilimia zaidi ya kumi katika uchaguzi wa uraisi.
If anything today's booing will come back and bite them in the but in November. Unakumbuka kwenye mazishi ya Senator Paul Welstone wa MN walivyomzomea Trent Lott? Siku ya uchaguzi ilipofika watu wakampigia kura candidate wa Republican....So the booing was expected and I don't think it's an issue.
1.CHENNEY VOTED AGAINST MANDELA'S FREEDOM.
2.MC CAIN VOTED AGAINST MLK COMMEMORATION.
NYANI NGABU SUPPORTS THEM!THERE FORE MAKES SENSE THAT MWAFRIKA NGABU NDIO HIVYO ALIVYO!
ACHA BIAS NYANI..WE SUBIRI REVERAND WRIGHT NAYE AKISHA APOLOGIZE THEN TUTAJUA UKWELI KAMA KWELI WEWE NI MTU MWENYE KUSAMEHE.. MAANA UNAONEKANA WEWE NI KAMA WALE MACHIFU WETU WA ZAMANI WALIOUZA WENZAO UTUMWANI NA NCHI KWA MKOLONI!Unlike you I believe in forgiveness.
ACHA BIAS NYANI..WE SUBIRI REVERAND WRIGHT NAYE AKISHA APOLOGIZE THEN TUTAJUA UKWELI KAMA KWELI WEWE NI MTU MWENYE KUSAMEHE.. MAANA UNAONEKANA WEWE NI KAMA WALE MACHIFU WETU WA ZAMANI WALIOUZA WENZAO UTUMWANI NA NCHI KWA MKOLONI!
MSAMAHA NI MSAMAHA TU..ILO TUNAKUBALIANA!LAKINI PASTOR WRIGHT YEYE ILIKUWA NI VIEWS TU AMBAZO NI REALITY NA ALICHOOSE WRONG WORDS TO DELIVER WHEREAS WAKINA MC CAIN NI VITENDO VYAO VIOVU!BOTTOM LINE AKIOMBA MSAMAHA NI KWA MATAMSHI MABOVU NA SI VITENDO VIOVU!WHAT REMAIN TO BE SEEN IS IF EMPATHY WILL TAKE ITS COURSE THIS TIME AROUND!Oh yeah...aje tu aombe radhi kama anaamini alikosea. Mi ntamsamehe. Lakini anapoendelea kijificha haileti picha nzuri. Hapa duniani ni vyema kuwa moyo wa kusamehe kwani sote hukosea. Na hili unapingana nalo?
A hospital in Ohio is disputing a story often told on the stump by Hillary Clinton, in which a woman was allegedly refused care over an inability to tender $100, and later died of complications from a stillbirth.
The hospital maintains that the woman in question was in the care of an obstetrics practice affiliated with them when she died, and had never been refused service. They also say that the Clinton campaign never contacted them to check on the story. "We implore the Clinton campaign to immediately desist from repeating this story," said the hospital's CEO.
Clinton spokesman Mo Elleithee said the campaign verifies the anecdotes that they are told. "In this case, we did try but were not able to fully vet it," Elleithee said. "If the hospital claims it did not happen that way, we respect that."
http://tpmelectioncentral.talkingpointsmemo.com/2008/04/colombia_fires_mark_penn.phpThe Colombian government has terminated its contract with chief Clinton strategist Mark Penn's lobbying firm, after he apologized for personally meeting with their ambassador on Monday to discuss strategy for a free-trade deal that Hillary Clinton publicly opposes.
Apparently the Colombians did not take kindly to Penn calling the meeting "an error in judgment." From their statement: "The Colombian government considers this a lack of respect to Colombians, and finds this response unacceptable."
Hiyo story ya hospitali ni honest mistake. Yeye aliambiwa na Sherriff Deputy mmoja kuwa hivyo ndivyo ilivyotokea na yeye akairudia hii story kwenye capaign stump.
Halafu usikute hiyo hospitali wanakataa tu kwa vile ni publicity mbaya kwao.