US Election Coverage 2008

US Election Coverage 2008

...upo predictable sana, yaani mpaka na kuwa disappointed! nilijua tu utakumbushia hiyo, ask yourself kama nilikuwa serious?

...kuita watu bargainers ni modern way ya kuita watu "uncle tom," to me hii jinsi ya kufanya mambo ni weakness kubwa sana inayoturudisha nyuma sisi blacks hapa america!! sasa kila mtu akiwa challenger kama Jesse au Sharpton, halafu ndio iweje??
 
Jamani naomba nitoe clarification Mark Penn resigned from his post as chief strategist lakini anaendelea kuwa pollster na kuishauri campaign ya Mama na alipoulizwa leo Hillary kashindwa kutoa jibu linaloeleweka. Bado naendelea kusema y akuwa angeachana kabisa na huyu Mark Penn! Lakini ndo hivo maana naona mzee (bill) ndo anaendesha hii campaign na ndo mshikaji wake mkubwa Mark Penn.
 
Huyu ana make sense sana!

Obama won the general election yesterday and he?ll make a fine President too. Obama was looking for more than American Presidential Idol points and his questions were a masterstroke of strategy. Those shallowly focusing on Obama?s sly and deferential style of questioning in the hearing failed to see one thing; he has bound the military and to some extent, the administration with the answers Petraeus and Crocker gave. 1. We cannot define success as the elimination of Al Qaeda in Iraq. 2. We cannot define success as the elimination of Iranian influence in Iraq. Rather than grandstand on the outrage of the war, he has built his ammunition for a contrast with McCain in an election by going after the core of their BS argument and you will see it come to pass. You see, the political objectives for the war in Iraq, other than the overthrow of Saddam, have been soundly defeated. They cannot be achieved militarily. Generals fight wars and they do so to achieve political objectives set by responsible Commanders-in-Chief where diplomatic action has failed. If the decorated General Petraeus and the very experienced Ambassador Crocker sat there and basically said, the political objectives for which military commitment is being requested are not attainable, and are not reasonable definitions of success, the case for staying the course in the long-term is destroyed. This is not the same as advocating hasty withdrawal, which has been McCain?s parrot refrain. If you chose to be impressed with the theater, you missed the strategic point of the questions. Senator Obama asked his questions very innocuously (he had to look passive, otherwise it wouldn?t have worked) and they probably didn?t fully understand the ramifications of their sworn answers on how they sell the military strategy going forward. If they tell Bush to redefine success more realistically, they?re basically agreeing with Obama; if Bush and McCain press on, they are disregarding expert professional and military advice from the ground. Another thing the General and Ambassador went on the record as saying, courtesy of Senator Biden: 3. Chasing Al Qaeda in Afghanistan/Pakistan is more important than chasing Al Qaeda in Iraq. ?and people say Obama isn?t a smart guy?.. Wow! He?s a brilliant political poker player! Lording over Petraeus would have looked arrogant and stupid. They let down their guard and gave simple but damning admissions on what success means. That is the key question. Our military has fought bravely and done what armies are meant to do i.e., take territory. They can return with honor knowing they did that. They cannot police Iraq for the Iraqis. The political objectives that are impossible to attain militarily are: 1. Democracy in Iraq - Iraq is no more democratic today than Saudi Arabia or Iran. Voting blocs in Iraq are controlled by violent militia who must be co-opted and bribed into government for the government to be stable, that's a shameful situation for a global superpower. Soldiers basically pay former insurgents millions of dollars not to fight. There are Americans walking with backpacks of cash in Iraq doing exactly that. 2. Al Qaeda in Iraq has established itself from non-existence under Saddam to a potent, violent source of instability in the region; they can be contained but General Petraeus has admitted, on the record today, that completely eliminating them militarily is an unattainable objective and cannot be used to define success. 3. Iranian influence: Iraq under Saddam Hussein had no visible powerful Iranian influence. Iraq in fact, acted as a useful buffer against Iranian influence in the region. Enter George W Bush, now Iran is a powerful broker in Iraq with more power there than the United States. Ambassador Crocker today went on record as saying; the elimination of Iranian influence in Iraq cannot be a military objective. It is unattainable. 4. Stability in the Middle East - I don't need to tell anyone, Republican, Democrat or otherwise, that the Middle East is more violent and unstable today than it was in 2002. Iran is in an arms race with Saudi Arabia, the Palestinian-Israeli Peace process is stagnant and America's diplomatic credibility is weakened with key Arab allies like Eqypt. Military action has not made us safer. 5. Elimination of weapons of mass destruction ? well, I don?t need to explain that to anyone. Obama asked these questions and he got the admissions the American people needed to hear, on the record. Extending this war serves only to defend a Republican-led mistake. Borrowing money from China to send our troops to die for political objectives that are militarily unattainable is infuriating to many senior officers who value the ultimate sacrifice of their colleagues. Yesterday was a masterstroke!
 
koba,
niliona ile kitu kwa C-SPAN, Sen Hutchson, D-FL(Clinton suppoter) alikuwa ana mwangalia Obama kwa admiration ya ajabu........
maswali yake yalikuwa loaded, ni virahisi sana kwa mtu asiye makini kuingia mtegoni, nitaangalia leo Olbermann jinsi atakavyo dissect!!

McCain wacha aboe kama kawaida yake, anachanganya shia/sunni na iraq/iran...halafu Liebermann na Graham walikuwa mbali kumsaidia!!! aibu.
 
koba,
niliona ile kitu kwa C-SPAN, Sen Hutchson, D-FL(Clinton suppoter) alikuwa ana mwangalia Obama kwa admiration ya ajabu........
maswali yake yalikuwa loaded, ni virahisi sana kwa mtu asiye makini kuingia mtegoni, nitaangalia leo Olbermann jinsi atakavyo dissect!!

McCain wacha aboe kama kawaida yake, anachanganya shia/sunni na iraq/iran...halafu Liebermann na Graham walikuwa mbali kumsaidia!!! aibu.

Eti kwa admiration ya ajabu.....wohohohohohohohooooo....wahahahaaaaaa.....bwaahahahaaaaaa...unacheza wewe. Cha ajabu kuhusu Obama ni nini?
 
Eti kwa admiration ya ajabu.....wohohohohohohohooooo....wahahahaaaaaa.....bwaahahahaaaaaa...unacheza wewe. Cha ajabu kuhusu Obama ni nini?

...jinsi alivyokuwa anauliza maswali yenye akili!! naamini kwamba hujaona hizo clips, bali unaleta tu ubishi wa Simba na Yanga hapa.

nakushauri uende kule kwa kina MKJJ na msee wa wal-mart(unamjua) mkadumishe fikra sahihi za nyerere......
hapa watu wapo objective, si mambo ya zidumu!!! ala.
 
....McCain naona anazidi kuchanganya, Shia/Sunni na Al qaeda/Iran!! hii mix up ni what's up??

Uzee huo....kachumbari/makande ya aina yake anayobwabwaja. Almuradi kama mtutu wa M16 haujatumika, national security kwake haijakamilika.
Mi nampa challenge moja, kama akiweza kugusa utosi wa kichwa chake ndo atashinda, asipoweza, basi Democrats watawin kwa huge margin November. Usiulize kwa nini!!!
 
Mwazange: this is uncalled for! Tunajua kwamba McCain alivunjwa mikono yake yote alipokuwa POW, na hawezi kunyanyua vizuri mikono yake hata kujichana hawezi, lakini ulemavu wake has nothing to do with his mental capacity.
Inawezekana kuwa hayuko clear na Shia and Sunni, but I also think that it is a deliberate repetition of lies in order to later make it look like the truth. I think that McCain is far more shrewd than many thing na hata Republicans wenzake walim-underestimate.
Hii issue ya Iraq, ndo inayoweza kumwangusha McCain lakini pia inaweza kumweka White House kama wamarekani wakiamua they want more of the same. DOn't overestimate the Americans, kumbuka they voted Bush back into office hata baada ya kubangaiza in Iraq!

I think Obama is very intelligent na anajua hilo that is why he is also maintaining a very respectful tone with him, huku akiwa amesha-anza kuweka foundation for a clear distinction between him and McCain on the subject of Iraq na ndicho hicho tulichoweza kuona clearly jana katika Senate hearings.
 
Wewe pia umewahi kuniita mimi Uncle Tom

...issue ya kukuita Uncle Tom ina belong here!! mambo ya kuchukua suala flani toka thread moja mpaka nyingine ni michezo ya MKJJ, MWK na Msee wa wal-mart....sikutegemea kwamba unaweza kwenda low kiasi kile na nilisha kwambia hapa kwamba sikuwa serious! disappointed.....

thx for the wake up call!!.
 
...issue ya kukuita Uncle Tom ina belong here!! mambo ya kuchukua suala flani toka thread moja mpaka nyingine ni michezo ya MKJJ, MWK na Msee wa wal-mart....sikutegemea kwamba unaweza kwenda low kiasi kile na nilisha kwambia hapa kwamba sikuwa serious! disappointed.....

thx for the wake up call!!.

Wewe mbona unakikorosha sana na Mwanakijiji na mke wake....wamekukosea nini?
 
Obama can't win because you Liberals have fallen for the okie doke!! Everybody knows it except you liberals. Have you read Ann Coulter's book?

... you really think neo-cons repubs care anything abouts your black ass,they hate blacks,huyo hannity unayemwimba kila siku hana tofauti na hao kina limbaugh who are just racist,you have no idea zaidi ya mashairi yako tuu humu yasiyo na mwisho,only a damn fool blacka$$ can support stoo-pit Hannity.
 
... you really think neo-cons repubs care anything abouts your black ass,they hate blacks,huyo hannity unayemwimba kila siku hana tofauti na hao kina limbaugh who are just racist,you have no idea zaidi ya mashairi yako tuu humu yasiyo na mwisho,only a damn fool blacka$$ can support stoo-pit Hannity.

Acha kuropoka kama umerukwa na akili. Thibitisha hapa hayo madai yako ya ubaguzi la sivyo wewe ndio mbaguzi.
 
Wewe mbona unakikorosha sana na Mwanakijiji na mke wake....wamekukosea nini?

.....kawauliza, I hope watakueleza nini tatizo! wewe si unataka uwe mume mwenza, unanyatia "baby sister" ndio maana huoni tatizo!!
jamaa yupo fraud, nahisi ni mnafiki na hafai kuaminiwa hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi, let alone self proclaimed title kwamba ndie kinara wa mpambano wa kifra......simpo, huwezi kuwa mpinzani wa SISIEM and @ the same time unafagilia fikra za nyerere!!! it just doesn't make any $en$e......jamaa ni muhuni na kwa maana hiyo I hate him politically!!!

nadhani umetosheka.....
 
Punguza hasira kijana....loh!!

hasira za nini!!? ila wataka kusema kwamba huoni double stds hapo?? angalia historia ya upinzani Tanzania, kabla na baada ya nyerere kupiga marufuku vyama vingi! ni watu ambao walikuwa wanapingana kisera na kifikra na nyerere.....moja ya sababu kwamba upinzani haufanikiwe Bongo(mara hii baada ya kuruhusiwa vyama vingi) ni hii issue ya kwamba upo infiltrated na watu ambao deeply inside ni SISIEM..ila tu hawajapata nafasi huko ndio wanajifanyafanya sisiem this sisiem that!!! I really think MKJJ is genotypically SISIEM but phenotypically Chadema........crown!!! anazuga watu na nia yake hasa ni kujinufaisha binafsi, anataka kupata kotekote!!!.

mfano, Liebermann, kajizuia weeee mwishowe huyo kaenda kule hasa moyo wake ulipokuwa umelalia!! kwahiyo basi aliwatumia tu democrats kujijengea jina kisiasa!! mwingine Zell Miller, Jim Jeffords, Mabera Marandu and the list goes on and on.

nadhani tupo pamoja......
 
Mijitu myeusi ya Marekani ni mijitu ya ajabu sana. Tavis Smiley ameamua kuacha kutoa commentary kwenye kipindi cha Tom Joyner kutokana na vitisho ambavyo amekuwa akipata yeye na familia yake kutokana na kile wengi wanachoona eti yuko too critical kwa Barack Obama. Hivi hii mijitu myeusi sijui lini itastaarabika na kuacha kuwaona wenzao wenye mitazamo tofauti kuwa ni wasaliti. Kwa kweli inanishangaza sana.
 
Mijitu myeusi ya Marekani ni mijitu ya ajabu sana. Tavis Smiley ameamua kuacha kutoa commentary kwenye kipindi cha Tom Joyner kutokana na vitisho ambavyo amekuwa akipata yeye na familia yake kutokana na kile wengi wanachoona eti yuko too critical kwa Barack Obama. Hivi hii mijitu myeusi sijui lini itastaarabika na kuacha kuwaona wenzao wenye mitazamo tofauti kuwa ni wasaliti. Kwa kweli inanishangaza sana.

Hey brother...the use of this type of language simply tells a lot about what kinda person you are. Please stop generalizing. Where is your intellectual ability?
 
Hakuna generalization hapa....ni ukweli mtupu. Juzi juzi wamemzomea Sheila Jackson Lee kwa vile tu anamuunga mkono Mama. McCain naye wakamzomea. Ustaarabu wao uko wapi hawa manyang'au?
 
Back
Top Bottom