Go and find out whats Mormoism and then you will figure out who's gonna get the landslide win.Kwa hiyo mjomba unachotaka kusema ni kwamba Gov. Romney akiingia kwenye GOP ticket itakuwa landslide kwa Republicans in November?
Go and find out whats Mormoism and then you will figure out who's gonna get the landslide win.
angalia choices zake za role models na watu anaowa-admire, then utajua una dili na mtu wa namna gani!! hapa JF jamaa ana wazimia sana Raj Patel(The Truth) na Njabu Ngabu( VRS). Role models wake ni Limbaugh na Hannity..nadhani jamaa ana "identity issues," au PTSD flani hivi tokana na xperience yake pale Shabani Robert!! sijui kama nimeeleweka, bwahahahahaha.

No! hujaeleweka kwa sababu unabwabwaja tu. Nani alikuambia ninawa-admire Njabu Ngabu na Raj? Acha kunipakazia bana...wee vipi leo? Of course I give credit where credit is due. So if Njabu or Raj state the truth then I have no other choice than to commend them. The same applies to your alcoholic behind....kwikwikwiiii.....if you tell the truth without spinning...I'll commend you
Ha ha this post was refreshing, kumbe NN kasoma SRSS...

truth? kwanini ni watu wa namna nyingine tu ndio wewe huwaona wanasema ukweli? Patel akisema afrika haijaendelea kwasababu waafrika wana IQ below average, pia huo ni ukweli? kuita wazungu a "silent majority" pia huo ni ukweli? Bill O kusema kwamba hakujua kwamba watu weusi wanakula kwa kutumia silverwares pia ni ukweli? misimamo yoooote ya kipuuzi juu ya kukandamiza na kudharau watu weusi ya kina Hannity na Limbaugh pia ni ukweli? basi lazima wewe ni chizi.......kimsingi nilikuwa nasema wewe ni "uncle tom"!!! kwikwikwikwi nadhani sasa umeelewa zaidi, good night and good luck.
ulikuwa hujui? na kuna kitu siri yake alifanyiwa na wahindi na ndio maana yupo kama alivyo!!! ati ham-admire Njabu Ngabu, kwanini sasa ame-adopt jina kama lake? kimsingi wana lastname moja, why? bwahahahahahahaha au ndio alimfunga pingu za maisha? quer Nyani Ngabu, hahahaha LOL!!
bora kuwa mlevi kuliko kuwa "uncle tom" au quer kama NN. LOL
Mormons wana vitabu vingine vyenye historia ya Jesus Christ ambayo iko nje ya bible na haitambuliki kabisa na wakristo!Kwa maana nyingine ama tafsiri inayoweza kuwa sahihi miongoni mwa wakristo ni kwamba wameikosoa bible ama wameongeza mambo mengine ambayo ofcourse ni njw kabisa ya ukristo wa kawaida!Jamaa mmoja tajiri aliianzisha kwa kudai kuwa Jesus alikuwa huko mareakani na kuna maandiko yaliyogundulika huko yanayo support claims zao!What about Mormon's (a.k.a The church of Christ of latter day Saints)? What...the fact that there are the dominant religion in Utah?
You are a big Romney homer and its OK, his faith and his wealth doesn't = votes. Ofcourse he has the money but how has such resource helped him out? How come he spent so much of his own money to run ads and fund his own campaign and still lose? Its not about the size of your bank acount...its about motivating small donors to give you $5,$10,$25,$100 time and time again. You'd rather have 1,000 small donors that have 10 big ones. Look at Sen. Clinton's campaign sasa hivi, they owe past due bills kwa sababu they have always relly on big donors and when big donors are not happy with the way the campaign is going...they are not picking up the tab.
Mormons wana vitabu vingine vyenye historia ya Jesus Christ ambayo iko nje ya bible na haitambuliki kabisa na wakristo!Kwa maana nyingine ama tafsiri inayoweza kuwa sahihi miongoni mwa wakristo ni kwamba wameikosoa bible ama wameongeza mambo mengine ambayo ofcourse ni njw kabisa ya ukristo wa kawaida!Jamaa mmoja tajiri aliianzisha kwa kudai kuwa Jesus alikuwa huko mareakani na kuna maandiko yaliyogundulika huko yanayo support claims zao!
Kuhusu money..you seems to be naive if you dispute the fact that without money you can never run a campaign in the US politics!It is the fact that Romney survived the campaign and gather new suppoters around the country just because of his money!
Clinton amegwaya kidogo kuchukua pesa za makampuni ili asipigwe bao na Obama ambaye kawatolea nje!Clintons tayari wana connections na makampuni na hawataweza kuwatumikia wananchi vyema..nenda kadig utajua mwenyewe!Kawaulize wakina Andrew Young pia watacomfirm kuwa Clinton ana interests na Big corporations na wao wanataka kujifanyia maconnectors na kuyaungisha hayo makampuni na Africa!Swali hapa ni nani ananufaika!Na ndio maana wanamchukia Obama mpaka kudiriki kumwita Clinton "mweusi" kwasababu wanajua Obama atayafutilia mbali makampuni ya kinyonyaji mthili ya ile ya buzwagi!Andrew young ni kama ma "lobbyists wengine ambao walikuwa influential under Clinton na ambao wanayawakilisha makampuni ya kinyonyaji!Obama Atasimama upande wa wanyonge na kuwashinikiza watulipe alitlle more!Imagine raisi wa marekani ambae ni raisi wa dunia akikataa kuyasikiliza makampuni ama kushirikiana nayo kutunyonya watanzania na wanaulimwengu kwa ujumla!Mke wake huwa ansema"FOLKS JUST NEEDS A LITTLE BIT...NOT TOO MUCH" JUST TO LIVE THEIR LIVES HAPPILY AND TO FREELY ENGAGE IN THEIR PURSUIT FOR HAPPYNESS!Kama hatashinikizwa na makampuni then us folks will get a litlle more to develop our country and our lives in general and get a little more good deals when signing the contracts like Buzwagi and many more!This guy stands on the people's side!He's aware that Makampuni makubwa yana tamaa inayopitiliza kiasi yenye kupelekea ukiukwaji wa haki za binadamu na umasikini!Wakilipa kidogo zaidi haina maana watafilisika!Watatusadia sisi kuweza kuzitumia rasilimali zetu kwa manufaa yetu!Jamani Nyani na wenzako hamna hata kaupendo kidogo na kahuruma kwa Africa?We hujui kuwa ile tripu ya Bush Africa ni kama counterpunch ya kuwakumbusha kuwa Obama na waafrika wenzake ni watu wa kupewa misaada na si kuenda na kujaribu kuwatawala wanaowapa misaada!Kuwaonyesha wamarekani Kwamba huyu mwafrika hana historia ya maendeleo bali anahitaji help..kuimply stereo type dhidi ya watu wa Africa...Kwamba Obama or no Obama they will still listen!They are the ones who helps!And also to neutralize the Iraq issue infront of the world!That not that they kill..but just helping and spreading freedom!I AM ALWAYS at least CURRENTLY GOING WITH A FRESH CANDIDATE WHO WILL BRING FRESH IDEAS ON HOW TO HELIP THE CITIZENS OF THE WORLD!SINCE THE US RULES...THIS IS THE TIME WE GET THE TRUE WORLD LEADER!...THE LEADER WHO WILL HELP US TO PREVENT AND NOT TO CURE!IT IS RIDICULOUS TO WAIT UNTIL STARVATION AND DROP FOOD WHILE WE COULD'VE HELP PEOPLE CONSERVE THE FOOD,PRESERVE THE ENVIROMENT HENCE PREVENT DICEASES!TUNA RASILIMALI TUNAHITAJI ELIMU NA UJUZI WA KUZITUMIA RASILIMALI ZETU KWA FAIDA ZETU NA SI KUEXPORT RAW MATERIALS!KIKWETE WHERE ARE YOU MHESHMIWA?
Jazba?NO WAY!WITH PATION..YES!Jmushi1: Naona umeongea kwa jazba sana. Nadhani kwamba kuna some truth in what you wrote lakini pia kuna haja ya kutokuwa na consiparacy theories nyingi.
Bush alipokuja Tanzania alikuwa anatafuta Legacy yake and a base for Africom. Yeye Obama anamwona kama katuni fulani lakini hajui kama hivi sasa yeye ndo katuni kubwa kabisa. Sijui ulipata nyepesi ya kuwa rais Bush ameZOMEWA juzi! So let us not even discuss this loser!
Kuhusu corporate intersts na uchaguzi, believe me they are also busy wooing Obama, baada ya kuona kuwa he could be contender to the presidency. We do not know kama Obama ataenda against the interest of America. If my history serves me well, it is the Truman doctrine ambayo ina-guide foreign policy ya US: America's interest is America, hivyo wako tayari kupambana na nchi yoyote itakayoingilia maslahi yake. Sasa swali: Obama anaweza kwenda against? I think realistically not 100%, what he can do is to tweak and tune it so that it is more favorable but not directly opposed to the status quo. He can do much more domestically, though
Jazba?NO WAY!WITH PATION..YES!
Left and right politics are very different and ofcourse Bush wanna extend or continue his legacy through Mc cain!