Capitol Hill
JF-Expert Member
- Oct 19, 2007
- 749
- 48
Katika dakika ishirini zijazo usiache kuangalia PMS-NBC.....upate talking points zenye nguvu kidogo. FOX news huwawezi wewe.....they are the quintessence of excellence in broadcasting and you need to be a certain kind to get that and you are not that kind....shhooorry...
Wow..so you believe everything that Fox News says? I thought you were a critical thinker. I watch everything but I don't agree with all of them especially the pundits because they don't give us news and let us digest they give us their opinions and I am not too lazy to start relaying on them..so I take what I hear from this angle and from that angle and from this source and that source and say..wait a minute this ain't right or this is..full stop.
NN uliangalia hiyo show ya Hannity alivyokuwa anabishana na McCain?
By the way kuhusu mfano wa mume na mchungaji, kwa kifupi Mama Clinton anakubaliana na matendo ya mumewe kwenda nje ya ndoa lakini hakubaliani na maneno ya pastor ambaye anaweza kuwa ameyatoa kwa sababu ya hasira na jamii au serikali?
gamba,
usinichekeshe! hivi ni kitu gani kipya hapo alicho ongea McCain, kinachokufanya wewe ufikiri kama unavyofikiri?
kwa kukusaidia, hakuna!! watu wapo all set juu ya opinions zao kuhusu gulf war II...........aidha wanakubaliano nayo au hawakubaliani nayo, rhetoric za McCain ni kama kumpigia mbuzi gitaaa!! kinacho-resonate masikioni mwa watu ni kwamba uchumi ni mbaya, $$ inaporomoka na kisa cha yote hayo(@least in part) ni hiyo vita ya kipuuzi!!!
Masuala ya kiroho na masuala ya unyumba tangu lini yanalingana? Wewe hujui kama aliamua kubaki na mumwewe kwa ajili ya mtoto wao, hujui kama na yeye ana kijana wake pembeni, na hujui kama alimsamehe na hujui kama alimpa ruhusa mume wake kutembea nje ya ndoa. Kwangu mimi kuingiza mambo yao ya unyumba na kulinganisha swala la mbaguzi Wright ni kushindwa hoja na mtu unaposhindwa hoja une get personal!!! Shame on you Obama-maniacs.

Nimemsikiliza MCain leo katika speech yake kuhusu foreign policy. aisee hii ishu ya iraq inaweza isiwasaidie democracts kabisa na inaweza ikawageuka.
jamaa anasema hivi:
1: wapinzani wake(Obama na clinton) wanadai wanataka kurudisha credibility na heshima ya Marekani kimataifa. lakini wanasahau kwamba kwa marekani kuvamia Iraq na kisha kuondoka huku wakiiacha nchi haipo stable hiyo peke yake inaondoa credibility na heshima ya marekani kimataifa.
2:jamaa anasema kwamba kina Obama wanadai wataondoa majeshi Iraq na kuconcetrate juhudi zao kupambana na Alqaeda pakistani na Afghanistan.lakini ukweli ni kwamba hivi sasa tayari Alqaeda wapo Iraq kwa hiyo kuondoka Iraq itakuwa ni ushindi dhidi ya Alqaeda wa Iraq.
3:jamaa akadai pia kwamba katika hali ya sasa Marekani ikiondoa majeshi kuna wasiwasi wa mapigano ya wenyewe kwa wenyewe, hali inayoweza kupelekea genocide na catastrophy ya kutisha.
4:jamaa akasisitiza kwamba iwapo marekani itaondoa majeshi, kisha Alqaeda ambao tayari wako iraq wakajijenga, then itakuja kuwacost sana wamarekani kuweza kukabiliana na hali hiyo huko mbeleni.
kwa hiyo jamaa anasisitiza kwamba Wamarekani wako "morally" obliged kuwasaidia wairaq mpaka mambo yao yatakapotengamaa, jamaa ana imply kwamba kuondoka iraq sasa hivi ni sawa na kuwatosa wairaq.
If you live in a glasshouse, don't throw stones.
Bill Clinton ana demu mpya M-Canada na Hillary lesbian ana demu vile vile.
Magazeti ya Marekani hayawezi kuandika tu, it took a Brit.
http://www.thefirstpost.co.uk/?menuID=2&subID=578&p=2

hiyo umeitoa kwenye www.snopes.com (the rumor has it) au www.pagesix.com ??? nipe source wangu, ilinifaidi story kwa undani.
hiyo umeitoa kwenye www.snopes.com (the rumor has it) au www.pagesix.com ??? nipe source wangu, ilinifaidi story kwa undani.
Mkuu Nyani Ngabu hoja hujibiwa na hoja
Honestly! ukiangalia hiyo picha niliyoweka hapo juu nafikiri inaonyesha ni jinsi gani Rev Wright was not some sort of crank, fringe character, as he has been portrayed. Kama angekuwa who they potray him to be sasa hivi, they (Hillary and Bill) obviously had no objections to him being there.
My question to you Nyani is this: The photo I have posted was a prayer breakfast involving respected mainstream ministers and pastors and it took place in the morning of 9/11/98. So how did a "racist hatemonger" like Rev. Wright get invited, much less have his picture taken shaking hands with the President of the U.S.?
so how did he get there?
so how did he get there?