Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,321
- 138,286
Sitashangaa kusikia McCain is "our" next President. Pamoja na kuwa general Public in US na current conditions zinamtaka Obama, there is always a plan of sidelining a nig out of the main stream. Dubya did just that to sideline Kerry, when US needed Kerry the most.
Nakataa haikuwa landslide hadi unipe namba
Nani mwenye majority kwenye senate?
We nyani mbishi kweli!Halafu unaniletea madharau mepesi ya kusema eti"vigumu kureason na wewe"unalalamika nini kama mwanamke?Unaomba mgawanyo wa nini?Sasa Koba keshakusomesha ndo unaona noma na umenywea!Umeshaelezwa siasa za marekani zilivyo..licha ya wewe kuwa marekani lakini huzijiu siasa zake!Sasa umeshapewa definition ya majority,mimi nilikupa how that defintion(of majority) gives the democrats more power only to find out there is one more obstacle..and tha is G.W's veto!Vijihesabu vyako feki na vya hovyo vya eti Dems ni 49 na repubs whatever havina mantiki kwenye topic tuliyokuwa tukiijadili ya kwamba ni kwa jinsi gani uchaguzi wa 2006 uliwa favor democrats due to the war in iraq!Na kwamba kama issue ya iraq ikiendelea kupamba moto kama inavyoonekana kuanza mara baada ya 4000 troops death milestone..then kuna possibity Marepablikan wakabwagwa kama migunia ya miazi mibovu yenye wadudu!Wakati mwingine inakuwa vigumu sana ku-reason na wewe!! Mimi nimeomba namba (mgawanyo) za Democrats na Republicans, kwa mfano Democrats wako 49, Republican wako 48, na Independents wako 3. Huu ni mfano tu. Sasa nipe namba za kweli. If this is too complicated for you let me know and I will dumb it down further for you.
Nani mwenye majority kwenye senate?
Democrats...there you have it..which world are you living in?
Nipe idadi yao...
Democrats control the chamber by a narrow majority, 51 to 49.
Okay....so is that an overwhelming majority...?
Tatizo lenu mnaangalia mno hiyo PMSNBC....
Nyani siku zote hoja hujibiwa kwa hoja. Issue ya Rev. wright ilivyotoka, I came out here and put my stand and said what Obama should do. Kwa sababu unlike you, I am not just a FAN..I see reality. Wewe umegeuka umekuwa like a pundit vile..kazi yako ni ku spin spin spin.
Sasa unataka mimi nifanye au niseme nini? Mimi niko hapa na-enjoy operation chaos ikiendelea...I'm not Hillary nor Barack O'Drama....bottom line: It is McCain's election to lose...
...earlier ulikuwa una support Hillary lakini after reality kick in mama is done sasa ni babu,lakini mbona mama na Obama advocate and believe in the same Democratic principles na 98% of the time walivote pamoja in the senate,sasa leo eti babu wapi na wapi hapo?seems ni chuki zako tuu juu ya obama na wala sio issue unazoamini...au ndio ile theory ya bora tukose wote!
Obama 08!