mie naona kachomoka, ka-denounce and reject, sasa tatizo ni nini tena?? ukiangalia interviews na Anderson Cooper au ile ya Keith Olberman unapata wigo mkubwa wa kuelewa kwamba jamaa yupo credible na ni haki yake kupewa the benefit of the doubt. Since when watu wanakuwa guilty by association!!??. c'mon man, saa nyingine jaribu kuwa open minded bwana.....usiwe na mawazo ya ki-military namna hiyo, unakwenda beyond GOTCHA!!.
Mkusanyiko wa waumini ni jumuia.Ni vigumu kuamini hakujua mchungaji wake anasemaga nini. Utakuwa gullible kuamini tu bila kuuliza.
kuna haki ya kuhoji, I mean ni doubt abt that....lakini lazima pia uweke upenyo wa mawazo mbadala. cha kusikitisha wewe umesha-conclude na kufunga ukurasa kwamba Obama ndivyo alivyo......wrong!!
Hebu imagine pastor wa Billary angekuwa anahubiri hivyo...chukua hayo maneno ya pastor wa Obama na jinsi alivyowa-characterize kina Clinton halafu uyaweke kama pastor wa Billary ndio anahubiri....Al Sharpton angeandamana ktk majimbo yote hamsini akiwapinga na nyinyi humu mngekuwa up in arms kuwaita ni wabaguzi.
.......sin zimezidi Atlanta ndio maana mmepigwa na Tornado!!! kwikwikwikwikwikwi. Pole sana Nyani, je uuzima?
Mimi napinga hii mada kuhamishwa. Kwa nini mmeihamisha wakati ni ya siasa?
kwa sababu zipi hii mada imehamishwa???
Mods.....please explain!!
Exactly...hii mimodereta sijui ina akili gani tu...saa ingine inakera sana
hapo sasa, hii kitu ipo hapa toka late december of last year kama sikosei, all of a sudden yamekuwa haya!!! lakini thread hii imepigwa sana majungu, kuna baadhi ya watu walishapendekeza ifungwe........talking abt double stds!!! kaaaazi ipo.
Nyie moderators, nafikiri huwa mkikaa bila kugombana na watu hamjisikii vizuri. Sasa hivi zimefika thread 200.. ndio mnagundua kwamba hii mada haifai kwenye jukwaa la siasa za Tanzania? Ingekuwa ni kipindi cha TV, hamjui kwamba hiki kipindi ni moto sana kukichezea? Ushauri ni kuwaomba mrudishe kule asap na mkiri politely kwamba mlikosea kuihamisha!
Denounce and Reject he he new phrase in town sasa..Dah!! NN pole na Tornado.
Nimefungua jukwaa la siasa wacha nianze kuscroll juu na chini nikajua hatimaye wameifuta hii thread kama wengine walivyoomba, lakini bado tunawaona wanachangia once in a while...uku kwenye hoja nzito nako hamuitendei haki lakini popote ilipo tutaifata tuu.. Ole ukuona picha za wabongo wakimpokea Bush na mabango ya Obama 08?
Hivi Obama alishauriana na Pastor wake kabla ya kudenounce his comments-just curious-?
Ndio hapo sasa hata mimi najiuliza. Ni vigumu sana kumkana mchungaji wako wa miaka mingi aliyekufungisha ndoa na kukubatizia watoto. Inawezekana kabisa hadharani anamkana na kuyakataa maneno yake lakini kwenye faragha wako poa. Halafu hii ya yeye kudai eti hakujua...kachemsha. Watu hawatamwamini hata kidogo.
Nimesikia kuna kundi la black ministers watam-denounce Obama kwa kumdenounce pastor wake...
hao watakao fanya hivyo watakuwa wamemsaidia sana Obama ku-neutralize hii kitu.
Dr. Wright alimwambia Obama longtime ago kuji-distance naye, lakini loyalty yake ndio imemfikisha hapa(which is a good thing). ipo wazi kuwa bado na wataendelea kuwa poa, ila rhetoric yake ndio Obama amei-denounce na Pastor Wright is OK about that!!......hao black pastors ni Clintonites ambao sasa wamepata sababu na ninaamini hawana/hawapata blessings za Dr. Wright kufanya hivyo!!
hii ishu kwisha habari yake, labda kama watakuja na tapes mpya au ushahidi wa Obama kuwepo kanisani siku pastor akitoa zile pumba zake.
NN,
nilidhani umeshikwa na "mshipa wa rehali" a.k.a NGIRI......matokeo ya kibaridi cha twister ya jana. LOL
Hii ishu itaisha sasa hivi wakati wa primaries lakini itaibuliwa na makundi ya 587 kwenye kampeni za uchaguzi mkuu. Najua unaombea iishe sasa hivi na hilo ombi lako linaweza kutimilizika. Ila kaa ukijua huu sio mwisho wake na hata Obama kakiri hilo..