US Election Coverage 2008

Hmmm..metrosexual huh..!?! Okay...I'll leave that one alone.

Nani aliangalia Hannity and Colmes jana? When you hear what goes on in Barack Obama's church you won't believe it!!

......nini kinachotokea? maana najua hakuna mtu hapa zaidi yako anayepoteza muda kuangalia au kusikiliza sean and/or allan!!.
 
aisee nimeona hapa kwenye cnn kwamba frolida na michigan wata revote in june, na kwamba kuvote kwa kutumia mail kumo katika ajenda, hivi jaluo atapona kweli hapo?. maana nahofia kamchezo ka kiaina kuchwezwa hapo
 
Ehee, sikujua kama mambo ni makubwa hivi. Kwa kweli huyu "Rais" Barack Obama atawasaidia sana weusi huko America. God damn America!

seems intellectual capacity inaelekea south na kama unaweza fall into that BS propaganda from Hannity mungu akusaidie tuu.
 
seems intellectual capacity inaelekea south na kama unaweza fall into that BS propaganda from Hannity mungu akusaidie tuu.

si ndio hapo, mie hata siwezi kupoteza muda wangu kuangalia link kama hiyo au kusikiliza chochote toka kwa sean hannity...............mkuu Keith Olberman, anawaita Fox, FIX NEWZ CHANNEL na kila siku lazima atleast mmoja wao atakuwamo ktk worst person of the day!!.
 

Kitu kizuri kuhusu maoni na mimi ninaweza kusema kitu hicho hicho kuhusu nyinyi.....kwikwikwiiii
 
Mama Pelosi naona she knows something that we don't?
http://politicalticker.blogs.cnn.com/2008/03/13/pelosi-again-rules-out-joint-ticket/
 
THANK YOU KEITH OLBERMANN For last night. I miss you when you were a guest on Dan Patrick Show at ESPN.
Here is why namshukuru Keith. Watu weusi wanapompigia kura mgombea mweupe..eg when Democrats collects votes from African American voters no-one even question's it. When "white women" wa zaidi za miaka 60 wakimpigia kura Senator wa NY hakuna anaye act kama ni anything special. Kwa sababu ndivyo inavyotegemewa iwe au ndivyo tulivyokuwa conditioned kuamini kuwa ndivyo inavyotakiwa iwe. Lakini weusi (African Americans) wakimpigia kura Obama..WOW..Ooh unasikia rants.."He's winning kwa sababu ya African American votes" Oooh..this or that..Mara "Even Jesse Jackson won South Carolina"..Mara "Mississippi its not a big deal..Barack will win because of Black people." You see the double standard I am trying to show here?
 
Sijawahi kuona mtu shallow kama Sean Hannity . Uchumi wa marekani huko katika hali mbaya , Dollar imekuwa kama Peso ya Mexico yeye anaongelea issue noja tuu Mchungaji wa kanisa la Obama ....Namkubali Michael Savage ingawaje saa nyingine yuko too extreme .Swali ninalojiuliza ni kuwa utawezaje kufight war on Terror bila strong economy?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…