US bombers fly close to North Korea

US bombers fly close to North Korea

yani huyu kila kitu allies

hahahaha
Ina maana kubwa sana ili ajuwe yupo nao au wameshamkimbia kwa tarifa yako tu kujitangaza kuwa utamsaidia U.S. kwenye hivita ni sawa na kujaribu kumeza wembe kufanya hivyo ni kukaribisha makombara ya Rocket Man kwenye anga yako!!
kudondoshewa kitu cha Hydrogen siyo kitu kidogo mkuu 80km zinahusika kuangamia ujuwe na madhara mengine mengi na dogo ujuwe akili zake wa Japan ndio wana zijuwa vizuri !!
muulize Ze kokuyo,
 
Talking is cheap.. Tokea umezaliwa hadi leo hii ulishasikia na kuona wapi U.S akianza kuigonga nchi yoyote kuna mtu atajaribu kuisaidia nchi inayopigwa..? Tumeona kila mahali from Iraq, Afghanistan, Libya hakuna aliyetia mguu kuisaidia.. So acha kuwaza ujinga eti NK itasaidiwa.. Nasema kipigo kitakatifu kikianza, no one WILL EVER STEP IN TO ASSIST NK... Kiduku will face FURY and FIRE the World has never seen..!! Subiria kipigo hujawahi ona maisha yako yote NK atakachofanyiwa..!!
Yule ni korea siyo black wala mwarabu kama unavofikilia
 
Hii Ligi ni Tamu kichizi.

Ila Kiduku lazima akae, watu wasioijua marekani na historia ya Dunia ndio watakaosema NK itashinda. Lakini wanaojua Dunia inaendaje Lazima waelewe kuwa USA ndio mshindi katika Vita hii

Tatizo anategemea mtungo kutoka mataifa mengine
 
US bombers have flown close to North Korea's east coast in a show of force, the Pentagon says.
The move is to demonstrate that President Donald Trump has a "range of military options to defeat any threat", spokeswoman Dana White said.
The US and North Korea have ramped up their rhetoric recently.
At the UN on Tuesday, Mr Trump said that he would "totally destroy" North Korea if the US was forced to defend itself or its allies.

Hawa Marekani bure kabisa....Kim jong Un siyo Saddam Hussein wala Ghadafi wala Milosevic....Wakiletaza kuleta Seoul itakuwa wiped out na Japan kukiona cha moto...Marekani wenyewe huko kwao hawako salama....fikiria haka ka mjamaa kana nini...Marekaani arushe makombora wenzake wakirusha ni kosa, ujinga gani huu...Marekani ndiyo taifa la kigaidi kuliko mataifa mengine yote duniani...Marekani ndiyo nchi pekee duniani iliyowahi kutumia silaha za nyuklia na kuua watuzaidi ya laki mbili huko Japan...Marekani imeua watu huko Vietnam kwa kutumia silaha za sumu yakiwemo mabomu ya napalm..Marekani imeuamaelfu kwamaelfu ya watu huko Irak...Marekani inawaunga mkono IS huko Syria na kuua maelfu ya watu... Marekani ndiyo rogue state na siyo DPRK...Marekani ovyo kabisa...Umoja wa mataifa umetekwa nyara na wababe ...wanakaa kimya pale mtu anasimama na kusema kuwa ataifuta North korea...huyo ni mbaya zaidi ya Hitler...yaani unafurahia kutangaza kuua watu milioni 20.....
 
Ina maana kubwa sana ili ajuwe yupo nao au wameshamkimbia kwa tarifa yako tu kujitangaza kuwa utamsaidia U.S. kwenye hivita ni sawa na kujaribu kumeza wembe kufanya hivyo ni kukaribisha makombara ya Rocket Man kwenye anga yako!!
kudondoshewa kitu cha Hydrogen siyo kitu kidogo mkuu 80km zinahusika kuangamia ujuwe na madhara mengine mengi na dogo ujuwe akili zake wa Japan ndio wana zijuwa vizuri !!
muulize Ze kokuyo,
Naungana nawewe mkuu
 
Bora umemjibu
Mimi nilimpita kimya kimya tu
Punguza mwendo mkuu kuna kona kali mbele!!
Hasira siyo dalili nzuri au bando linakaribia kukata note siyo bando la kwenye simu!
uyo ze kokuyo, kuna kila dalili kuwa yupo vizuri apo upstair pengine pengine kushinda .....
me siyo Jecha au yule msema kweli !!
 
kama unavyochapwa na mumeo?

I see how umelelewa kwa kumtusi kila mmoja, unamtukana kila mtu.. Ni muda mrefu umeachiwa, umemtukana sana Mh. Rais wetu JPM, muda mrefu.. Ww kwako ni matusi na unajiona beberu.. Ur time is near.. Nikiwa mwana CCM, kwa haya matusi yako for a long time, siwezi kukubali, and ur stupid habits must come to an END, i mean END..!! PUMBAVU mkubwa

  1. P
    Post
    US bombers fly close to North Korea
    kama unavyochapwa na mumeo?
    Post by: Precise Pangolin, 44 minutes ago in forum: International Forum
  2. P
    Post
    Bunge lamjibu Mbowe, ladai pesa wametuma hospitalini tarehe 20 Sept sababu hawakuwa na akaunti ya hospitali
    Mkuu piga za uso hawa wafuasi wa dikteta
    Post by: Precise Pangolin, Saturday at 5:38 AMin forum: Jukwaa la Siasa
  3. P
    Post
    Kitengo cha fedha cha CHADEMA kinaaibisha Taifa
    Tulia wewe mammalia unajiita daktari kumbe Ngariba eti ulikuwa unataka wale watoto waliopata ajali huko Arusha watibiwe mount meru ili upate ulaji...
    Post by: Precise Pangolin, Saturday at 5:36 AMin forum: Jukwaa la Siasa
  4. P
    Post
    Ukakasi mzito shambulizi la Tundu Antipass Lissu
    Tulia na mumeo huko wewe mammalia usilete shombo za mapenzi hapa nyambaf
    Post by: Precise Pangolin, Saturday at 5:33 AMin forum: Jukwaa la Siasa
  5. P
    Post
    Lema inabidi aende shule ili atimize malengo
    Vipi akirudi toka shule utakuwa unampa saburi?
    Post by: Precise Pangolin, Friday at 12:29 PM in forum: Jukwaa la Siasa
  6. P
    Post
    Mbowe: Jumla ya sh 204M za matibabu ya Lissu zimechangwa, aomba michango zaidi, aishutumu Serikali kuhusika na shambulio
    Mkuu hawa jamaa wameshakuwa brainwash na dikteta hawaambiwi
    Post by: Precise Pangolin, Friday at 12:28 PM in forum: Jukwaa la Siasa
  7. P
    Post
    Mapinduzi ya Viwanda; Wazungu walianzaje na walifanikiwaje?
    Huyu Mzungu wetu anafikiri viwanda vinakuja kwa kurusharusha mikono huku akiomba aombewe wakati uchumi una principle zake ambazo hazihitaji sala....
    Post by: Precise Pangolin, Friday at 12:26 PM in forum: Jukwaa la Siasa
  8. P
    Post
    Rais Magufuli azindua barabara ya KIA hadi mji wa Mererani, Awataka JWTZ kujenga Ukuta kuzunguka Machimbo ya Tanzanite
    Mmezoea kuua mnafikiri nyinyi mtaishi milele na dictator wenu walikuwepo wakina Hitler, Idd Amin, Bokassa na Mobutu sasa hivi wako wapi? ni swala...
    Post by: Precise Pangolin, Friday at 12:19 PM in forum: Jukwaa la Siasa
  9. P
    Post
    Rais Magufuli azindua barabara ya KIA hadi mji wa Mererani, Awataka JWTZ kujenga Ukuta kuzunguka Machimbo ya Tanzanite
    Nitahamia kwenye masaburi yako kwanza kabla sijaenda kenya
    Post by: Precise Pangolin, Friday at 10:50 AM in forum: Jukwaa la Siasa
  10. P
    Post
    Suala la Lissu: Serikali tumeisikia, sasa familia ichukue jukumu lake
    Nyie jukumu lenu ni kuwakamata wale waliomdhuru kazi ya kulipia matibabu tuachieni acheni usanii au mlimdhuru ili mje mlipie ubani au matibabu...
    Post by: Precise Pangolin, Friday at 4:24 AM in forum: Jukwaa la Siasa
  11. P
    Post
    Je Mh.Mwigulu aruhusu maombi ya TL, pamoja na tshirts?
    Kuna yule jaji mchumia tumbo anasema mahakama za dikteta ni huru kuliko za kenya
    Post by: Precise Pangolin, Friday at 4:18 AM in forum: Jukwaa la Siasa
  12. P
    Post
    Jaji Mkuu: Tusijifananishe na Kenya, Mahakama zetu zipo huru zaidi
    Baada ya kuukosa ujaji mkuu unaanza kujielewa bado dikteta atakushika saburi ndio uanze kubwatuka vizuri
    Post by: Precise Pangolin, Friday at 4:15 AM in forum: Jukwaa la Siasa
  13. P
    Post
    Mgawanyo wa majukumu: Serikali watafuteni wasiojulikana, matibabu ya Lissu tuachieni sisi wananchi
    Watumie hizo hela kuwatuma wa kina kinana kwenye matibabu india
    Post by: Precise Pangolin, Thursday at 10:07 PMin forum: Jukwaa la Siasa
  14. P
    Post
    Baada ya Serikali kusema ipo tayari kulipia matibabu ya Lissu; Peter Msigwa, Godbless Lema na Mbowe wakosoa kauli hiyo
    Naona mzee wa kizibao albadri inakunyoosha tulia hivyohivyo dawa iingie
    Post by: Precise Pangolin, Thursday at 9:53 PMin forum: Jukwaa la Siasa
  15. P
    Post
    Baada ya Serikali kusema ipo tayari kulipia matibabu ya Lissu; Peter Msigwa, Godbless Lema na Mbowe wakosoa kauli hiyo
    Mnajificha nyuma ya watu wanyonge huku mnawapiga risasi watetezi wao mtanyooka tuu
    Post by: Precise Pangolin, Thursday at 9:51 PMin forum: Jukwaa la Siasa
  16. P
    Post
    Baada ya Serikali kusema ipo tayari kulipia matibabu ya Lissu; Peter Msigwa, Godbless Lema na Mbowe wakosoa kauli hiyo
    Walikuwa wanafikiri anakufa sasa matumaini yao sasa yamepungua sana hata faru john keshaanza kuwa kama kichaa
    Post by: Precise Pangolin, Thursday at 9:50 PMin forum: Jukwaa la Siasa
  17. P
    Post
    Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania JWTZ laanza kutekeleza agizo la Kujenga Ukuta Mgodi wa Tanzanite
    Kwahiyo mwingine anarusha mikono huku kuwa nchi imechezewa?
    Post by: Precise Pangolin, Thursday at 9:44 PMin forum: Jukwaa la Siasa
  18. P
    Post
    Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania JWTZ laanza kutekeleza agizo la Kujenga Ukuta Mgodi wa Tanzanite
    Ndio Mkuu Nilivaa Tshirt ya pray for Lissu nikakamwatwa lakini waliokuwa wamevaa za pray for Dikteta walikuwa wanapita bila bugudha
    Post by: Precise Pangolin, Thursday at 8:17 PMin forum: Jukwaa la Siasa
  19. P
    Post
    Uchumi wa Magufuli: Precision Air Yapumulia Machine. Yapunguza Wafanyakazi 136!
    Mkuu rudisha ile avatar yako hii inatuchanganya almanusura niachie mitusi mkuu
    Post by: Precise Pangolin, Thursday at 8:16 PMin forum: Jukwaa la Siasa
  20. P
    Post
    Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania JWTZ laanza kutekeleza agizo la Kujenga Ukuta Mgodi wa Tanzanite
    Kwani aliyesema ukutwa ujengwe si mzee wa kukurupuka au unajifanya hujui? alifanya study kabla ya kusema mwambie aende UN akatiririke kama wenzake...
    Post by: Precise Pangolin, Thursday at 8:13 PMin forum: Jukwaa la Siasa
Showing results 1 to 20 of 759Next >
Search Again
12345638
ForumsSearch

  • WHO ARE WE?
    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic. You are always welcome!
    Read more...
  • WHERE ARE WE?
    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually. For anything related to this site please Contact us.
    Contact Us Now...
  • DISCLAIMER
    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..
    Read more...
  • FORUM RULES
    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you. You MUST read them and comply accordingly
    Read more...
  • PRIVACY POLICY
    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one. Read our Privacy Policy.
    Proceed here...

  1. Forums
    Post
    Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania JWTZ laanza kutekeleza agizo la Kujenga Ukuta Mgodi wa Tanzanite
    Yani kusimama kwenye mstari ndio ukuta? hebu acheni usanii sisi tupo busy kumuombea Lissu
    Post by: Precise Pangolin, Thursday at 8:05 PMin forum: Jukwaa la Siasa
  2. P
    Post
    Rais Magufuli azindua barabara ya KIA hadi mji wa Mererani, Awataka JWTZ kujenga Ukuta kuzunguka Machimbo ya Tanzanite
    Pumbafu ni wewe na mume wako pamoja na hilo dikteta lenu
    Post by: Precise Pangolin, Thursday at 7:17 PMin forum: Jukwaa la Siasa
  3. P
    Post
    Rais Magufuli azindua barabara ya KIA hadi mji wa Mererani, Awataka JWTZ kujenga Ukuta kuzunguka Machimbo ya Tanzanite
    Nenda uganda ukapate history ya idd Amini au Ujerumani kwa Hittler au magogoni ukaonane nae
    Post by: Precise Pangolin, Thursday at 11:16 AMin forum: Jukwaa la Siasa
  4. P
    Post
    Rais Magufuli azindua barabara ya KIA hadi mji wa Mererani, Awataka JWTZ kujenga Ukuta kuzunguka Machimbo ya Tanzanite
    Kwani inahitaji rocket science kujua nchi inaongozwa kidikteta?
    Post by: Precise Pangolin, Thursday at 7:24 AMin forum: Jukwaa la Siasa
  5. P
    Post
    Lini Rais wetu Dr. John Pombe Magufuli atahutubia UN?
    Nilitegemea Dr kama yeye angeweza kutiririka kuliko hata kenyatta ambaye sio Dr
    Post by: Precise Pangolin, Wednesday at 9:56 PM in forum: Jukwaa la Siasa
  6. P
    Post
    Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya ampongeza Rais Magufuli, amuita jembe
    Huyu hana ubaguzi kama dikteta
    Post by: Precise Pangolin, Wednesday at 4:25 PM in forum: Jukwaa la Siasa
  7. P
    Post
    Nyalandu azidi kumpigania Lissu, kuangalia uwezekano wa kupata rufaa ya matibabu Marekani
    Kumbuka matatizo ya lissu yameletwa na nyinyi halafu unataka ahudumiwe na haohao walio mswaga risasi? hii laana haitowaacha
    Post by: Precise Pangolin, Wednesday at 4:19 PM in forum: Jukwaa la Siasa
  8. P
    Post
    Kauli za rais wa Tanzania na mtetezi wa wanyonge Dkt. Magufuli leo mkoa wa Manyara
    Ni kawaida ya mauchwara kuonyesha yana huruma hata Idd amini alikuwa hivyohivyo
    Post by: Precise Pangolin, Wednesday at 4:14 PM in forum: Jukwaa la Siasa
  9. P
    Post
    Rais Magufuli azindua barabara ya KIA hadi mji wa Mererani, Awataka JWTZ kujenga Ukuta kuzunguka Machimbo ya Tanzanite
    Hapana Mkuu wanatuka serikali ya kidikteta
    Post by: Precise Pangolin, Wednesday at 4:01 PM in forum: Jukwaa la Siasa
  10. P
    Post
    Rais Magufuli azindua barabara ya KIA hadi mji wa Mererani, Awataka JWTZ kujenga Ukuta kuzunguka Machimbo ya Tanzanite
    Wale diaspora wanaojielewa sio wakina Nyani Ngabu ambao wamesha adhirika na harufu za vizee
    Post by: Precise Pangolin, Wednesday at 10:57 AM in forum: Jukwaa la Siasa
  11. P
    Post
    Siku ya 12 leo watu "wasiojulikana" waliotaka kupora maisha ya Tundu Lissu bado kupatikana!!!
    Hii laana hatomuacha hata akikesha kanisani mwaka mzima
    Post by: Precise Pangolin, Wednesday at 4:37 AM in forum: Jukwaa la Siasa
  12. P
    Post
    Tanzania haijulikani Duniani kiivyooo kama magazeti yetu yanavyoripoti eti Dunia nzima ni Tundu Lissu tu!
    Ulikuwa unafikiri Lissu ni level ya polepole sio mtanyooka tu
    Post by: Precise Pangolin, Tuesday at 10:35 AMin forum: Jukwaa la Siasa
  13. P
    Post
    Mbunge wa Tarime John Heche kupeleka hoja binafsi muda wa Urais, Ubunge upunguzwe
    Kwa Rais anatakiwa awe under brobation ya nusu mwaka akifail kama dikteta anatimuliwa
    Post by: Precise Pangolin, Tuesday at 6:50 AMin forum: Jukwaa la Siasa
  14. P
    Post
    Tanzania among top 10 Places to Invest in Africa 2018
    Hii nchi dikteta ataigharimu sana ajifunze kwa wenzake sio kurusharusha mikono kama muimbisha kwaya
    Post by: Precise Pangolin, Tuesday at 6:33 AMin forum: Jukwaa la Siasa
  15. P
    Post
    Rais Dr. John Pombe Magufuli na mwendelezo wa kutokuhudhuria vikao vya Kimataifa nje ya nchi
    Kujenga hoja hawezi zaidi ya kurusha mikono kama anajiandaa kupiga mbizi
    Post by: Precise Pangolin, Sep 18, 2017 in forum: Jukwaa la Siasa
  16. P
    Post
    Lissu kuchangingiwa matibabu na watanzania kutamfanya awe mzalendo mara mbili ya alivyo sasa
    Yule anaetaka aombewe anakaimu nafasi ya idd Amini lakini anajificha kwenye neno wanyonge
    Post by: Precise Pangolin, Sep 18, 2017 in forum: Jukwaa la Siasa
  17. P
    Post
    CHADEMA 'mnazingua'
    Huyu jamaa ukimpa kesi ya kuku tu hata kama ushaidi unatosheleza unaweza ukapigwa nyundo kama 30 kama mtu aliyebaka utafikiri umeiba wewe kumbe...
    Post by: Precise Pangolin, Sep 18, 2017 in forum: Jukwaa la Siasa
  18. P
    Post
    CHADEMA 'mnazingua'
    Nenda kwenye forum za wajanja huko USA uone moto sio kuja kutishia hapa na kiingereza chako cha kuosha vidingi
    Post by: Precise Pangolin, Sep 18, 2017 in forum: Jukwaa la Siasa
  19. P
    Post
    CHADEMA 'mnazingua'
    Badala ya kuandaa submission za mahakamani unakuja na vithread vinavyo fanana na jingalao
    Post by: Precise Pangolin, Sep 18, 2017 in forum: Jukwaa la Siasa
  20. P
    Post
    CHADEMA 'mnazingua'
    Wewe naona umeanza kuzeeka vibaya tena sana wewe huoni mpaka Rais wenu wa TLS ameshambuliwa na risasi baada ya kuongelea ufisadi wa madini halafu...
    Post by: Precise Pangolin, Sep 18, 2017 in forum: Jukwaa la Siasa
Showing results 21 to 40 of 759Next >
Search Again
12345638
ForumsSearch

  • WHO ARE WE?
    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic. You are always welcome!
    Read more...
  • WHERE ARE WE?
    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually. For anything related to this site please Contact us.
    Contact Us Now...
  • DISCLAIMER
    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..
    Read more...
  • FORUM RULES
    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you. You MUST read them and comply accordingly
    Read more...
  • PRIVACY POLICY
    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one. Read our Privacy Policy.
    Proceed here...
 
Punguza mwendo mkuu kuna kona kali mbele!!
Hasira siyo dalili nzuri au bando linakaribia kukata note siyo bando la kwenye simu!
uyo ze kokuyo, kuna kila dalili kuwa yupo vizuri apo upstair pengine pengine kushinda .....
me siyo Jecha au yule msema kweli !!

Kwa maneno weye, eti note sio bando la simu!
Naona kashindwa kuona nondo anazotupia Kokuyo humu ndani.
Jibu murua Fundi!
 
Kwa maneno weye, eti note sio bando la simu!
emoji1.png

Naona kashindwa kuona nondo anazotupia Kokuyo humu ndani.
Jibu murua Fundi!
emoji106.png
Hahaha ilo bandle likipungua mahala fulani ni shidah !
siri ya doctor!
Nasikia Babu kasema leo sisi watu wa jamuhuri ya korea kasikazini tusikanyage marekani !!!
ameshituka anaweza jikuta ananyongewa kimya kimya huko white house kwetu ni kazi inayowezekana !!
 
Haha!, ama kweli ni siri ya Doctor!

Kwa hiyo mmepigwa mkwara wa kwenda huko sio?
Lakini hata asingepiga, kwani kuna Mkorea wa kawaida anaweza ataruhusiwa na Kim kwenda U.S?
 
Haha!, ama kweli ni siri ya Doctor!

Kwa hiyo mmepigwa mkwara wa kwenda huko sio?
Lakini hata asingepiga, kwani kuna Mkorea wa kawaida anaweza ataruhusiwa na Kim kwenda U.S?
hahahahaha ndio tumemshanga huyu mzee anazeeka vibaya !!
ila ujuwe amechanganya na zake akaunganisha na dots akaona kim anaweza tuma watu wake huko marekani wakabadilisha upepo kuwa pili pili!!
 
hahahahaha ndio tumemshanga huyu mzee anazeeka vibaya !!
ila ujuwe amechanganya na zake akaunganisha na dots akaona kim anaweza tuma watu wake huko marekani wakabadilisha upepo kuwa pili pili!!

Eti upepo kuwa pili pili lakini wewe!

Na hizi kauli zao za hivi karibuni hopefully hawatashtukiziana.
 
Hali inazidi kuwa ya hatar sana, watu tunashindwa kujadili (critical analysis) tunafanya reporting na kubishana.
Leo NK imesema ipo tayar kwa vita na italipoa fight bomber za us hata kama zitakuwa nje ya air space yake. Hii vita hakuna taifa litakalo muunga mkono US na wakijua fika madhara yake kwa raia wao. Kama UK amemuunga mkono china kutumia njia ya kidepromacia kutatua huu mgogoro US atajikuta pekeyake. Sehem ambazo US alikuwa anapata msaada kwa marafik zake walikuwa wanajua udhaifu wa maeneo husika na walishambulia pasipo zuru nchi zao. Kwa NK hii ni tofaut sana. Babu anavuliwa nguo mchana kweupe kabisa
 
mkuu anga lote lipo ndani ya target ninakuhakikishia trump hatarudisha tena hizo ndege zake hapo maaana U.S. anazijuwa akili za kim akisema amesema akili za kim wajapan wanazijuwa aliwakimbiza asubuhi alfajiri wakaacha shughuli zao za Hawa na Adam bila muafaka na kukimbilia mashimoni Ze kokuyo, analijuwa hilo!! nikujulishe tu kuwa kwa sasa Kim hazira zake zipo kiwango cha mwisho zikipita tena ni vita rasimi!!!!!!
 
Sasa km kiduku yupo fiti kwa nini hakuzidungua hizo bomber,nadhani walikuwa wanamuonesha wanaweza kuja angani kwake na kufanya lolote bila kizuizi
 
USA has showed military showcase in Korean Peninsula and it went as much closer to North Korea!!!
The deployed destroyer were the B1 Suicide Bomber escorted by F -35 the finisher !!!
Eti Mbwa Kim Jung Un sijui anataka nini!!!As( a an) international community we must come out and remove Kim family from power!!! This is a right time than never ever before!!
We need to live in our world peacefully!!! Without any intimidation!!!
Kim Must be be Assassinated by any means or Pyongyang must be destroyed to keep our world safe for our new generation.
Viingereza vingine ni shida kwanini tusitumie lugha yetu kiswahili adhimu.
 
Back
Top Bottom