Nadhani ni muda wa kusitisha mkiwara sasaHahaaaa kesho kutwa utamsikia James Mattis anakwambia hatuna mpango wa kuishambulia N Korea
Sisi tunapitisha missiles tu, timeanza na japanHivi hawa NK nao si wapitishe bomber zao kule Guam tuone
Unazungumzia SAMs ambazo Israel imekua ikiziJam kila siku kule Syria.
Kiduku ana S200 km zile za Syria ambazo kila siku zinahangaishwa na F15 za miaka ya 70 sembuse Leo kuna F22,B-2,?!
![]()
![]()
historia ya wapi hiyo mkuu, embu leta hata source tuone.
Hivi hujui vita vya Korea marekani ilipiga mabomu Pyongyang yote ile mpaka wakawa wanaripoti kwamba hakuna cha kulipua tena mji wote upo udongoni.
Marekani ilirusha mabomu tani 650,000 kwenye ile vita zaidi ya mabomu yote iliyorusha kwenye vita vya pili vya dunia ambayo yalikua tani laki nne na kitu.
Theluthi ya raia wa NK waliuawa, zaidi ya watu milioni 3 waliuawa. Marekani ilibakisha sehemu ndogo tu iichukue Korea yote ile. Huyo mchina kaja kuingilia kipindi NK kashakula kichapo cha mbwa mwizi ndo majeshi ya US yakarudishwa nyuma hadi pale mpakani (DMZ). Unadhan Kim kung'ang'ania nukes ni mjinga?!,anawajua Marekani vilivyo...
Wakati wa vita vya Korea NK ilikua ishateka Korea kusini yote ikibakiza kisehemu kidogo tu iichukue SK yote, ndipo Marekani akaingia mzima mzima kumtandika NK kuanzia SK mpaka kwake tena chumbani kabisa kuanzia Pyongyang mpaka vijijini kabisa huko. Usicheze na Marekani ww... Hata vita sasa hv vikizuka huyo mchina atakuja kuingilia baadae kipindi dogo yuko hoi taabani ili kuokoa jahazi maaana mchina mwenyewe anajua shughuli ya Marekani.
huyu mzee wenu wa kindergarten anacho kitafuta atakipata!!
Ni swala la historia russia yupo karibu mno ni kama ndugu na NKKwa hio unataka kusema, Russia walishindwa kutimiza ahadi yao ya kumsaidia Sadamu, na kumuokoa mshirika wake Iraq , pia kuviokoa visima vyake vya mafuta kwasababu ya umbali????? Sio kweli.
![]()
![]()
![]()
Mkuu vipi, naona kama vile lugha imeanza kubadilika hivi...lol!
Tuna waangalia kwa karibu sana lazima mpate mnachokitaka bila shaka hamtarudia kupitisha tena hizo ndege zenu huko pwani ya north!!mkuu U.S. amesha zeeka ndio maana Russia wamewaita watoto wa kindergarten !!Hii Ligi ni Tamu kichizi.
Ila Kiduku lazima akae, watu wasioijua marekani na historia ya Dunia ndio watakaosema NK itashinda. Lakini wanaojua Dunia inaendaje Lazima waelewe kuwa USA ndio mshindi katika Vita hii
Hujui Kiswahili ama? Mbona ulichoandika kinaendana na nilichosema. US ilikuwa imeshaichukua NK lakini CHINA wakaja kuwasaidia na kuwarudisha nyuma, kwa maneno mengine waliwachapa hadi kwenye huyo mpaka DMZ au unadhani walirudi bila kichapo? Na kwa taarifa yako NK ni nchi pekee yenye mkataba na CHINA wakusaidiana pale mmoja wa atakapoingiliwa na adui.![]()
![]()
historia ya wapi hiyo mkuu, embu leta hata source tuone.
Hivi hujui vita vya Korea marekani ilipiga mabomu Pyongyang yote ile mpaka wakawa wanaripoti kwamba hakuna cha kulipua tena mji wote upo udongoni.
Marekani ilirusha mabomu tani 650,000 kwenye ile vita zaidi ya mabomu yote iliyorusha kwenye vita vya pili vya dunia ambayo yalikua tani laki nne na kitu.
Theluthi ya raia wa NK waliuawa, zaidi ya watu milioni 3 waliuawa. Marekani ilibakisha sehemu ndogo tu iichukue Korea yote ile. Huyo mchina kaja kuingilia kipindi NK kashakula kichapo cha mbwa mwizi ndo majeshi ya US yakarudishwa nyuma hadi pale mpakani (DMZ). Unadhan Kim kung'ang'ania nukes ni mjinga?!,anawajua Marekani vilivyo...
Wakati wa vita vya Korea NK ilikua ishateka Korea kusini yote ikibakiza kisehemu kidogo tu iichukue SK yote, ndipo Marekani akaingia mzima mzima kumtandika NK kuanzia SK mpaka kwake tena chumbani kabisa kuanzia Pyongyang mpaka vijijini kabisa huko. Usicheze na Marekani ww... Hata vita sasa hv vikizuka huyo mchina atakuja kuingilia baadae kipindi dogo yuko hoi taabani ili kuokoa jahazi maaana mchina mwenyewe anajua shughuli ya Marekani.
![]()
![]()
![]()
Tuna waangalia kwa karibu sana lazima mpate mnachokitaka bila shaka hamtarudia kupitisha tena hizo ndege zenu huko pwani ya north!!
Swala la muda sehemu zote zipo kwenye target![]()
Hamtaki hata tuwasalimu jamani!..
Swala la muda sehemu zote zipo kwenye target
tumesha muonyesha tutazifanya nini!!View attachment 594937
U.S. yupo hoi kila aki plan anakuta yupo kwenye target !!Hahah!, mmeambiwa hamtadumu muda..
Unamfahamu huyu jamaa???![]()
Bush kaharibu sana lakini hajawahi kudhubutu kuisongelea N.Korea hujawahi kujiuliza ni kwanini??
Hii week haita isha N.Korea atatest bomu la nuclear la masafa marefu..... Na huu ndiyo mda wa kurusha kombora kisiwa cha Guam, halafu tuone Trump ata react vipi....
Trump anacho ofia ni jeshi lake limejaa mashoga wakienda vitani hawata rudi wataolewa na wanaume wa N.Korea....

mkuu U.S. amesha zeeka ndio maana Russia wamewaita watoto wa kindergarten !!
hana ubabe tena !!
kwa sasa Ubabe wa us umehamia kwenye Twitter!!