US bombers fly close to North Korea

US bombers fly close to North Korea

Mkuu as we speak tayari silaha za kivita za russia zipo NK.
alafu kumbuka kijiographia russia na NK wapo jirani
Kwa hio unataka kusema, Russia walishindwa kutimiza ahadi yao ya kumsaidia Sadamu, na kumuokoa mshirika wake Iraq , pia kuviokoa visima vyake vya mafuta kwasababu ya umbali????? Sio kweli.
 
US bombers have flown close to North Korea's east coast in a show of force, the Pentagon says.
The move is to demonstrate that President Donald Trump has a "range of military options to defeat any threat", spokeswoman Dana White said.
The US and North Korea have ramped up their rhetoric recently.
At the UN on Tuesday, Mr Trump said that he would "totally destroy" North Korea if the US was forced to defend itself or its allies.
Mtumzima hatishiwi nyau
 
Hii vita sio kama unavyodhani... I guess US akilianzisha basi atapambana na NK, RUSSIA, IRAN PLUS CHINA kwani hao ni allies


Talking is cheap.. Tokea umezaliwa hadi leo hii ulishasikia na kuona wapi U.S akianza kuigonga nchi yoyote kuna mtu atajaribu kuisaidia nchi inayopigwa..? Tumeona kila mahali from Iraq, Afghanistan, Libya hakuna aliyetia mguu kuisaidia.. So acha kuwaza ujinga eti NK itasaidiwa.. Nasema kipigo kitakatifu kikianza, no one WILL EVER STEP IN TO ASSIST NK... Kiduku will face FURY and FIRE the World has never seen..!! Subiria kipigo hujawahi ona maisha yako yote NK atakachofanyiwa..!!
 
View attachment 594660

images

Huu ndio mzigo wa Kiduku huu ndio unaowatisha zaidi USA

Yani ndege za Marekani unaongopea watu eti za Nk. Huyo mkorea anazitolea wapi mashine km hzo...
 
NK SAM
Tunakunamsubili Dotard
5V28-S-200V-Launcher-1S.jpg



mizokami_rockets.jpg
Unazungumzia SAMs ambazo Israel imekua ikiziJam kila siku kule Syria.
Kiduku ana S200 km zile za Syria ambazo kila siku zinahangaishwa na F15 za miaka ya 70 sembuse Leo kuna F22,B-2,?!
 
Mzee soma nembo za product nyingi hata hizi iPhone tunazo tumia zimeandikwa assembled in China made in america mchina hana ubunifu uchumi na maendeleo yake ya kisayansi ni yakuiga tunaita vertical progress anakua kwa kuendeleza kilichopo na nikutoka marekani na kusimama kwa China kunatokna na financial support kubwa kutoka marekani so hawezi kua upande wa Korea maana marekani itamuwekea vikwazo vya kiuchumi
Point
 
Vipi na ile manowari ya Urusi iliyogongana na meli ya mizigo mapema mwaka huu na ikazama, nayo ilidukuliwa nini?!.
3b5d8eabf4aa87a026d0a492eec63577.jpg
Hiyo meli sehemu zilipogongana ni sehemu ambayo meli nyingi sana zinapita hapo na kulikuwa na fog ( ukungu) mzito sana.
Hizo ni report zilivyokuwa lakini kama ulikuwa ni hujumu haijatangazwa kama habari za hizo meli za USA
5e6be3178c2071b6652a0c3d872f13f8.jpg
 
1950s mbona alichapwa na hao NK na CHINA au hujui historia?
historia ya wapi hiyo mkuu, embu leta hata source tuone.

Hivi hujui vita vya Korea marekani ilipiga mabomu Pyongyang yote ile mpaka wakawa wanaripoti kwamba hakuna cha kulipua tena mji wote upo udongoni.
Marekani ilirusha mabomu tani 650,000 kwenye ile vita zaidi ya mabomu yote iliyorusha kwenye vita vya pili vya dunia ambayo yalikua tani laki nne na kitu.
Theluthi ya raia wa NK waliuawa, zaidi ya watu milioni 3 waliuawa. Marekani ilibakisha sehemu ndogo tu iichukue Korea yote ile. Huyo mchina kaja kuingilia kipindi NK kashakula kichapo cha mbwa mwizi ndo majeshi ya US yakarudishwa nyuma hadi pale mpakani (DMZ). Unadhan Kim kung'ang'ania nukes ni mjinga?!,anawajua Marekani vilivyo...

Wakati wa vita vya Korea NK ilikua ishateka Korea kusini yote ikibakiza kisehemu kidogo tu iichukue SK yote, ndipo Marekani akaingia mzima mzima kumtandika NK kuanzia SK mpaka kwake tena chumbani kabisa kuanzia Pyongyang mpaka vijijini kabisa huko. Usicheze na Marekani ww... Hata vita sasa hv vikizuka huyo mchina atakuja kuingilia baadae kipindi dogo yuko hoi taabani ili kuokoa jahazi maaana mchina mwenyewe anajua shughuli ya Marekani.
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
fundi mbona unaanza kuweweseka mapema hivi wakati movie ndo kwanza inaaanza
sasa mkuu si amipita tu pembeni kama speed rocket
images (12).jpg
images (12).jpg

fundi mbona unaanza kuweweseka mapema hivi wakati movie ndo kwanza inaaanza
Apana mkuu mkuu nipo strong kama mkuu wangu kim!
kwanini mmezipitisha bila ata kutema mate kwenye aridhi ya Rocket Man !!?mmepita mbali sana kuwapa watu wenu matumain kuwa mpo!!
sidhani kama mtarudia tena!!
 
sasa mkuu si amipita tu pembeni kama speed rocket

Apana mkuu mkuu nipo strong kama mkuu wangu kim!
kwanini mmezipitisha bila ata kutema mate kwenye aridhi ya Rocket Man !!?mmepita mbali sana kuwapa watu wenu matumain kuwa mpo!!
sidhani kama mtarudia tena!!
Pembeni, tumepita kwenye pwani yenu mnasema pembeni. Tena eneo hilo tulilopita hakuna ndege yoyote ya kijeshi iliyogusa kwa karne hii ya 21 ila za US tu.
 
Pembeni, tumepita kwenye pwani yenu mnasema oembeni. Tena eneo hilo tulilopita hakuna ndege yoyote ya kijeshi iliyogusa kwa karne hii ya 21 ila za US tu.
kim atasema badae kwanini aliziacha ila yeye alishaweka wazi hatakuwa wa kwaza kurusha ata jiwe !
 
USA has showed military showcase in Korean Peninsula and it went as much closer to North Korea!!!
The deployed destroyer were the B1 Suicide Bomber escorted by F -35 the finisher !!!
Eti Mbwa Kim Jung Un sijui anataka nini!!! As a an international community we must come out and remove Kim family from power!!! This is a right time than never ever before!!
We need to live in our world peacefully!!! Without any intimidation!!!
Kim Must be be Assassinated by any means or Pyongyang must be destroyed to keep our world safe for our new generation.
Sasa mkuu ugomv kat ya nk na USA wew tz unaathirika vipi au kizaz chako


2pambane
 
Back
Top Bottom