wiseboy.
JF-Expert Member
- Aug 11, 2014
- 2,931
- 4,549
Poyoyo kweli Wewe, hata Saddam mlimsifia hivi hivi, Leo yuko wapi?Mmarekani atachapwa na itakiwa haibu.
Ukizingatia china anapiga jalamba akiwa upande wa Pyongyang.
China imeshamwokoa nani kijeshi na kiuchumi? Mugabe alipowekewa vikwazo akakimbilia China, je alipata nafuu?
Tatizo mmejaa ushabiki bila fact.
