Watawezaje kwa mfanoHivi hilo jiwe hawajarusha tu?
Akijambishiwa nae anajambisha...mara ya kwanza alipeleka
submarine kwenye rasi ya korea kapigwa bit kazitoa safari kaleta ndege hahahaha US bwana
Ungetafakari vizuri kule Sirya wala ungeandika tofauti
limekamatwa pabaya mkuuLina nguruma tuu
Ur in nightmare.. Marekani ilienda Syria kupigana vita? Lini? Hujui kabisa kumbe ww..

Atakunya nn Mkuu wakati mtu ana tumbo la kuhara...mimi nashindwa kumuelewa donad trump kwa ubabe wake kwanini hataki kunya pale ili kinuke





US Army is the thuggish and coward army .something that most of the people do not realize , Uncle Sam is scared to death when hearing these 2 words North Korea /Kim Jong UnWalienda kueneza ushoga na usagajiUr in nightmare.. Marekani ilienda Syria kupigana vita? Lini? Hujui kabisa kumbe ww..
Marekani alikwenda Syria kumuondoa Bashaar. Na kuweka kibaraka wake madarakani. Na kama ilivyo kawaida yake huwa hathubutu kupigana peke yake. Alianzisha vikundi ndani na jirani ya Syria ili kumsaidia.Ur in nightmare.. Marekani ilienda Syria kupigana vita? Lini? Hujui kabisa kumbe ww..
Mkuu huijui North Korea au umeijua baada ya kusikia chokochoko anazofanya ukadhani America ni wababe zaidi eh? Tafuta history yao ujue.Yani sijui unawaza nini,kabisa marekani apigwe na huyu mtoto...fikiria tena mkuu...marekani mtu mwingne
**Hivi unaweza kujitukana mwenyewe alafu ukawa na jazba/hasira sawa km umetukanwa na mtu mwingine?Poyoyo kweli Wewe, hata Saddam mlimsifia hivi hivi, Leo yuko wapi?
China imeshamwokoa nani kijeshi na kiuchumi? Mugabe alipowekewa vikwazo akakimbilia China, je alipata nafuu?
Tatizo mmejaa ushabiki bila fact.
Nasikia kapewa kazi ya kumsafishia choo Dotard, maana jamaa ana uharo pindi akisikia Kiduku akiliamsha dude ktk anga la Japan.Daaaa,......kuna jamaa humu anaitwa ze kokuyo ni bonge la kilaza aisee ....
Yy ni ushabiki tu kwenda mbele
Punguza mwendo mkuu kuna kona kali mbele!!Daaaa,......kuna jamaa humu anaitwa ze kokuyo ni bonge la kilaza aisee ....
Yy ni ushabiki tu kwenda mbele