US bombers fly close to North Korea

US bombers fly close to North Korea

Eti upepo kuwa pili pili lakini wewe!

Na hizi kauli zao za hivi karibuni hopefully hawatashtukiziana.
Mzee kim halali yupo na binocular ana angalia juu ya anga ole wenu mpite tena amesema atamnyoga mtu atakaye kosea target maana yatatumwa makombora 30 kwa kila ndege moja huko ma ICBM yakiwa kwenye submarine !!
 
mkuu anga lote lipo ndani ya target ninakuhakikishia trump hatarudisha tena hizo ndege zake hapo maaana U.S. anazijuwa akili za kim akisema amesema akili za kim wajapan wanazijuwa aliwakimbiza asubuhi alfajiri wakaacha shughuli zao za Hawa na Adam bila muafaka na kukimbilia mashimoni Ze kokuyo, analijuwa hilo!! nikujulishe tu kuwa kwa sasa Kim hazira zake zipo kiwango cha mwisho zikipita tena ni vita rasimi!!!!!!

Nawasiwasi mkuu leo wajapan wanaweza kulala kwenye mapango
Kim sio mchezo kabisa. Hii wiki hii namashaka nayo sana maana akili za Kim anazijua mkewe tuu, ila kwangu mim kama kunawatu magenius basi Kim ni bonge la genius maana ameweza kutatua tatizo kubwa sana na kuokoa nchi yake japo watu wengine wanamuona kilaza. Huu mgogoro utaisha kwa njia ya kidepromacia na Kim atapata haki zote anazo ziitaji maana kashika korodani la babu
 
Sasa km kiduku yupo fiti kwa nini hakuzidungua hizo bomber,nadhani walikuwa wanamuonesha wanaweza kuja angani kwake na kufanya lolote bila kizuizi
Aliziona na kuwaza na kuanza kuhesabu moja adi kumi pengine asinge hesabu Japan na south Korea zingekuwa historia muda huu Mkuu akituma mizigo 3 tu ya Hydrogen duh sijuwi km unajuwa hali itakuwa je!!
 
I see how umelelewa kwa kumtusi kila mmoja, unamtukana kila mtu.. Ni muda mrefu umeachiwa, umemtukana sana Mh. Rais wetu JPM, muda mrefu.. Ww kwako ni matusi na unajiona beberu.. Ur time is near.. Nikiwa mwana CCM, kwa haya matusi yako for a long time, siwezi kukubali, and ur stupid habits must come to an END, i mean END..!! PUMBAVU mkubwa
Tulia wewe mammalia kama unatabia ya kumtishia mumeo hapa umefika nyambafu wewe
 
US bombers have flown close to North Korea's east coast in a show of force, the Pentagon says.
The move is to demonstrate that President Donald Trump has a "range of military options to defeat any threat", spokeswoman Dana White said.
The US and North Korea have ramped up their rhetoric recently.
At the UN on Tuesday, Mr Trump said that he would "totally destroy" North Korea if the US was forced to defend itself or its allies.
Bla bla, blablabla bla, bla,
Hahaaa kwamaneno hayo trump anasubiri aanzwe au mshirika wake ndio amfyeke kiduku kwakiwango ambacho dunia haijawahi kushuhudia.
 
Nani kakwambia NK yupo top ten kwa ubora wa kijeshi?!
Na akina India,Pakistan, UK, German, France wawe namba ngapi?!
Kama Marekani iliingia Pakistan na kujam rada zao na kumuua Osama bila Pakistan kujua sembuse NK. Then fananisha Pakistan na nk nadhan jibu unalo.

Hizo ICBM Marekani anayo mitambo ya kuzitungua kabla hata hazijafika hata Guam, jiulize NK ana mitambo ya kuzuia ICBMs za Marekani?!
Anazo anazo,nyimbo hizo mumeimba since 2050s kinachowazuia msilianzishe ni mini? Mtabweka sana
 
Hali inazidi kuwa ya hatar sana, watu tunashindwa kujadili (critical analysis) tunafanya reporting na kubishana.
Leo NK imesema ipo tayar kwa vita na italipoa fight bomber za us hata kama zitakuwa nje ya air space yake. Hii vita hakuna taifa litakalo muunga mkono US na wakijua fika madhara yake kwa raia wao. Kama UK amemuunga mkono china kutumia njia ya kidepromacia kutatua huu mgogoro US atajikuta pekeyake. Sehem ambazo US alikuwa anapata msaada kwa marafik zake walikuwa wanajua udhaifu wa maeneo husika na walishambulia pasipo zuru nchi zao. Kwa NK hii ni tofaut sana. Babu anavuliwa nguo mchana kweupe kabisa
 
Mzee kim halali yupo na binocular ana angalia juu ya anga ole wenu mpite tena amesema atamnyoga mtu atakaye kosea target maana yatatumwa makombora 30 kwa kila ndege moja huko ma ICBM yakiwa kwenye submarine !!

Teh!, si mnajua na sisi tunawaangalia na bino...lol

th-39.jpeg
 
mkuu anga lote lipo ndani ya target ninakuhakikishia trump hatarudisha tena hizo ndege zake hapo maaana U.S. anazijuwa akili za kim akisema amesema akili za kim wajapan wanazijuwa aliwakimbiza asubuhi alfajiri wakaacha shughuli zao za Hawa na Adam bila muafaka na kukimbilia mashimoni Ze kokuyo, analijuwa hilo!! nikujulishe tu kuwa kwa sasa Kim hazira zake zipo kiwango cha mwisho zikipita tena ni vita rasimi!!!!!!
Fundi wee acha tuu...

I see how umelelewa kwa kumtusi kila mmoja, unamtukana kila mtu.. Ni muda mrefu umeachiwa, umemtukana sana Mh. Rais wetu JPM, muda mrefu.. Ww kwako ni matusi na unajiona beberu.. Ur time is near.. Nikiwa mwana CCM, kwa haya matusi yako for a long time, siwezi kukubali, and ur stupid habits must come to an END, i mean END..!! PUMBAVU mkubwa

  1. P
    Post
    US bombers fly close to North Korea
    kama unavyochapwa na mumeo?
    Post by: Precise Pangolin, 44 minutes ago in forum: International Forum
  2. P
    Post
    Bunge lamjibu Mbowe, ladai pesa wametuma hospitalini tarehe 20 Sept sababu hawakuwa na akaunti ya hospitali
    Mkuu piga za uso hawa wafuasi wa dikteta
    Post by: Precise Pangolin, Saturday at 5:38 AMin forum: Jukwaa la Siasa
  3. P
    Post
    Kitengo cha fedha cha CHADEMA kinaaibisha Taifa
    Tulia wewe mammalia unajiita daktari kumbe Ngariba eti ulikuwa unataka wale watoto waliopata ajali huko Arusha watibiwe mount meru ili upate ulaji...
    Post by: Precise Pangolin, Saturday at 5:36 AMin forum: Jukwaa la Siasa
  4. P
    Post
    Ukakasi mzito shambulizi la Tundu Antipass Lissu
    Tulia na mumeo huko wewe mammalia usilete shombo za mapenzi hapa nyambaf
    Post by: Precise Pangolin, Saturday at 5:33 AMin forum: Jukwaa la Siasa
  5. P
    Post
    Lema inabidi aende shule ili atimize malengo
    Vipi akirudi toka shule utakuwa unampa saburi?
    Post by: Precise Pangolin, Friday at 12:29 PM in forum: Jukwaa la Siasa
  6. P
    Post
    Mbowe: Jumla ya sh 204M za matibabu ya Lissu zimechangwa, aomba michango zaidi, aishutumu Serikali kuhusika na shambulio
    Mkuu hawa jamaa wameshakuwa brainwash na dikteta hawaambiwi
    Post by: Precise Pangolin, Friday at 12:28 PM in forum: Jukwaa la Siasa
  7. P
    Post
    Mapinduzi ya Viwanda; Wazungu walianzaje na walifanikiwaje?
    Huyu Mzungu wetu anafikiri viwanda vinakuja kwa kurusharusha mikono huku akiomba aombewe wakati uchumi una principle zake ambazo hazihitaji sala....
    Post by: Precise Pangolin, Friday at 12:26 PM in forum: Jukwaa la Siasa
  8. P
    Post
    Rais Magufuli azindua barabara ya KIA hadi mji wa Mererani, Awataka JWTZ kujenga Ukuta kuzunguka Machimbo ya Tanzanite
    Mmezoea kuua mnafikiri nyinyi mtaishi milele na dictator wenu walikuwepo wakina Hitler, Idd Amin, Bokassa na Mobutu sasa hivi wako wapi? ni swala...
    Post by: Precise Pangolin, Friday at 12:19 PM in forum: Jukwaa la Siasa
  9. P
    Post
    Rais Magufuli azindua barabara ya KIA hadi mji wa Mererani, Awataka JWTZ kujenga Ukuta kuzunguka Machimbo ya Tanzanite
    Nitahamia kwenye masaburi yako kwanza kabla sijaenda kenya
    Post by: Precise Pangolin, Friday at 10:50 AM in forum: Jukwaa la Siasa
  10. P
    Post
    Suala la Lissu: Serikali tumeisikia, sasa familia ichukue jukumu lake
    Nyie jukumu lenu ni kuwakamata wale waliomdhuru kazi ya kulipia matibabu tuachieni acheni usanii au mlimdhuru ili mje mlipie ubani au matibabu...
    Post by: Precise Pangolin, Friday at 4:24 AM in forum: Jukwaa la Siasa
  11. P
    Post
    Je Mh.Mwigulu aruhusu maombi ya TL, pamoja na tshirts?
    Kuna yule jaji mchumia tumbo anasema mahakama za dikteta ni huru kuliko za kenya
    Post by: Precise Pangolin, Friday at 4:18 AM in forum: Jukwaa la Siasa
  12. P
    Post
    Jaji Mkuu: Tusijifananishe na Kenya, Mahakama zetu zipo huru zaidi
    Baada ya kuukosa ujaji mkuu unaanza kujielewa bado dikteta atakushika saburi ndio uanze kubwatuka vizuri
    Post by: Precise Pangolin, Friday at 4:15 AM in forum: Jukwaa la Siasa
  13. P
    Post
    Mgawanyo wa majukumu: Serikali watafuteni wasiojulikana, matibabu ya Lissu tuachieni sisi wananchi
    Watumie hizo hela kuwatuma wa kina kinana kwenye matibabu india
    Post by: Precise Pangolin, Thursday at 10:07 PMin forum: Jukwaa la Siasa
  14. P
    Post
    Baada ya Serikali kusema ipo tayari kulipia matibabu ya Lissu; Peter Msigwa, Godbless Lema na Mbowe wakosoa kauli hiyo
    Naona mzee wa kizibao albadri inakunyoosha tulia hivyohivyo dawa iingie
    Post by: Precise Pangolin, Thursday at 9:53 PMin forum: Jukwaa la Siasa
  15. P
    Post
    Baada ya Serikali kusema ipo tayari kulipia matibabu ya Lissu; Peter Msigwa, Godbless Lema na Mbowe wakosoa kauli hiyo
    Mnajificha nyuma ya watu wanyonge huku mnawapiga risasi watetezi wao mtanyooka tuu
    Post by: Precise Pangolin, Thursday at 9:51 PMin forum: Jukwaa la Siasa
  16. P
    Post
    Baada ya Serikali kusema ipo tayari kulipia matibabu ya Lissu; Peter Msigwa, Godbless Lema na Mbowe wakosoa kauli hiyo
    Walikuwa wanafikiri anakufa sasa matumaini yao sasa yamepungua sana hata faru john keshaanza kuwa kama kichaa
    Post by: Precise Pangolin, Thursday at 9:50 PMin forum: Jukwaa la Siasa
  17. P
    Post
    Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania JWTZ laanza kutekeleza agizo la Kujenga Ukuta Mgodi wa Tanzanite
    Kwahiyo mwingine anarusha mikono huku kuwa nchi imechezewa?
    Post by: Precise Pangolin, Thursday at 9:44 PMin forum: Jukwaa la Siasa
  18. P
    Post
    Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania JWTZ laanza kutekeleza agizo la Kujenga Ukuta Mgodi wa Tanzanite
    Ndio Mkuu Nilivaa Tshirt ya pray for Lissu nikakamwatwa lakini waliokuwa wamevaa za pray for Dikteta walikuwa wanapita bila bugudha
    Post by: Precise Pangolin, Thursday at 8:17 PMin forum: Jukwaa la Siasa
  19. P
    Post
    Uchumi wa Magufuli: Precision Air Yapumulia Machine. Yapunguza Wafanyakazi 136!
    Mkuu rudisha ile avatar yako hii inatuchanganya almanusura niachie mitusi mkuu
    Post by: Precise Pangolin, Thursday at 8:16 PMin forum: Jukwaa la Siasa
  20. P
    Post
    Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania JWTZ laanza kutekeleza agizo la Kujenga Ukuta Mgodi wa Tanzanite
    Kwani aliyesema ukutwa ujengwe si mzee wa kukurupuka au unajifanya hujui? alifanya study kabla ya kusema mwambie aende UN akatiririke kama wenzake...
    Post by: Precise Pangolin, Thursday at 8:13 PMin forum: Jukwaa la Siasa
Showing results 1 to 20 of 759Next >
Search Again
12345638
ForumsSearch

  • WHO ARE WE?
    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic. You are always welcome!
    Read more...
  • WHERE ARE WE?
    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually. For anything related to this site please Contact us.
    Contact Us Now...
  • DISCLAIMER
    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..
    Read more...
  • FORUM RULES
    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you. You MUST read them and comply accordingly
    Read more...
  • PRIVACY POLICY
    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one. Read our Privacy Policy.
    Proceed here...

  1. Forums
    Post
    Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania JWTZ laanza kutekeleza agizo la Kujenga Ukuta Mgodi wa Tanzanite
    Yani kusimama kwenye mstari ndio ukuta? hebu acheni usanii sisi tupo busy kumuombea Lissu
    Post by: Precise Pangolin, Thursday at 8:05 PMin forum: Jukwaa la Siasa
  2. P
    Post
    Rais Magufuli azindua barabara ya KIA hadi mji wa Mererani, Awataka JWTZ kujenga Ukuta kuzunguka Machimbo ya Tanzanite
    Pumbafu ni wewe na mume wako pamoja na hilo dikteta lenu
    Post by: Precise Pangolin, Thursday at 7:17 PMin forum: Jukwaa la Siasa
  3. P
    Post
    Rais Magufuli azindua barabara ya KIA hadi mji wa Mererani, Awataka JWTZ kujenga Ukuta kuzunguka Machimbo ya Tanzanite
    Nenda uganda ukapate history ya idd Amini au Ujerumani kwa Hittler au magogoni ukaonane nae
    Post by: Precise Pangolin, Thursday at 11:16 AMin forum: Jukwaa la Siasa
  4. P
    Post
    Rais Magufuli azindua barabara ya KIA hadi mji wa Mererani, Awataka JWTZ kujenga Ukuta kuzunguka Machimbo ya Tanzanite
    Kwani inahitaji rocket science kujua nchi inaongozwa kidikteta?
    Post by: Precise Pangolin, Thursday at 7:24 AMin forum: Jukwaa la Siasa
  5. P
    Post
    Lini Rais wetu Dr. John Pombe Magufuli atahutubia UN?
    Nilitegemea Dr kama yeye angeweza kutiririka kuliko hata kenyatta ambaye sio Dr
    Post by: Precise Pangolin, Wednesday at 9:56 PM in forum: Jukwaa la Siasa
  6. P
    Post
    Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya ampongeza Rais Magufuli, amuita jembe
    Huyu hana ubaguzi kama dikteta
    Post by: Precise Pangolin, Wednesday at 4:25 PM in forum: Jukwaa la Siasa
  7. P
    Post
    Nyalandu azidi kumpigania Lissu, kuangalia uwezekano wa kupata rufaa ya matibabu Marekani
    Kumbuka matatizo ya lissu yameletwa na nyinyi halafu unataka ahudumiwe na haohao walio mswaga risasi? hii laana haitowaacha
    Post by: Precise Pangolin, Wednesday at 4:19 PM in forum: Jukwaa la Siasa
  8. P
    Post
    Kauli za rais wa Tanzania na mtetezi wa wanyonge Dkt. Magufuli leo mkoa wa Manyara
    Ni kawaida ya mauchwara kuonyesha yana huruma hata Idd amini alikuwa hivyohivyo
    Post by: Precise Pangolin, Wednesday at 4:14 PM in forum: Jukwaa la Siasa
  9. P
    Post
    Rais Magufuli azindua barabara ya KIA hadi mji wa Mererani, Awataka JWTZ kujenga Ukuta kuzunguka Machimbo ya Tanzanite
    Hapana Mkuu wanatuka serikali ya kidikteta
    Post by: Precise Pangolin, Wednesday at 4:01 PM in forum: Jukwaa la Siasa
  10. P
    Post
    Rais Magufuli azindua barabara ya KIA hadi mji wa Mererani, Awataka JWTZ kujenga Ukuta kuzunguka Machimbo ya Tanzanite
    Wale diaspora wanaojielewa sio wakina Nyani Ngabu ambao wamesha adhirika na harufu za vizee
    Post by: Precise Pangolin, Wednesday at 10:57 AM in forum: Jukwaa la Siasa
  11. P
    Post
    Siku ya 12 leo watu "wasiojulikana" waliotaka kupora maisha ya Tundu Lissu bado kupatikana!!!
    Hii laana hatomuacha hata akikesha kanisani mwaka mzima
    Post by: Precise Pangolin, Wednesday at 4:37 AM in forum: Jukwaa la Siasa
  12. P
    Post
    Tanzania haijulikani Duniani kiivyooo kama magazeti yetu yanavyoripoti eti Dunia nzima ni Tundu Lissu tu!
    Ulikuwa unafikiri Lissu ni level ya polepole sio mtanyooka tu
    Post by: Precise Pangolin, Tuesday at 10:35 AMin forum: Jukwaa la Siasa
  13. P
    Post
    Mbunge wa Tarime John Heche kupeleka hoja binafsi muda wa Urais, Ubunge upunguzwe
    Kwa Rais anatakiwa awe under brobation ya nusu mwaka akifail kama dikteta anatimuliwa
    Post by: Precise Pangolin, Tuesday at 6:50 AMin forum: Jukwaa la Siasa
  14. P
    Post
    Tanzania among top 10 Places to Invest in Africa 2018
    Hii nchi dikteta ataigharimu sana ajifunze kwa wenzake sio kurusharusha mikono kama muimbisha kwaya
    Post by: Precise Pangolin, Tuesday at 6:33 AMin forum: Jukwaa la Siasa
  15. P
    Post
    Rais Dr. John Pombe Magufuli na mwendelezo wa kutokuhudhuria vikao vya Kimataifa nje ya nchi
    Kujenga hoja hawezi zaidi ya kurusha mikono kama anajiandaa kupiga mbizi
    Post by: Precise Pangolin, Sep 18, 2017 in forum: Jukwaa la Siasa
  16. P
    Post
    Lissu kuchangingiwa matibabu na watanzania kutamfanya awe mzalendo mara mbili ya alivyo sasa
    Yule anaetaka aombewe anakaimu nafasi ya idd Amini lakini anajificha kwenye neno wanyonge
    Post by: Precise Pangolin, Sep 18, 2017 in forum: Jukwaa la Siasa
  17. P
    Post
    CHADEMA 'mnazingua'
    Huyu jamaa ukimpa kesi ya kuku tu hata kama ushaidi unatosheleza unaweza ukapigwa nyundo kama 30 kama mtu aliyebaka utafikiri umeiba wewe kumbe...
    Post by: Precise Pangolin, Sep 18, 2017 in forum: Jukwaa la Siasa
  18. P
    Post
    CHADEMA 'mnazingua'
    Nenda kwenye forum za wajanja huko USA uone moto sio kuja kutishia hapa na kiingereza chako cha kuosha vidingi
    Post by: Precise Pangolin, Sep 18, 2017 in forum: Jukwaa la Siasa
  19. P
    Post
    CHADEMA 'mnazingua'
    Badala ya kuandaa submission za mahakamani unakuja na vithread vinavyo fanana na jingalao
    Post by: Precise Pangolin, Sep 18, 2017 in forum: Jukwaa la Siasa
  20. P
    Post
    CHADEMA 'mnazingua'
    Wewe naona umeanza kuzeeka vibaya tena sana wewe huoni mpaka Rais wenu wa TLS ameshambuliwa na risasi baada ya kuongelea ufisadi wa madini halafu...
    Post by: Precise Pangolin, Sep 18, 2017 in forum: Jukwaa la Siasa
Showing results 21 to 40 of 759Next >
Search Again
12345638
ForumsSearch

  • WHO ARE WE?
    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic. You are always welcome!
    Read more...
  • WHERE ARE WE?
    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually. For anything related to this site please Contact us.
    Contact Us Now...
  • DISCLAIMER
    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..
    Read more...
  • FORUM RULES
    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you. You MUST read them and comply accordingly
    Read more...
  • PRIVACY POLICY
    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one. Read our Privacy Policy.
    Proceed here...
kesi ya msingi hapa ni ipi wee jamaa una akili sana ungekwenda shule ungekuwa nesi!!
 
Hahaaa!, lazima tuje kupima hali ya hewa kuona muda muafaka. .

Waziri wa mambo ya nje wa Korea Kaskazini amedai kwamba rais wa Marekani Donald Trump ametangaza vita dhidi ya taifa hilo wamesema.hatakama hamtakuwa kwenye anga a korea ya kasikazini wata wafuata huko huko kwenye anga la Japan au south duh mmeona sasa sijuwi kama mtarudi tena!!
 
Nawaza kubwajinga kesho atasema nin kwenye mitandao, sijui atapeleka submarine au atajaribu nae makombora yake au ataweka vikwazo vipya
 
Waziri wa mambo ya nje wa Korea Kaskazini amedai kwamba rais wa Marekani Donald Trump ametangaza vita dhidi ya taifa hilo wamesema.hatakama hamtakuwa kwenye anga a korea ya kasikazini wata wafuata huko huko kwenye anga la Japan au south duh mmeona sasa sijuwi kama mtarudi tena!!

Aseeh!, Fundi naona huyo Kim wenu anaitafuta vita kwa nguvu zote..
 
Aseeh!, Fundi naona huyo Kim wenu anaitafuta vita kwa nguvu zote..
Amesha tuma ujumbe wa barua U.N. na nchi kibao kwamba asilaumiwe kwa kile atakacho kifanya !!!
ni hatari ndugu tafadhali msipite tena pande za huku maana nitashindwa kuingia north mwezi hujao!!
 
Poyoyo kweli Wewe, hata Saddam mlimsifia hivi hivi, Leo yuko wapi?
China imeshamwokoa nani kijeshi na kiuchumi? Mugabe alipowekewa vikwazo akakimbilia China, je alipata nafuu?
Tatizo mmejaa ushabiki bila fact.
Sadam aliwai kuzindua kombora gan? Kim ni zaid ya hatari usimfananishe na mwaarabu yyte
 
Nasubir kiburi cha US kama atapeleka tena bomber zake jiran na NK.
US akiweka mkwala NK anavunja mara moja na US anakimbilia vikwazo akijua NK itapoteza nguvu, matokeo yake kiduku anaimarika zaid babu anachanganikiwa. Lakin NK akisema hik sitak kukiona US faster anaondoa anajua nin kitakuja.
Saiz nasubir mtambo mwingine upite Japan na ukaribie zaid Us
 
Back
Top Bottom