US Ambassador to Libya has been killed

US Ambassador to Libya has been killed

Status
Not open for further replies.
a point to note.., hyo filamu ilitengenezwa online na watu binafsi na sio US kama nchi.., nadhani walioua balozi na hao foreign service officers(spies) wali-over react..,

Kitu kimetengenezwa online na vigilantes US serikali inahusika vp hadi kuua diplomats wake ambao kwa makubaliano ya kimataifa pia hua wanakinga kwenye maswala mengi tu!!
 
Huu ni mtihani mkubwa kwa Obama!. Hakuna binadamu yoyote anapenda mabaya yamfike binadamu mwingine, lakini ubabe wa US, UK dhidi ya Ghadaf is now paying off!. I wish all Americans na UK waliongiza pua zao kwenye vamizi mbalimbali za kibeberu wawe wiped out ili to give them a lesson to away with their imperialistic agressive wars ambazo zote ni invation!.

Let Americans learn, I wish Iraq na Afghanistan pia watoe somo kama la Libya na wasiishie kwa Mmarekani tuu bali kwa Mmarekani na washirika wake wote akiwemo mshirika mkuu UK!.

Kitendo hiki kitawaumiza sana vichwa na kumfanye Mmarekani ajiulize mara mbili mbili kabla haja launch war nyingine ya aggresion.

Najua Wamarekani na washirika wao na hawa Puppets wao humu jf watalia sana tena kwa sauti kubwa ajabu as if akifa Mmarekani ndie a human being ila kina Osama, Saadam, Ghadaf and all others are not a human.

Human being is human being and all are equal and deserve to live na sio philosophy ya Muamerika only some people deserves to live while others deserves to die!, so "let the living dead so that the dead will live"

Poleni!.

Pasco.
 
Kwa kweli ningeshangaa... Amerika wamefanya trick, na result yake ni kubwa sana hii yote ni ile program yao ya mind controll na new world order
 
[h=1]
091212_goler_stevens_640.jpg

Statement by President Obama on the attack in Benghazi[/h]The White House issued the following statement in response to the death of J. Christopher Stevens, the U.S. Ambassador to Libya:
I strongly condemn the outrageous attack on our diplomatic facility in Benghazi, which took the lives of four Americans, including Ambassador Chris Stevens. Right now, the American people have the families of those we lost in our thoughts and prayers. They exemplified America's commitment to freedom, justice, and partnership with nations and people around the globe, and stand in stark contrast to those who callously took their lives.
I have directed my Administration to provide all necessary resources to support the security of our personnel in Libya, and to increase security at our diplomatic posts around the globe. While the United States rejects efforts to denigrate the religious beliefs of others, we must all unequivocally oppose the kind of senseless violence that took the lives of these public servants.
On a personal note, Chris was a courageous and exemplary representative of the United States. Throughout the Libyan revolution, he selflessly served our country and the Libyan people at our mission in Benghazi. As Ambassador in Tripoli, he has supported Libya's transition to democracy. His legacy will endure wherever human beings reach for liberty and justice. I am profoundly grateful for his service to my Administration, and deeply saddened by this loss.
The brave Americans we lost represent the extraordinary service and sacrifices that our civilians make every day around the globe. As we stand united with their families, let us now redouble our own efforts to carry their work forward.
 
Jmushi...Tatizo ni kwamba wengi wetu hatujui kama America ni nchi ya ma-extremist kutokana na siasa zao za nje.Nawengi wetu tunajua kama neno extremist linawahusu waisilamu tu na sio kutoka ktk dini nyingine tofauti.Na hii inatufanya kuwepo na ufahamu au kutofautiana ktk kufahamu siasa jinsi zinavopambwa kadiri ya uwezo wa kushawishi jambo na watu walikubali.Kiukweli ni kwamba extremist wapo ktk dini au itikadi tofauti mfano kwa alie leta nyuzi hii ametumia neno Arm group Islamist militants na kajisahau kama nchi yenyewe ni waisilamu na sidhani kama kutakuwa na kikundi kinachotoka ktk dini tofauti na uisilamu.Na vilvile amesahau kama hao Islamist militants waliundwa na hao hao America na kupewa silaha pamoja na pesa za kuchochea mauaji kinyume na sheria za kibinaadamu.And I wonder America atapigana vita ngapi hapa duniani na mpaka lini wataendelea kuua wanawake,watoto na hata wazee wasiokuwa na hatia?Na je faida gani inapata mpaka sasa hivi kwa mungu na duniani?Any way tutaendelea kushuhudia....
Halafu kuna watu wanawasapoti.Marepublican extremist ni kama alkaeda tu.So huwa nashangazwa sana,cheki jamaa yako hapo juu.Ushabiki tu kama mpira wa miguu.Hao hawafai kupewa nchi tena.Mark my words,it will take time.Wamarekani walio wengi hawana mawazo kama yao.Disgusting yani.
 
Republicans wamepenyeza ushauri mbaya kwa Rais. Obama hii kitu ya kuingilia Libya personally hakutaka ndio maana akaongea na "mchizi wake" Sarkozy kuwa waingia under the cover of France and Italy and later NATO.
Sitashangaa nikisikia Reps ndio wamewasaidia extremists kuaccomplish mission yao ili kujirahisishia kampeni.
Baeleze mkula,vitu vingine si vya kushabikia kama hauna appropriate knowledge kuhusiana navyo.Ushabiki shabiki tu.
 
Huu ni mtihani mkubwa kwa Obama!. Hakuna binadamu yoyote anapenda mabaya yamfike binadamu mwingine, lakini ubabe wa US, UK dhidi ya Ghadaf is now paying off!. I wish all Americans na UK waliongiza pua zao kwenye vamizi mbalimbali za kibeberu wawe wiped out ili to give them a lesson to away with their imperialistic agressive wars ambazo zote ni invation!.

Let Americans learn, I wish Iraq na Afghanistan pia watoe somo kama la Libya na wasiishie kwa Mmarekani tuu bali kwa Mmarekani na washirika wake wote akiwemo mshirika mkuu UK!.

Kitendo hiki kitawaumiza sana vichwa na kumfanye Mmarekani ajiulize mara mbili mbili kabla haja launch war nyingine ya aggresion.

Najua Wamarekani na washirika wao na hawa Puppets wao humu jf watalia sana tena kwa sauti kubwa ajabu as if akifa Mmarekani ndie a human being ila kina Osama, Saadam, Ghadaf and all others are not a human.

Human being is human being and all are equal and deserve to live na sio philosophy ya Muamerika only some people deserves to live while others deserves to die!, so "let the living dead so that the dead will live"

Poleni!.

Pasco.

Pasco
Wamarekani wametoka kwenye kumbukumbu ya september 11, hii inavyotokeaLibya, hapa Tanzania ni kama tunarudishwa kwenye kumbukumbu za Daud Mwangosi, na kama binadamu ye yote mwenye akili na utushi, anayejali haki ya kila mtu ya kuishi sidhani kama anaweza kuwa na kauli ya kufurahia mauaji kama haya, labda wale walio kwenye ule mfumo wa Alkaida na vikundi vingine vyenye msimamo mkali. Nadhani Pasco umenipata, naamini sisi hapa tulio wengi tuna viwango vya kufikiri kwa kiwango cha juu zaidi na kuwa na mwono wa mbele zaidi.

Nimejifunza katika maisha na uzoefu wangu, tukio kama hili watakao umia zaidi ni wao na dunia kwa vile hawa mabwana ndio wanaoishika dunia. Nasema hivi kwa sababu zifuatazo.
Katika safari zangu za mara kwa mara hakuna kitu kinachoniudhi Ulaya kufanya ubaguzi wa wazi kuwakagua kwa namna ya pekee watu weusi customs kuliko rangi nyeupe, na hili kwa vile liliniudhi niliwalipukia pale Shipoli ya Uholanzi kwamba ninyi mnatufanya waafrika tuendelee kuwa victims wa ubaguzi wa rangi hadi lini wakati tupo wengi lakini wanaovutwa mtarini ni wa rangi nyeusi, wengi pale waligeuka kunitazama kwa mshtuko wa ushujaa wangu. Yule mzungu aliona aibu ni kunirudishia pass yangu nirudi mrarini. Tukiwa njiani kupanda ndege mzungu mmoja simjui alinipa mkono wa pongezi.

Nimesema hayo tu kuonyesha hawa jamaa bado wanatuona tuko wa daraja gani, ingawa baada ya kusema kauli yangu wakati hata hajaisoma passport yangu alipoitazama na kunitazama mara ya pili alinirudishia mara moja. Lakini ukweli unabaki tu kwamba unyanyasaji dhidi ya Waafrika bado ungalipo, vinginevyo uonekane watoka taifa kubwa watakujali. Kama hujavaa kitanzi shingoni basi we unaweza kuilipua ndege, wenye vitanzi shingoni wanapita tu kwa vile wamestaarabika, utumwa huu wa utamaduni wa nchi za magharibi sikubaliani na sitakuwa kibaraka wa hilo hata siku moja, namkumbuka Nyerere sasa hivi.

Walichofanya Libya kwa taifa kubwa kama lile watakaojuta zaidi ni wao, kwani hii ni sawa na ule usemi wa kuku kumsimanga Kunguru anayemmalizia vifaranga vyake;
"uta wangu upo kulee!"
 
Naona hii thread kila mchangiaji yupo against America, It is amazing!.

[h=2]Report: Drones headed to Libya[/h]
A senior U.S. official tells CNN that U.S. unmanned surveillance drones are expected to begin flying over Benghazai and other locations in eastern Libya to look for jihadi encampments and targets that may be tied to the attack on U.S. State Department personnel.
The proposal for use of drones is expected to be approved shortly by the Pentagon and the White House, CNN's Pentagon Correspondent Barbara Starr reported. The official said the plan is for U.S. surveillance drones to gather the intelligence and then hand it off to the Libyans to strike the targets.

Obama mjinga sana.

Wewe utawekaje ulinzi hafifu kwenye ubalozi uliopo Benghazi?
 
Romney is an empty vessel when it comes to foreign policy. Doubtless there was a conference call with the collection of unrepentant, hidebound neocons who make up his foreign policy team; they told him what to say and he marched out and said it – facts be damned, full partisan speed ahead. He was nervous and halting in his responses to queries because the views he had just expressed weren't the product of his own deliberative thought process. He'd rented them, as it were. This is scary stuff, folks. Predictable. But scary, nonetheless.
 
Naona hii thread kila mchangiaji yupo against America, It is amazing!.

Report: Drones headed to Libya

A senior U.S. official tells CNN that U.S. unmanned surveillance drones are expected to begin flying over Benghazai and other locations in eastern Libya to look for jihadi encampments and targets that may be tied to the attack on U.S. State Department personnel.
The proposal for use of drones is expected to be approved shortly by the Pentagon and the White House, CNN's Pentagon Correspondent Barbara Starr reported. The official said the plan is for U.S. surveillance drones to gather the intelligence and then hand it off to the Libyans to strike the targets.

Sometimes they deserve it.
 
Halafu kuna watu wanawasapoti.Marepublican extremist ni kama alkaeda tu.So huwa nashangazwa sana,cheki jamaa yako hapo juu.Ushabiki tu kama mpira wa miguu.Hao hawafai kupewa nchi tena.Mark my words,it will take time.Wamarekani walio wengi hawana mawazo kama yao.Disgusting yani.

Nadhani wanasiasa wa marekani na hata ulaya ni lazima awe extremist ili akamilishe itikadi zao na tofauti zao labda ni ndani ya nchi na idadi ya mauaji au vita vingapi wamesaini nje.Kwasababu Bush alianzisha vita na akamwaga damu nyingi sana lakini Obama kaendeleza kwa staili yake na anaendelea kumwaga damu za inocent people wakiwemo watoto.Nadhani mgombea ni lazima awe na roho mbaya zaidi ili ashinde na wala sioni tofauti ya hivi vyama vyao viwili ambavo ndio vinaongoza siku zote,ni sawa na vyama vya uingereza yaani Conservetive na Labour party ambavyo tofauti yake ni ndani ya nchi lakini ukija siasa ya nje hazitofautiani uzi ni uleule.Na hapa kwetu hawa watu wenye kushabikia ni wale wasio na ujuzi wa kisiasa na hata uchangiaji wao utaona umekaa kisiasa uchwara na udini na hakuna jingine wanachokijua.
 
Si ndiyo hawa wamarekani walitoka front kupongeza mauaji ya Ghadafi na kusema demokrasia imefikia, justice has been done!!!! Ha ha ha !!!! Now justice has been done to your american blood!! So hakuna kulalamika and Obama wala asilaumiwe maana marekani haitakiwi kabisa nchi za kiislam!!!
 
Wakulu,

Nimesoma maoni ya waliotangulia na wengi wanatoa mkono wa pongezi kwa kikundi cha watu wachache ambao waliamua kumuua balozi Chris Stevens.

Balozi huyo ameishi nchini Libya kwa kitambo kirefu aliifahamu nchi hiyo ndani nje na alikuwa na uelewa wa namna siasa jamii na uchumi wa nchi hiyo zinavyoendeshwa wakati wa utawala wa Gaddaffi na baada ya kuondolewa na kuuwawa kiongozi huyo.

Balozi Stevens inaelezwa alikwishatoka kwenye jengo akisaidiwa na jamaa wa "Marines" ila alipotoka na kujaribu kuingia kwenye gari ambalo lingemtorosha ndipo mhuni mmoja akamuua kummaliza kabisa kwa kurusha kombora na huo ndio ukawa mwisho wa maisha ya balozi Stevens.

Nafikiri ni tukio linalofanana na lile la kwenye filamu ya "Clear and Present Danger" ambapo Jack Ryan - mzee Harrison Ford aliponea chupuchupu kuuwawa na kikundi cha waasi mjini Bogota wakati msafara wao uliposhambuliwa.

Kwahio kitendo cha kwenda kushambulia jengo la ubalozi wa USA pale Benghazi baada ya kufanya shambulizi linalofanana na hilo mjini Cairo nchini Misri siku ya Jumanne, hakiwezi kuvumiliwa na itakuwa ni "good dog looking for bad dog and dog eat dog situation" kuwatafuta wale wote walohusika kufanya mauaji hayo.

Huyu jamaa Sam Bacile ambae ametunga filamu hii na kuipa jina la "Innocent Muslims" halafu baadae anasema kwamba "Uislam ni Sarakani", ni kitendo cha kulaaniwa vikali na kwa kuwa yeye ni Myahudi amejipalilia makaa na itabidi aendelee kujificha huko California maana hakuna atakaevumilia matusi yake.

Tusidanganyane wakulu, Marekani itawatafuta watu walohusika kwa udi na uvumba na Pentagon tayari wamekwishawatuma "Special Marines" kwenda Libya kufanya kazi.

Hiki si kitendo cha kukibeza na anapouwawa "diplomat" tena wa USA ni jambo linalohitaji angalizo, ingawa bado ni kitendo kinachowakumbusha wamarekani "Clear and Present Danger" popote walipo.
 
Nadhani wanasiasa wa marekani na hata ulaya ni lazima awe extremist ili akamilishe itikadi zao na tofauti zao labda ni ndani ya nchi na idadi ya mauaji au vita vingapi wamesaini nje.Kwasababu Bush alianzisha vita na akamwaga damu nyingi sana lakini Obama kaendeleza kwa staili yake na anaendelea kumwaga damu za inocent people wakiwemo watoto.Nadhani mgombea ni lazima awe na roho mbaya zaidi ili ashinde na wala sioni tofauti ya hivi vyama vyao viwili ambavo ndio vinaongoza siku zote,ni sawa na vyama vya uingereza yaani Conservetive na Labour party ambavyo tofauti yake ni ndani ya nchi lakini ukija siasa ya nje hazitofautiani uzi ni uleule.Na hapa kwetu hawa watu wenye kushabikia ni wale wasio na ujuzi wa kisiasa na hata uchangiaji wao utaona umekaa kisiasa uchwara na udini na hakuna jingine wanachokijua.
Utofauti ni kwamba,Libya ingekuwa chini ya full US occupation kama rais angekuwa wa republican.Na pengine maafa yangekuwa makubwa zaidi.Obama yeye ni drones na pin pointed attacks,yeye hana politics za ki cowboy.
 
Romney is an empty vessel when it comes to foreign policy. Doubtless there was a conference call with the collection of unrepentant, hidebound neocons who make up his foreign policy team; they told him what to say and he marched out and said it – facts be damned, full partisan speed ahead. He was nervous and halting in his responses to queries because the views he had just expressed weren't the product of his own deliberative thought process. He'd rented them, as it were. This is scary stuff, folks. Predictable. But scary, nonetheless.
Mitt Romney is a disaster when it comes to foreign policy, GOP establishment wanajuta kuwaachia watu wenye pesa kumfanya huyu bwana afike mpaka hapo alipo. Hebu angalia hapa jinsi walivyomuacha kwenye mataa.

[TD="colspan: 2"] [/TD]

[TD="colspan: 2"] Hill GOP leaves Romney out on limb on Libya
By: Scott Wong
September 12, 2012 10:56 AM EDT

[/TD]

[TD="class: story, colspan: 2"] Senior Republicans on Capitol Hill are leaving GOP presidential nominee Mitt Romney out on a limb after he criticized President Barack Obama's "disgraceful" handling of the assault on the U.S. embassy in Libya, which led to the death of U.S. ambassador Chris Stevens.
Indiana Sen. Dick Lugar, the top Republican on the Foreign Relations Committee who personally knew Stevens, refused to assign any blame to the Obama administration.​
"My heart is with Mr. Stevens, my former staff member, my friend," Lugar told POLITICO on Wednesday. As a Pearson Fellow to the Senate Foreign Relations Committee, Stevens served as a staffer for Lugar in 2006. Lugar helped shepherd Stevens's nomination as ambassador through his panel earlier this year.​
"I'm not going to make any comment about the political. None," the senator added.​
While Romney was very critical of Obama in a morning statement on the Libya attacks, senior Republicans across the board avoided criticizing the administration shortly after Stevens' death was announced.​
Obama didn't even get a mention in most GOP press statements blasted Wednesday morning.​
"We mourn for the families of our countrymen in Benghazi, and condemn this horrific attack," House Speaker John Boehner said in a statement Wednesday.​
"Eleven years after September 11, this is a jolting reminder that freedom remains under siege by forces around the globe who relish violence over free expression, and terror over democracy - and that America and free people everywhere must remain vigilant in defense of our liberties."​
Majority Leader Eric Cantor and Senate Minority Leader Mitch McConnell also declined to invoke Obama, signaling that for a second day in a row this was a time for Americans to come together and put election-year politics on hold. On Tuesday, Republicans and Democrats gathered on the steps of the Capitol to mark the 11th anniversary of the Sept. 11 terrorist attacks.​
"Our thoughts and sympathy today are with the families of these brave Americans," McConnell, a Kentucky Republican, said on the Senate floor. "These attacks remind us of the sacrifices made on a daily basis by foreign service officers, diplomatic security personnel, and our Marine Security Guards."​
Three of the most important voices on foreign policy - Sens. John McCain (R-Ariz.), Lindsey Graham (R-S.C.) and Joe Lieberman (I-Conn.) - said they were "anguished and outraged" by the deaths of American diplomats, and considered Stevens a "friend." But they, too, didn't see fit to criticize the president the way Romney did.​
"In the midst of last year's uprising in Libya, Chris traveled at great personal risk to Benghazi to represent the country he loved as the U.S. envoy to the Libyan opposition," the senators said in a joint statement.​
"He advanced American interests and values in Libya and stood with the Libyan people throughout their struggle for freedom and during the challenging times that followed. His death at the hands of extremists is a tragic and awful loss for the people of both the United States and Libya.​
The senators urged that the attackers swiftly be brought to justice and that the U.S. government ensures that diplomats around the world are protected. The attacks are a reminder that the Arab Spring, the "dream for democracy and freedom can still be hijacked by small groups of violent extremists who are eager to kill to advance their evil ideology."​
Stevens and three of his staff were killed an attack on the U.S. consulate in the eastern Libyan city of Benghazi after riots broke out over a film that ridiculed Islam's Prophet Muhammad, The Associated Press reported.​
In a statement late Tuesday night, Romney called Obama's early response to the attacks on the consulate in Benghazi and embassy in Cairo weak and "disgraceful." Romney was referring to a statement issued by the U.S. Embassy in Cairo, condemning "the continuing efforts by misguided individuals to hurt the religious feelings of Muslims" - a statement the Obama administration later said hadn't been cleared by Washington.

On Wednesday morning, Romney stood by his earlier criticism, saying the Obama administration was wrong to sympathize with protesters who had breached U.S. facilities instead of condemning their actions.
"[T]he statement that came from the [embassy] was a statement which is akin to apology. And I think it was a severe miscalculation," Romney said at a news conference in Florida.​
Romney did get backing from some conservatives on the Hill.​
Sen. Jim Inhofe (R-Okla.), a member of the Foreign Relations panel, echoed Romney's apology line: "President Obama's failure to lead and his failed foreign policy of appeasement and apology."​
So did Rep. Jeff Landry of Louisiana.​
"When someone comes into a United States Embassy, that is our sovereign soil of this country," Landry told POLITICO. "And To allow someone to come over that wall and take our flag, desecrate our flag and the response is to apologize."​
Rep. Raul Labrador (R-Idaho) also panned Obama for his "apology" tour. "It has been his policy from the beginning to go around apologizing for America. …" he said, "and I'm glad that Romney stood and said it was wrong for the embassy to put out that statement."​
But even Romney's running mate, Rep. Paul Ryan, didn't directly criticize the president. "This is a time for healing," he said at a campaign event in his home state of Wisconsin.​
Sen. Marco Rubio (R-Fla.), a Romney supporter who serves on the Foreign Relations Committee, had been a frequent critic of Obama's handling of last year's uprising in Libya. But he focused his comments on the sacrifice of Stevens, whom he met during his Senate confirmation hearing in March and again during a trip to Libya.​
Stevens, a career diplomat, was confirmed as ambassador on a voice vote by the Senate on March 29.​
"He was an exemplary diplomat and his embassy staff could not have been more helpful and knowledgeable during my visit.," Rubio said in a statement. "My prayers are with the families and loved ones of these courageous diplomats who were working to help the Libyan people rise from the ashes of [Qadhafi's] rule."​
Kate Nocera contributed to this report.
[/TD]

[TD="colspan: 2"] © 2012 POLITICO LLC
[/TD]
 
Ushauri kwa waelewa;
Tuacheni ushabiki wa udini jamani, kukashifu dini za wengine ni upungufu wa akili. Mie ni mkristo lakini nimechukizwa sana na baadhi ya wakristo wanaomkashifu mtume Muhammad. Si ustaarabu hata kidogo mambo ya dini tusilazimishane kile unachokiamini wewe wote wakifate haiwezekani.
 
waislam wanawajua maadui wao..

nami nawassapoti 100 kwa 100
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom