US Ambassador to Libya has been killed

Status
Not open for further replies.
Breaking news ni kwamba kwa haraka haraka marines 50 wametokea Spain hivi sasa wanatua Tripoli Libya.Kazi imeanza,na kama walikuwa hawajui,siasa sasa zitatumika na usishangae ukiona wengine wakijiunga na kuwasaka hao maextremist door to door.
 
Baadhi ya watu wa LIBYA wamekasirishwa na filamu iliyotengenezwa US inayodaiwa kumdhalilisha MTUME, wamelipua ubalozi wa US huko BENGHAZI, ambapo BALOZI wa US LIBYA, bwana STEVENS, aliyeteuliwa miezi minne tu iliyopita ni miongoni mwa WA US 4 waliouwawa. Ni suala la muda, hatua zitakazochukuliwa na US zitaonekana, naamini zitakuwa kali sana hasa ikizingatiwa kuwa huu ni mwaka wa uchaguzi nchini US, na (1) OBAMA atatakakuwaonesha wa US kuwa ni AMIRI JESHI MKUU imara ... na (2) ROMNEY atataka ku-score pointi za kiisiasa kwa kusema kuwa OBAMA ni dhaifu, na OBAMA atataka kutumia nguvu kuonyesha kuwa ni ngangari ...
 
Picha ya Balozi aliyeuwawa.... yasemekana ni Moshi ulimzidia wengine wanasema alikula Shaba

[h=2]
Stevens-morente_pop.jpg


[/h]

Source Corriere della Sera - Il tentativo estremo di salvare l'ambasciatore Stevens
 
Acha uzushi ni afisa wa ubalozi Pitia thread za wenzio zipo zinazungumzia hii mambo sawa kiongozi
 
Mhn!kwani ni mtu gani asingewaunga mkono?hizo ni sera za US,bin Laden mwenyewe aliungwa mkono dhidi ya warusi kule Afghanistan for 10 years na ni mojawapo ya sababu za USSR kuanguka.

Cha msingi hapa ni marekani wana rais asiyekurupuka mwenye kufight smart wars na si kama miroboti maetremists wa republican.Hao nchi itawachukuwa muda kuipata tena.

Na ndiyo maana hata Libya aliwaacha Nato na baadhi ya nchi za waarabu,na yeye kuchangia na si kubeba majukumu kama ambavyo ingekuwa kwa ma "blood mongers na manaivette"
 
It doesnt matter, the bottomline ni kwamba hes dead.
It becomes more obvious day by day that the method used to destabilize Libya has bigger side effect than intended effect...

Kimbelembele chao kimewaponza. Acha waonje joto ya jiwe. Wamezidi mno na wao. Na tena hivi na hiki ki one termer chao ndiyo balaa kabisa. Kinazidi ku alienate baadhi ya allies. Shameful.
 
Breaking news ni kwamba kwa haraka haraka marines 50 wametokea Spain hivi sasa wanatua Tripoli Libya.Kazi imeanza,na kama walikuwa hawajui,siasa sasa zitatumika na usishangae ukiona wengine wakijiunga na kuwasaka hao maextremist door to door.

Jmushi...Tatizo ni kwamba wengi wetu hatujui kama America ni nchi ya ma-extremist kutokana na siasa zao za nje.Nawengi wetu tunajua kama neno extremist linawahusu waisilamu tu na sio kutoka ktk dini nyingine tofauti.Na hii inatufanya kuwepo na ufahamu au kutofautiana ktk kufahamu siasa jinsi zinavopambwa kadiri ya uwezo wa kushawishi jambo na watu walikubali.Kiukweli ni kwamba extremist wapo ktk dini au itikadi tofauti mfano kwa alie leta nyuzi hii ametumia neno Arm group Islamist militants na kajisahau kama nchi yenyewe ni waisilamu na sidhani kama kutakuwa na kikundi kinachotoka ktk dini tofauti na uisilamu.Na vilvile amesahau kama hao Islamist militants waliundwa na hao hao America na kupewa silaha pamoja na pesa za kuchochea mauaji kinyume na sheria za kibinaadamu.And I wonder America atapigana vita ngapi hapa duniani na mpaka lini wataendelea kuua wanawake,watoto na hata wazee wasiokuwa na hatia?Na je faida gani inapata mpaka sasa hivi kwa mungu na duniani?Any way tutaendelea kushuhudia....
 
Kimbelembele chao kimewaponza. Acha waonje joto ya jiwe. Wamezidi mno na wao. Na tena hivi na hiki ki one termer chao ndiyo balaa kabisa. Kinazidi ku alienate baadhi ya allies. Shameful.

Republicans wamepenyeza ushauri mbaya kwa Rais. Obama hii kitu ya kuingilia Libya personally hakutaka ndio maana akaongea na "mchizi wake" Sarkozy kuwa waingia under the cover of France and Italy and later NATO.
Sitashangaa nikisikia Reps ndio wamewasaidia extremists kuaccomplish mission yao ili kujirahisishia kampeni.
 
Hawa jamaa wanakazi kweli uadui anaotegeneza USA utamgalimu sana katika maisha ya wananchi wake na uchumi wake kwa ujmla
 
ghadafi siyo mkombozi labda kama huijui historia, alistahili kufa. unajua alicho tufanya mwaka 1978-1979 waka wa vita na nduli iddi amini...acha ushabiki wewe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom