maalimu shewedy
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 860
- 692
[emoji635]Russia iran Hezbollah Iraqi militant Chinese winning da war now....
[emoji635]
[emoji635]
Baba la baba hilooo
[emoji635]Russia iran Hezbollah Iraqi militant Chinese winning da war now....
Vita sio medias mkuu ni frontlines...,[emoji635]
[emoji635]
[emoji635]
Baba la baba hilooo
Wao ni medias saa zote uwongo tu kwenda mbeleVita sio medias mkuu ni frontlines...,
Hata hizo nyuklia za USA +Russia hazijwahi kua tested in any combat piaZote hazijawahi kua tested in any combat
Hv unajua ni nch gn ya kwanza kumilik nyuklia na kutumia nyuklia kwenye vita dhid ya nchi nyingine?Hata hizo nyuklia za USA +Russia hazijwahi kua tested in any combat pia
Akifanya hivyo urusi atakuwa amekosea kwani nani amchokoza?Huko Moscow kwa sasa ni fulu maandalizi ya WW3 na muda si mrefu jamaa atakinukisha hivyo tujiandae kwa janga kubwa sana la kibinadamu kwa sababu wakati wa vita kama hii hakuna kusafiri make huko juu ndo huwa njia ya Makombora kupita.
Uchumi wa kupora ama uchumi wa ku uwa innocent people's ndoo waweze ku survive sio?Alafu wanajidai ndio wanauchimi mkubwa....
Kwa hapo Syria ni aibu kubwa sana
kwhyo wanajiandaa kpgana na nan na ni kwareason ganHuko Moscow kwa sasa ni fulu maandalizi ya WW3 na muda si mrefu jamaa atakinukisha hivyo tujiandae kwa janga kubwa sana la kibinadamu kwa sababu wakati wa vita kama hii hakuna kusafiri make huko juu ndo huwa njia ya Makombora kupita.
Putin hataki kufia uvunguni mwa kitanda kama sadam na Gadaffi, anaona heri afie sebuleni akipambana kuliko kufia jikoni akila jibini. Syria is a strategic area for Russia survival just next to Iran. Kwa Magharibi, baada ya Syria ingefuata Iran, Russia na Iran hawapendi ifikie huko.Nilisema marekan watastand down kwenye hii issue.
US, UK say support is weak for military action against Syria
By BRADLEY KLAPPER
1 hour ago
LONDON (AP) — The United States and Britain on Sunday acknowledged the Western world's weak support for any military action against Syria's government as they sought ways to pressure President Bashar Assad and his chief backer, Russia, to halt a deadly offensive in Aleppo. They tried to present it as a possibility, nevertheless.
After a meeting of 11 governments opposing Assad's rule, U.S. Secretary of State John Kerry and British Foreign Secretary Boris Johnson each insisted all options were on the table. But their stark explanations about the danger of resorting to military force appeared to rule out such a move.
The result was a somewhat schizophrenic threat that was unlikely to scare Assad's government or Russia as they move to crush the last rebel-held areas of Aleppo, Syria's largest city.
"When a great power is involved in a fight like this, as Russia has chosen to be by going there and then putting its missiles in place in order to threaten people against military action, it raises the stakes of confrontation," Kerry said after the meeting in London.
He said no one should be "lighting a fire" under a larger sectarian war in the Middle East or one drawing in superpowers against one another.
Johnson said Britain wanted to "ratchet up" pressure on Assad, Russia and Iran.
"No option is, in principle, off the table," he told reporters.
Quickly expanding his answer, he added: "Be in no doubt that these so-called military options are extremely difficult and there is, to put it mildly, a lack of political appetite in most European capitals and certainly in the West for that kind of solution at present."
"So we've got to work with the tools we have," he said. "The tools we have are diplomatic."