Urusi watengeneza Satan 2

Mkuu vipi? mbona maneno meeengi yanakutoka kuitetea USA? mtoa mada ametoa taarifa ya uzinduzi kwa Russia. na amemnukuu raisi wa Russia tu basi. hajauliza nchi gani ipo vizuri kijeshi wala hajatoa kauli yake kuitangaza Russia kuwa ipo vizuri. Wewe huko povu linakutoka na USA yako. duuuuuuh.!!!??!
 
Tuliza mshono huo alaf soma kitu uelewe
Mimi nilitoa maoni yangu kubisha maneno aliyonukuliwa rais ea russia akisema,


Punguza shobo kijana, Kwan we russia yako
 
Source please?
 
Wazungu watu wa ajabu sana. Sisi tuna shida lukuki, mfano hatuna viwanda. Wao wanatengeneza silaha badala ya kutusaidia.
 
Kumbuka vita ni combinatiom ya air+land+navy, The way unaweza intergrate haya makundi matatu kufanya kazi kama kundi moja basi ww ni bingwa, Russia ataendelea kuwa nyuma ya USA
Sasa uanafikiri Urusi hawezi kucoordinate mambo madogo kama haya?, kila nchi ina measure na strategy zake kivita, usidanganyike na movie mkuu, U.S.A Navy wanapoteza sana kwny combats zao, rejea op. red wing in Afghanistan and tell us wot happened there.....
 
Kumbuka vita ni combinatiom ya air+land+navy, The way unaweza intergrate haya makundi matatu kufanya kazi kama kundi moja basi ww ni bingwa, Russia ataendelea kuwa nyuma ya USA
Yani hata mabinti wa kimarekani huwa hawapendi kuolewa na navy soldiers cos wanajua life span za hawa jamaa ni magumashi
 
Hii ni kweli kabisa mhe. kuwekeza pesa kubwa sio ndio umemaliza kila kitu, manchester united wamemsajili POGBA kwa dau lililovunja rekodi lkn hakuna anachofanya kwny ligi, sasa rejea kwa klopp katumia pesa ndogo tu kusajili lkn ni tishio kwa mabilionea, hii dunia ni kuchezeana akili tu ndio dili co nguvu za pesa.
 
Umemaliza?

Sent from mTalk
 
Kipi kipya kilichofanyika syria, kutoa air support ya kushambulia vikundi vya wapiganaji wasio hata na air defense??
Naomba unijuze hizo tech?
Pia niambie kipi kipya kilichofanyika syria.
Kama ni rahisi kihivyo, Mbona Marekani alishindwa Somalia?
 
Imekuuma?
 
Nimejoin katikati ya mada. But you guys mmjiuliza why Obama alisema haoni kama Tramp anastahili kupewa code nu
mber ya nuclear ? It is he knows the capability. So let is not think cheap
 
Jamani CT SCAN NA MRI zimekufa Muhimbili tuzijadili hizi ni muhimu kwetu kuliko makombora ya Russia

Kujadili CT SCAN na MRI ni uchochezi wa wazi kabisa na utakua unamkwaza mtukufu kwa kiwango kikubwa jaribu kuangalia waandishi na wanainchi tulivyojikita na ishu ya mama mjengo kulazwa pale Muhimbili kwetu ndio maendeleo na faraja hata kama ndugu amelazwa chini pale hosp ila kwa kua mama yupo pale basi tumepiga hatua.
 
Hua najiuliza hivi! Kama USA mwaka 1960 hivi (sukumbuki vzuri) waliipiga Japan Kwa Bomu la atomic.
Na wakat huo technology ilikua si kama hivi Leo.

Je Leo hii USA si atakua ni balaa
Enzi za fatman na thinman. Sipimii sasa hivi,
 
U have a made apoint, Ila kumbuka zipo njia nyingi sana za kutrack hayo madubwana, Also kumbuka hayawez kuwa complete stealth,

Ila kiuhalisia umeandika point kubwa sana,
Kifupo hata ballistic missile zina uwezo wa kujilinda kwa kurusha decoys na chaffs/flares

Big point
 
Bravoooo, SIna milion 7 afadhali niendelee kuwajadili hawa hawa wazungu aisee
 
Mkuu kama kuwa na fedha ndio kushinda vita basi USA asingepata aibu iliyomkuta Vieinum na Somalia. Kama ndio hivyo basi kwanini asumbuliwe na North Korea? Si angweza kumuundia zengwe kama Iraq ya Sadam Hussein akawavamia na kumaliza kero?
 
Anaweza, Pia kumbuka hakuna nchi isio na uwezo wa kuunganisha haya matawi yake

My point: fananisha us air force na russia airforce
Russian navy na us navy
Us land force na russia land forces

Alaf nipe majibu nitakueleza maana yangu
 
Mkuu kama mambo yangekuwa marahisi kiasi hicho alishindwa nini kuivamia Quba ya Fidel Castro? Si alikuwa na antiballistic hizo ambazo mnasema bora kuliko za Russia ambao walikuwa wanampa backup Quba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…