Urine Therapy: The Science Of Drinking Your Own Pee

Urine Therapy: The Science Of Drinking Your Own Pee




Mkojo wako Mwenyewe unatibu :Maradhi mengi sana lakini Wana Sayansi wanaficha hii Siri yao ili waweze kuuza Madawa yao yenye Sumu ya kuwamaliza Binadamu.
 
Last edited by a moderator:
Mh mkuu mzizi mkavu au weye ndio yule jamaa wa KENYA anayepiga deals za kuuza na kununua mkojo???
 
Mh mkuu mzizi mkavu au weye ndio yule jamaa wa KENYA anayepiga deals za kuuza na kununua mkojo???
Mkuu asigwa Kwani yule jamaa yako wa Kenya anaitwa kwa jina MziziMkavu? Hebu mtaje kwa jina anaitwaje?mimi ni M-Tanzania na wewe unamtaja jamaa wako wa kenya mbona tupo tofauti?
 
Mkuu asigwa Kwani yule jamaa yako wa Kenya anaitwa kwa jina MziziMkavu? Hebu mtaje kwa jina anaitwaje?mimi ni M-Tanzania na wewe unamtaja jamaa wako wa kenya mbona tupo tofauti?

ila mkuu jina Mzizi Mkavu si ni ID ya JF mkuu... na inaishia tu hapo nyuma ya keyboard au???
 
ila mkuu jina Mzizi Mkavu si ni ID ya JF mkuu... na inaishia tu hapo nyuma ya keyboard au???
Mkuu asigwa Ninashangaa wewe kunifananisha na mtu kama mimi yupo Kenya anatangaza Deal ya mkojo wakati mimi sipo kenya wala Tanzania karibu sasa yafika miaka 21? ndio maana nikakuuliza swali je huyo Mtu anatumia jina langu la Mzizimkavu kutangaza hiyo deal ya mkojo? wewe unanijibu kuwa mimi ninatumia jina la Mzizimkavu kwenye tu keyboard yangu nimekuuliza swali hujanijibu kwanini?
 
Last edited by a moderator:
yep tupe hizi materioz mkuu MziziMkavu; habari za siku nyingi kwanza
Poa Mkuu vipi na wewe ulipotea wapi.? Anyisile Obheli

Mafunzo ya uchawi huanza polepole
mkuu Bujibuji Kama kitu hujuwi bora uulize wanazungumza kuhusu faida za mkojo wa kujitibu wewe mwenyewe kwa kila aina ya maradhi hakuna hapo mambo ya Uchawi mkuu kama kiingereza hujuwi bora uulize utajibiwa sio kusema maneno ambayo huyajuwi.

Mambo ya kwa Babu LOLIONDOOOO!!!!!!!!!!!!!
Mkuu.@v Hakuna cha Babu wa lolilondo wala nani hapo ni faida ya mkojo wako unapoamka asubuhi ndio wanachozungumzia hakuna mambo ya Babu wa Lolilondo mkuu.

MziziMkavu urine damage the liver, kidney and spleen if reingested..........
Mkuu Rutashubanyuma mkojo wako wa asubuhi unapoamka unatibu karibu maradhi mengi hebu ona orodha ya maradhi yanayotibu mkojo wako mwenyewe wa asubuhi Ma-Daktari hili jambo hawaliwezi kulisema kwao ni Mwiko na Siri kuu yao wanalijuwa lakini hawawezi kulisema kuhusu faida ya mkojo wako mwenyewe angalia hapa chini .

<center style="line-height: 22px; color: rgb(68, 68, 68); font-family: 'Times New Roman'; font-size: medium; background-color: rgb(238, 238, 238);">[SIZE=+2]Urine Therapy Testimonials[/SIZE]</center><center style="line-height: 22px; color: rgb(68, 68, 68); font-family: 'Times New Roman'; font-size: medium; background-color: rgb(238, 238, 238);">
</center>

<center style="line-height: 22px; color: rgb(68, 68, 68); font-family: 'Times New Roman'; font-size: medium; background-color: rgb(238, 238, 238);">[TABLE="width: 100%"]
<tbody>[TR]
[TD="width: 13%, bgcolor: #FFFF00"] Parkinson's[/TD]
[TD="width: 123, bgcolor: #FFFF00"]Lung Cancer[/TD]
[TD="width: 168, bgcolor: #FF99CC"]Stage 4 Breast Cancer[/TD]
[TD="width: 30%, bgcolor: #FF99CC"]Stage 3 Ovarian Cancer[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 13%, bgcolor: #FFFF99"]Emphysema[/TD]
[TD="width: 123, bgcolor: #FF99CC"]Colon Cancer[/TD]
[TD="width: 168, bgcolor: #FF99CC"]Breast Lumps[/TD]
[TD="width: 30%, bgcolor: #66FFFF"]Prostate Cancer[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 13%, bgcolor: #FFFF00"]Hepatitis C[/TD]
[TD="width: 123, bgcolor: #6699FF"]Fibroid Tumor[/TD]
[TD="width: 168, bgcolor: #FFFF99"]Multiple Sclerosis[/TD]
[TD="width: 30%, bgcolor: #6699FF"]Cystitis, bladder infection[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 13%, bgcolor: #FFFF99"]Epilepsy[/TD]
[TD="width: 123, bgcolor: #FFFF00"]Consumption[/TD]
[TD="width: 168, bgcolor: #FFFF00"]Fever, baby with[/TD]
[TD="width: 30%, bgcolor: #6699FF"]High fever, undiagnosed[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 13%, bgcolor: #FFFF99"]Allergies[/TD]
[TD="width: 123, bgcolor: #66FFFF"]Enlarged Prostate[/TD]
[TD="width: 168, bgcolor: #FFFF99"]Food Poisoning[/TD]
[TD="width: 30%, bgcolor: #FFFF00"]Antibiotic resistant COLITIS[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 13%, bgcolor: #FFFF99"]Asthma[/TD]
[TD="width: 123, bgcolor: #FFFF99"]Lyme Disease[/TD]
[TD="width: 168, bgcolor: #FFFF99"]Parasites, Amebas[/TD]
[TD="width: 30%, bgcolor: #FFFF00"]Auto-intoxication[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 13%, bgcolor: #FFFF99"]Influenza[/TD]
[TD="width: 123, bgcolor: #FFFF99"]Kidney Stones[/TD]
[TD="width: 168, bgcolor: #FFFF00"]Heart Burn[/TD]
[TD="width: 30%, bgcolor: #6699FF"]Tooth Abscess[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 13%, bgcolor: #FFFF99"]Gangrene[/TD]
[TD="width: 123, bgcolor: #FFFF00"]Rectal Bleeding[/TD]
[TD="width: 168, bgcolor: #FFFF99"]AIDS-1 AIDS-2[/TD]
[TD="width: 30%, bgcolor: #FF99CC"]Brain Tumor inoperable[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 13%, bgcolor: #FFFF99"]Rosacea[/TD]
[TD="width: 123, bgcolor: #FFFF00"]Liver Disease[/TD]
[TD="width: 168, bgcolor: #FFFF99"]Malaria, Dysentery[/TD]
[TD="width: 30%, bgcolor: #FF99CC"]Low back pain, very severe[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]

</center><center style="line-height: 22px; color: rgb(68, 68, 68); font-family: 'Times New Roman'; font-size: medium; background-color: rgb(238, 238, 238);">[TABLE="width: 90%"]
<tbody>[TR]
[TD="width: 100%"][SIZE=-1]The color in each box indicates which book contains information to deal with a particular malady or disease, though all of them contain holistic and prophylactic information that can help you live healthy, improve your health or help you fight multiple diseases. [/SIZE][/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
</center><center style="line-height: 22px; color: rgb(68, 68, 68); font-family: 'Times New Roman'; font-size: medium; background-color: rgb(238, 238, 238);">[TABLE="width: 98%"]
<tbody>[TR]
[TD="width: 11%, bgcolor: #FFFF99, align: center"]Uropathy[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: #66FFFF, align: center"]Prostate Cancer[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: #FFFF00, align: center"]Salt* Deficiency[/TD]
[TD="width: 27%, bgcolor: #6699FF, align: center"]Universal Remedy[/TD]
[TD="width: 60%, bgcolor: #FF99CC, align: center"]Breast Cancer[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
</center>
 
Last edited by a moderator:
mkuu Bujibuji Kama kitu hujuwi bora uulize wanazungumza kuhusu faida za mkojo wa kujitibu wewe mwenyewe kwa kila aina ya maradhi hakuna hapo mambo ya Uchawi mkuu kama kiingereza hujuwi bora uulize utajibiwa sio kusema maneno ambayo huyajuwi.
MziziMkavu mi kitaaluma ni mganga wa kienyeji niliyefuzu, na huwa natumia sana mkojo hasa wa asubuhi kwa ajili ya watu wale wanaohisiwa kuwa ni wachawi.
Tunawanywesha mikojo yao, baada ya dakika kumi hadi ishirini tunawapa supu ya utumbo wa mbuzi iliyochanganywa na dawa fulani (hii ni yasiri siitaji hapa) wakisha kunywa huanza kuharisha na kutapika sana.
Kwenye matapishi utakuta vitu vya ajabu sana ambavyo ni safari za mkolini, shanga, vipande vya kucha za ndege na wanyama mbalimbali, nyembe etc. Huko kwenye uharo wao naogopa hata kusema vitu ambavyo huwa vinawatoka
 
Last edited by a moderator:
dah hii kali nilikuwa naisikia tu ila nilikuwa sijaprove ngove ni-google nione labda nami chaweza kuwa kinywaji changu kuanzia sasa
 
Nilsishasoma sehemu kuwa mkojo wa asubuhi ni dawa yako mwenyewe kwa maradhi mengi. Watu ni hapa JF wabishi sana. Obviously, Doc. hawezi kukuambia hili japo wanajua sana tuu. Wengine wanaona kinya a wakidhani mkojo ni uchafu.

JAMBO LA MSINGI NI KUWA PENDA USIPENDE MKOJO WAKO NI PURE bY PRODUCT FROM YOU, UNLESS UNA KISONONO AU SDT INAYOFANANA NA HIYO
 
Mkuu Rutashubanyuma mkojo wako wa asubuhi unapoamka unatibu karibu maradhi mengi hebu ona orodha ya maradhi yanayotibu mkojo wako mwenyewe wa asubuhi Ma-Daktari hili jambo hawaliwezi kulisema kwao ni Mwiko na Siri kuu yao wanalijuwa lakini hawawezi kulisema kuhusu faida ya mkojo wako mwenyewe angalia hapa chini .

MziziMkavu tafakari khoja zangu...............liver, kidney and spleen have been found damaged because of drinking your own urine.....................reason is waste tend to clog the sieving materials in your internal organs
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom