urgent software Itune version 9, nahitaji kuweka music kwenye Apple Ipod | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

urgent software Itune version 9, nahitaji kuweka music kwenye Apple Ipod

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Original Pastor, Jul 12, 2010.

 1. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Wakubwa naomba haraka mwenye nayo soft ware Itune version 9 na safari version 5 nataka kuweka vitu kwenye apple ipod kwenye computer hizi za ofisini zimezuiliwa kudownload toka kwenye net mwenye nayo tafadhali anitumie.
   
 2. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2010
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Sasa tukikutumia utadownload vipi kama umezuiliwa? Nenda cafe mkuu shusha kwenye flash, hizo zote ni bure so tutakuwa tunafanya kazi bure tu.
   
 3. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  poa KANG lakini huku nilipo cafe ipo mbali kwani watu woote wanatumia computer za kwao sasa mimi kilaptop changu kibovu sasa ndo maana natumia za ofisi, Mimi nitumie Software tu kwani ukinitumia ku install inawezekana natumia 32bit window xp pro. lenovo. asante
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Jul 12, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Umeseama komyuta za ofisini zimeuiliwa kudownload. na bado unataka mtu akutumie.
  Ndio maana Kang kakumbia kama umezuiliwa kudowload hata mtu akikutumia kwenye account yako lazima udownload ili upate hizo file.Otherwise unataka hilo file utumiwe kwenye bahasha .
  Kwa njia yeyoye ile utayotumia huwezi kukwepa neo kudowload na unasema dowload from internet imekuwa blocked.

  Work Arround
  1.Waone IT staff wa hapo waombe wakufanyie downlaod wao then wakupe file kwenye external memory
  2.nenda internet cafe kama alivyokushauri kang
   
 5. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  ahaaaa!!! haya, mimi nilitaka kuwa nayo kwenye file then wakati nikimfata IT nimpe anisaidie ku download
   
 6. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2010
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
Loading...