Urembo Corner

yani mimi ndo sijui kabisaa,mbivu na mbichi ni ipi labda sbb siyo mtumiaji kivile......
 
Mac original normal has code which normal start with T and box lake once your opening it has a sign of back 2 back!! And the cake can not brake even if you through it down!unless you do it so hard!

asante.....anything about lipstick.....?
 
ticha....hapa nazungumzia vile vitu ambavyo ni vya kawaida sana ambavyo kila msichana anayejipenda anatumia......binafsi zaidi ya weave....sibandiki chochote.....ila mapouda, perfume nk hivyo natupia.....
 
Last edited by a moderator:
Mac original normal has code which normal start with T and box lake once your opening it has a sign of back 2 back!! And the cake can not brake even if you through it down!unless you do it so hard!

Foundation nyingi huwa hazikai vizuri ukipaka mchana iwe original au fake Je Mac ukipaka mchana inakuwaje...?nidadavulie kidogo.
 
Ni 'fake weave' na siyo 'weaving fake' ingawa sielewi ni jinsi gani weave linaweza kuwa fake kwa sababu weave kimsingi ni nywele feki.
za nywele original zipo NN,ila bei yake inabidi uwe fisadi ..lol
 
Preta, kwa upande wa lotion huwa napaka light lotion ambayo haina chemical kali kwan ngoz yangu ni sensitive sana. kama rubby, revlon na razak, make ups nlishawah kupakwa 1 tym tena kwa kulazimishwa couz nlikuwa nasimamia harus, foundation ndo kabisa hata ukiweka mbele yangu kama cjasoma jina cwez kuitambua. . . body spray ni zile za kawaida za smart na rasasi ndo natumia. deodrant natumia nivea. hvo ndo vitu ninavyoapply kila cku/ninavotumia.
 
kucha zangu nimekulaje sasa?? navipakaga rangi lakini! napaka ponds powder na wanja, na mac lipshin least nanunuaga pale shear illusion mlimani city, basi my dear! nywele zangu ni always natural, basi ndiyo hivyo, ila ikifika dec wakati nakwenda ukweni huwa atleast nalipuka kidogo, nashonea weaving fupi, pale kwa sandra msasani, ndiyo hivyo tu Preta, ofkoz perfumues naspray na body spray a do apply.
 
Last edited by a moderator:
cacico hako kaugonjwa ka kula kucha nilikuwa nako enzi za primary bt nlikuwa nachukia naweka mkakati wa kuacha na kweli nliacha saiv kucha zangu nzurije afu huwa sizipaki rangi wee utantamanije?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…