Little Angel
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 1,212
- 372
naomba nianze na Mac foundation/powder......kuna za sh 5000 na sh 70000.....muonekano ni huo huo......ni jinsi gani nitagundua original ni ipi na fake ni ipi.......?
Mac original normal has code which normal start with T and box lake once your opening it has a sign of back 2 back!! And the cake can not brake even if you through it down!unless you do it so hard!
Foundation it's very easy cause Mac original like the one am using with SPF 15, it's like a jelly when you apply it! And it's very fast to dry, and harder to go off ESP when you rub with a towel unless you put water!
Bwana harusi alikutana na haya:
Huku kijana (mume) akimuangalia mke wake mrembo anayevutia kama malaika akijiandaa kwenda kuoga; akamuona mke wake anaondoa kidevu (bandia) na kukiweka pembeni kwenye meza, akaendelea akatoa wigi ambalo lilifunika kichwa, hakuishia hapo akaondoa meno (bandia)/ (dentures) na kuyaweka pembeni, akainama chini kuondoa mguu wake wa bandia na kuuweka pembeni.Akaendelea kutoa kucha zake artificial zilizomo kwenye mikono yake akaziweka pembeni, akaondoa miwani ambayo imewekwa kimtindo kusaidia kuona na pia kufunika kifaa cha kusaidia kusikia (hearing aid). Kijana akawa (mume mpya kabisa duniani) akawa ameduwaa, Guess what!
Yule kijana alizimia kwa yale anayoyaona!
Waswahili wanasema "Mzuri hajipambi" wakimaanisha kuwa kama wewe mzuri huna haja ya kujipamba. Naamini Preta na wadau wengine humu jamvini ni wazuri sana, sasa hivi vitu vya kujipambia vya kazi gani?
Ili upunguze uwezekano wa kutumia vitu fake, ni muhimu kupunguza idadi ya vitu unavyotumia kwenye urembo.
Kucha bandia, nywele bandia, kope bandia, "macho" bandia, vyote vinaweza kuepukwa kwa kuanzia.
Wanasema uzuri kaumba mungu ila urembo ni kazi ya mwanadamu soo hapa tunachosema ni urembo na sio uzuri and let remind u kitu ni kwamba urembo sio uso na kucha na nywele za bandia laaahasha hata saa ni urembo mafuta unayopaka ni urembo hata viatu unavyovaa ni urembo hata handbags uzibebazo, n ni urembo pia hereni bangili ni urembo ts alot of things ts accessories
Dear preta
Hiyo powder ya tshs 70000 ni gunia nzima embu nieleweshe
Wanasema uzuri kaumba mungu ila urembo ni kazi ya mwanadamu soo hapa tunachosema ni urembo na sio uzuri and let remind u kitu ni kwamba urembo sio uso na kucha na nywele za bandia laaahasha hata saa ni urembo mafuta unayopaka ni urembo hata viatu unavyovaa ni urembo hata handbags uzibebazo, n ni urembo pia hereni bangili ni urembo ts alot of things ts accessories
Sijakataa hata kidogo kuwa urembo ni zaidi ya vitu hivyo nilivyovitaja. Hapa suala linalozungumzwa ni namna ya kuweza kubaini vitu fake (Vs original).
Usipotumia weaves hutakuwa na haja ya kujua fake zikoje. Hivyo vivyo kwa kope, kucha, macho, na kadhalika. Hii ni njia moja wapo tu ya kuepuka vitu bandia tajwa.
Kama kuna njia nyengine, ziainishe
Kama no pay ndo ivo ila wenye pay zao wala hawashindwi kituuuu bana mi mwenyewe nikizinyaka tuu kazi moja urembo na mimi mimi na urembooooo"Urembo unawazidi nguvu wasichana"-Joe Makini
Kama no pay ndo ivo ila wenye pay zao wala hawashindwi kituuuu bana mi mwenyewe nikizinyaka tuu kazi moja urembo na mimi mimi na urembooooo
duh,bora mie c mrembo bali mzuri so sina haja ya kuhangaika na vitu vya kujirembea. nkipaka zangu light lotion na kaspray tosha kabisa. hzo make ups, weaving, kucha, foundation na makorokoro kibao huwa hayanipotezei muda kabisaaa!