Preta
Hofu yako ni kuonekana kituko kwa kuonekana unatumia product fake tu?!
Kama hofu ndo hiyo, watu watajuaje kama umejipulizia manukato fake?
Weaving fake......
Ni 'fake weave' na siyo 'weaving fake' ingawa sielewi ni jinsi gani weave linaweza kuwa fake kwa sababu weave kimsingi ni nywele feki.
Ni 'fake weave' na siyo 'weaving fake' ingawa sielewi ni jinsi gani weave linaweza kuwa fake kwa sababu weave kimsingi ni nywele feki.
yapo original, nywele Za wafu kabisa.
Wafu wa wapi? India? China? Amerika Kusini? au Ulaya?
kila kona. Halafu nilikuwa najua we ni mkaka.
Alaaa...na sasa unajua mimi ni nani?
mdada, au? Naona umechangia thread ya wadada.
Preta mie nikipata kitrip cha nje huwa nanunua huko, sometime mtu akienda naagiza, kwangu ndo njia pekee ya kupata bidhaa halisi, sasa kama huko wananipa famba sijui........