Urembo ama .......!

Urembo ama .......!

Mwl.RCT

Platinum Member
Joined
Apr 5, 2009
Posts
15,796
Reaction score
22,768
93788110.jpg
 
na usipotobolewa mdomo hupati mume, na hakuna atakaekusogelea, ni kama wale wanaoamini ukeketwaji ambaye hajakeketwa mwanaume anamrudisha kwao, ila hawa watoboa midomo ni tamaduni zinazopatikana nchini Chad na baadhi ya maeneo ya Namibia.
 
Akupige denda nahisi atakausha mate yote kinywani
 
Urembo wa asili mh ukiona hivo katika mila za watu hao usipokuwa na hilo sahani la domo hufai hata kuolewa/si mwanamke uliyekamilika...
 
...usiingie nae kwenye ligi ya kula chapati utaaibika mbayaaa...
 
Ha ha ha kwani ukubwa wa lips unahusiana vipi na ukubwa wa ukoo/uwezo wa kula kwa wingi?

...hiyo ni one of the qualifications, maana wakati we unakunja chapati ye kashatupia fasta
...
 
Back
Top Bottom