Urais wa ZZK 2015 Kupitia Chadema: Kwa nini Wanatetemeka!, Kuweweseka! na Kutishika?!.

Status
Not open for further replies.
Pasco,

Hongera kwa jitihada za kujaribu kutuelimisha.I pray to God and Give you more wisdom beyond reasonable doubts on this.

The Issue is not Zitto to become a Leader.Am also very concern on this.

1. Chadema has a Vision,and according to the low of leading,leaders are the Pillars of carring a vision.
what do i mean,

a. They have to lift the Vision together through both pillars.
b. They have to speak one thing to bring the togetherness
c. They have to move together for the best
d. They have to see and foccus to one direction so that to persue the enemy.

But all in all one should lead all this, therefore ROYALITY has to be applied,without being royal to one another it is difficult to please God whom we all depend.

For this really the approach is not right,so kindly may you be good adviser,don't let him loose the special gift he has.Because You can not please God with such altitude.

Currently I know every leader of CHADEMA their together planning the strategies of overcoming the enemy,it is not the right time to talk about being a Presidential candidates.
what he has to do let him prepare in silent mode and when the time comes He can speak out,with all the authority,power and blessings.

friends it is time to seek the mercy of GOD for KNEW TANZANIA stop bringing topics which will take out from this direction.
There is always right time for Everything and Everyone.

He can become the President let him worry not,But now he is ONE OF THE PILLARS OF CHADEMA VISION LET HIM BE ONE AND ROYAL TO HIS TOP LEADERS AND MOVE WITH THEM IN THE SAME BOAT.

Hebu rekebisha kwanza hicho Kiingereza nitarudi kuchangia. Or just use Kiswahili. Why use a language that you are so poor at? Madam Mrs President?
 
Mkuu Josephine, leo nilikuwa nafanya rejea ya uzi huu, ndipo nikakutana na posti yako hii!,
I hope kinachoendelea sasa sio sehemu ya hizo strategies of ivercoming the enemy!.

Pasco.

Kwa wengine, chunguzeni kwa makini Why ZZK?!, angalia hao wanaomshutumu wako kundi gani kati ya makundi 10 haya!.

P.

Ahsante Pasco. Nakuhakikishia watashindwa big time. Wanachama wameshashtuka. Wanamuita kiongozi mwenzao enemy, duh!!
 
Zitto kama anataka urais kupitia Chadema lazima aijenge chadema kwanza. Huwezi kutumia chombo unachokibomoa kikusafirishe. As far as i see things hajafanya chochote kuijenga chadema mwaka wa tatu sasa. Amwangalie Lowasa anavojipendekeza kwa waccm. Mpaka Mh Kikwete anatofautiana na wanaccm kisa Lowasa anaushawishi. Hii kitu kama allikuwa hajasoma ajue sasa vingine atakuwa msaliti tu.
 
Hebu rekebisha kwanza hicho Kiingereza nitarudi kuchangia. Or just use Kiswahili. Why use a language that you are so poor at? Madam Mrs President?

Siwezi judge lugha. Ila content ya Nachosema ni sawa kabisa she is totally right. Sasa shida nn? If shr is wrong explain.
 
Kwenye haya uliyoandika unalipwa nani? Na amekutuma ama umejiamlia? Reasoning capacity yetu kwa watu wengi inaishia kwenye tafakari juu ya watu huna idea yeyote unayoweza kuileta hapa tukai-develop ili isaidie kizazi hiki? Yaweza kuwa kweli una njaa na huna njia mbadala ya kuitibu lakini je ni sahihi kupoteza utu wako kwa sababu hiyo? Tuseme ni mapenzi ,je ni sahihi mapenzi ya kufanye ujigeuze kipofu? Acha hizo mambo Pascal
 
Mkuu Pompo. Hili nimelizungumzia pale number 10. Kama habari zako ni za kuaminika, then hizo ni habari za kweli. Sifa kuu ya ukweli, huwa unasimama!. Mpaka ukweli huu utakapothibitika na kusimama ndipo, nitakuamini kuwa kijana anakuja kuimarisha kambi ya mgombea wangu!.

Pasco,
Hata kama ZZK ni rafiki yako na wewe ni ccm tena mfuasi wa mtuhumiwa wa ufisadi ndani ya ccm, kwa nini unahangaika na zitto kabwe ambaye ni chadema? Kwa nini uhangaika kuandika mada nyingi na ndefu kuhusu zitto tu?? Je, huoni kuwa unamharibia?
Pili, wewe na zitto mko vyama tofauti ila mna urafiki, kuhangaika kwako kumwandikia mada nyingi unafanya hivyo kwa ridhaa yake na amekuruhusu au umejiamulia tu kama mwandishi?? Na kama hajakuruhusu huoni kama unamharibia? Na kwa nini yeye peke yake??? Ni maswali ya ufahamu tu.

Ww una urafiki na ccm (Lowasa) na zitto (chadema)ambao ni vitu viwili visivyopikika chungu kimoja kisiasa. Kumsadia Zitto ni kuiharibia ccm(lowasa) na kuisaidia ccm (lowasa) ni kumharibia rafiki yako zitto(chadema). Sasa hebu niambie haya unayoyafanya hadharani yanawasaidiaje au kuwaharibiaje hawa marafiki zako?? Ni swali la ufahamu tu.
 
Mkuu Pasco acha uzandiki bin unafiq kama huyo Main Character kwenye Bandiko lako.
Alisema atagombea Urais...akasema hata Gombea Ubunge..juzi juzi kasema eti ataufikiria upya uamuzi wake wa kutogombea ubunge baada ya kuona hali Mbaya ya watu wa jimbo gani sijui kana kuwa ataenda kugombea kwenye lile jimbo.
Wakuu mkiwa wanafiq basi jaribuni hata kutokupoteza Kumbu kumbu...heee..tumechoka...acha Mpigwe tu..
 
Last edited by a moderator:
Pasco,
Hata kama ZZK ni rafiki yako na wewe ni ccm tena mfuasi wa mtuhumiwa wa ufisadi ndani ya ccm, kwa nini unahangaika na zitto kabwe ambaye ni chadema? Kwa nini uhangaika kuandika mada nyingi na ndefu kuhusu zitto tu?? Je, huoni kuwa unamharibia?
Pili, wewe na zitto mko vyama tofauti ila mna urafiki, kuhangaika kwako kumwandikia mada nyingi unafanya hivyo kwa ridhaa yake na amekuruhusu au umejiamulia tu kama mwandishi?? Na kama hajakuruhusu huoni kama unamharibia? Na kwa nini yeye peke yake??? Ni maswali ya ufahamu tu.

Ww una urafiki na ccm (Lowasa) na zitto (chadema)ambao ni vitu viwili visivyopikika chungu kimoja kisiasa. Kumsadia Zitto ni kuiharibia ccm(lowasa) na kuisaidia ccm (lowasa) ni kumharibia rafiki yako zitto(chadema). Sasa hebu niambie haya unayoyafanya hadharani yanawasaidiaje au kuwaharibiaje hawa marafiki zako?? Ni swali la ufahamu tu.

Mkuu.
Inshort kinachomsumbua Pasco ni unafiq.
Hamna kingine
 
Last edited by a moderator:
Wanabodi, ...

Hitimisho.
2015 inakuja, kuna vyama vinajipanga kuchukua nchi huku vingine vinajipanga kutetea viti vyao. Katika
kutimiza azma hiyo, viko vyama vinajipanga kimipango mkakati huku vikieleza vitafanya nini, na kuna
vyama vinaendeleza mahubiri, kucheza makida makida na kuchezea shilingi chooni!. Siku ya siku ikifika,
hatutaki watu waje kutulilia tena humu as if hawakuambiwa!. ZZK ametangaza tuu nia, msitetemeke,
msiweweseke wala msitishike, just do the right thing and and in doing that right thing, make sure you do it
right!.

Naomba kuwasilisha.

Asante.

Pasco.
Mkuu Pasco,
Kuna kitu imeshushwa humu jana na kunyofolewa na mods haraka sana, sijui kama ulibahatika kuisoma. Nilitamani sana kusikia utetezi wa Zitto juu ya tuhuma nzito anazokabiliwa nazo.
 
Sihitaji kusoma nyuzi za kumremba Zitto,ambaye sitoweza kumuamini tena baada ya,
1.Kusema tusimwamini mwanasiasa yeyote,hata wa upinzani.Hapa inamàanisha huwa anatufanyia mazingaombwe tu.
2.Anafikiria kwenda kufundisha chuo kikuu,ana achana na siasa.Hapa inaonesha hana malengo ya kweli mbele ya safari ya kisiasa
3.Nini kilimfanya asimnadi Dr.Slàa 2010
Sijui mimi utaniweka kwenye kundi gani kati ya hizo 10
 
Pasco nimepata habari za kuaminika kuwa, mambo yakitulia CCM, Zitto atahamia huko muda si mrefu kuongeza nguvu kambi ya Lowassa na mpango umeandaliwa na Jk na namna ya kumpokea.

Ni Bora gamba ZZK utoke, CHEDEMA tumekuchoka...

Kumbeee!
basi kwisha habari yake, mapenzi ya Pasco kwa waziri mkuu FISADI yanajulika.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Pasco Mayalla

Pole sana nilikuwa sijakujibu muda mrefu maana naona kila siku anaangaika kwa ajili ya Zitto
Mimi ni CCM damu lakini nakuhakikishia kuwa Zitto anatumika wewe subiri true colour will show.......
Kama ilivyokuwa kwako baada ya kugundulika kuwa wewe ni mwanaCCM mwenzetu ukawa unasema
wewe ni independent advicer mara Political Analysist lakini yote kwa yote hakuna chochote na wewe your
true colour show at the end

Last:.................... Pasco Njaa Mbaya tujenge taifa letu tuache siasa za majungu................

Asante kwa kumpa ukweli.
Anafikiri maneno mengi ya kujifikirisha yataleta tija yoyote katika Demokrasia ya kweli hapa nchini,ukweli ni kwamba njaa ndiyo inayowasumbua.....lakini mwisho wa siku itakuwa aibu kwao wanafiki wote akiwapo Pasco Mayalla.

Demokrasia ya KWELI itashida Tanzania,..it is just a matter of time.
 
Zitto anapendwa na Wanyonge wa Tanzania,Zitto 1 sawasawa na misukule milioni moja ya CDM
 
Pasco,
Hata kama ZZK ni rafiki yako na wewe ni ccm tena mfuasi wa mtuhumiwa wa ufisadi ndani ya ccm, kwa nini unahangaika na zitto kabwe ambaye ni chadema? Kwa nini uhangaika kuandika mada nyingi na ndefu kuhusu zitto tu?? Je, huoni kuwa unamharibia?
Pili, wewe na zitto mko vyama tofauti ila mna urafiki, kuhangaika kwako kumwandikia mada nyingi unafanya hivyo kwa ridhaa yake na amekuruhusu au umejiamulia tu kama mwandishi?? Na kama hajakuruhusu huoni kama unamharibia? Na kwa nini yeye peke yake??? Ni maswali ya ufahamu tu.

Ww una urafiki na ccm (Lowasa) na zitto (chadema)ambao ni vitu viwili visivyopikika chungu kimoja kisiasa. Kumsadia Zitto ni kuiharibia ccm(lowasa) na kuisaidia ccm (lowasa) ni kumharibia rafiki yako zitto(chadema). Sasa hebu niambie haya unayoyafanya hadharani yanawasaidiaje au kuwaharibiaje hawa marafiki zako?? Ni swali la ufahamu tu.
Mkuu Mikael P Aweda, kunawakati nilikuhesabu na wewe uu miongoni mwa ma GT wa humu, kumbe I was wrong!.

Kila siku mimi nasisitiza, Pasco wa jf, sio mwanachama wa chama chochote!, sio mfuasi wa mtu yoyote!.

Sihangaiki na mtu yeyote, huku kuandika kumhusu ZZK, ni kutendea haki nafsi yangu kwa jinsi binadamu wanavyotaka kuupoteza utu wao na kujigeuza mashetani ili kuwadhuru wenzao!. Sina urafiki wowote na yeyeto kwa ajili ya siasa yaani CCM, Chadema au chama chochote!.

Inawezekana kabisa japo wewe ni Chadema, ukajikuta huwezi kukaa na Dr. Slaa over a cup of tea!. Mimi Pasco wa JF, sio naweza kukaa nae, bali nimekaa naye na sio mara moja!. Na kwa taarifa tuu, hata hapo makao makuu yenu nimefika rasmi kabisa hapo Ofisini kwenu kwa mazungumzo rasmi!.

Kama unadhani urafiki wangu ni kwa ZZK tuu, kwa taarifa tuu, hata Jussa pia ni rafiki, na huwa tunazungumza na Mtatiro pia vile vile so do Ruhuza na Mbatia. Wengine hawavumi sana kama ZZK kwa vile imetokea tuu ZZK matters the most!.

Kama unadhani kazi yangu ni kusifu tuu, you are wrong, japo ndani ya CCM, namsupport Lowassa, mimi sio mwana CCM, na kazi yangu kwa EL sio kumsifu tuu siku zote!. Hebu nisome hapa ninamwambia nini...Ushauri: Lowassa Asikanyage Arumeru!, Atamponza Sioi!

Hata ZZK kweli ni rafiki, lakini mimi sio mwanachama, wala mfuasi wa Chadema. Kama unadhani kila siku huwa kazi yangu ni kumsifu tuu, hebu nisome hapa, ninamwambia nini...Urais wa ZZK 2015: Ngoma Ikivuma Sana...

Hata Chama chenu Chadema, msifikiri kila siku huwa ninakisakama tuu, kuna siku huwa ninakisifu!. Hebu nisome hapa, ninasema nini kuhusu Chadema ...,Hongera Chadema, 2015, Ikulu ni Njia Nyeupe!

Mawazo yangu humu, hanana lengo la kumjenga yoyote au kumharibia yoyote!. Kama naamini EL ndie atakuwa rais bora kwa Tanzania, nasema na kuziuweka sifa zake open for discussion ili kama sio bora apingwe na urais asiupate kwa vile lengo ni kumpata rais bora!.

The same kwa ZZK, he is one of the best that Chadema has, nitauweka u best wake humu uwe open for critic, akiwa sio akose!, na huyo ambaye ndio mleteni tumjadili akiwa ndiye tumpe!.

Mkuu Aweda, umetokea by chance tuu, kwa nafasi yangu ya uandishi enzi hizo, nimekaa over a cup of coffee, tea or a glass of water tangu na Nyerere, Mwinyi, Mkapa, (JK bado), ila pia nimekaa na Lipumba, Seif Sharif, Mbowe, Dr. Slaa, Mbatia, Cheyo, Mrema, na wengine wengi, hivyo usitatizwe na urafiki wangu kwa ZZK kuwa namjengea au namharibia!.
Pasco.
 
Mkuu Pasco,
Kuna kitu imeshushwa humu jana na kunyofolewa na mods haraka sana, sijui kama ulibahatika kuisoma. Nilitamani sana kusikia utetezi wa Zitto juu ya tuhuma nzito anazokabiliwa nazo.
Mkuu Gag, jana niliisoma ile kitu, yale ni marudio tuu, iliishapishwa na Mwanahalisi!, kiukweli tuna genious wazuri wa fiction, wakiipika inaonekana kama non fiction!. Siiamini kama ni kweli, simply because the amount involved is too big kiasi cha kuwa unbelievable!.

Pasco.
 
Hebu rekebisha kwanza hicho Kiingereza nitarudi kuchangia. Or just use Kiswahili. Why use a language that you are so poor at? Madam Mrs President?
Mkuu Imebidi, huu ni ukosefu wa adabu na heshima na staha kwa kumkosoa 1stL2Be!. Kiukweli hata the real first lady, Kiingereza chake ni cha kuunga unga, mara kibao anakosea matamshi kwenye speech zake!, hatujawahi kumkosoa kwa lengo la kumstahi tuu!. Uwe na heshima, adanu na staha!.
Pasco.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom