Kwani ni Nani Anatetemeka? ni Nani Anaweweseka? na ni Nani Anatishika?
Ni wewe ndie Unayeweka UPUUZI wa UDINIl UKABILA kwenye MASUALA ya ZITTO KABWE Ni wewe ndie Unayeweweseka kama ZITTO KABWE si kiongozi asiyefaa...
Embu tueleze ni tangu lini ZITTO KABWE amefanya MIKUTANO ya KUZUNGUKA nchini kama VIONGOZI wenzake wa CHADEMA kutafuta WANACHAMA WAPYA zaidi ya KUZUNGUKA kwa NDEGE na MTUKUFU RAIS? au MAMA SPIKA?
EMBU TUAMBIE ni lini AMEONGELEA kuhusu CHADEMA zaidi ya kuongelea U-MIMI KUGOMBEA URAIS? Sasa ni kwanini Unamkumbatia MBINAFSI; MPEKEE; MCHOYO; ILI AKIVURUGE CHAMA cha UPINZANI kinachoitwa CHADEMA?
Wa CCM wapo WENGI wanaotaka kugombea URAIS; lakini UMESIKIA wanaongelea UDINI; UKABILA ? ni Kwanini wewe UNAONGELEA UPUUZI HUO? INAONYESHA JINSI ULIVYOFILISIKA KISIASA...
What I'm telling you is this; Remember what Julius Nyerere Once Said... And then the harder they come...The harder they fall...One and for all
Did you know what kind of people NYERERE was referring to????
Mkuu huyu Pasco na mwenzake wako kwenye mission maalum ya kuangamiza CDM.Sasa wamepanic baada ya kuona wanachadema wamesimama kidete kuhami chama chao.Pia wameshtuka kuona mwasisi wa chama ameingia ulingoni kukemea uhuni wowote wa kutaka kuvuruga chama.
Niwaeleze Pasco na wenzake kwamba CDM ipo macho usiku na mchana na kitengo cha Intelejensia kimeongezewa masaa ya kufanya kazi.Mungu alivyo mkuu wameanza fujo zao mapema sana.Pasco anajidhalisha kupita kiasi.