Urais, Halima, Nassari na Kigoma

Status
Not open for further replies.
Nilikuwepo uwanjani pale lake Tanganyika Kigoma, kilichoandikwa ndicho nilichosikia pia. Videos zitawekwa hapa na zitathibitisha.
Siwezi kuwaandikia mwananchi kwani mimi silalamiki kuhusu habari hiyo. Wenye kuilalamikia habari wameandika.

Mimi ninaamini gazeti la Mwananchi ndio gazeti pekee huru la kiswahili hapa nchini. Ndio gazeti pekee ambalo umiliki wake hauna maslahi na waandishi na wahariri wake ni mahiri, hawana njaa na hawapindishwi. Ndio maana huandika ukweli muda wote na wanapokosea hawasiti kurekebisha. Ndio maana ni gazeti linasomwa kwa wingi kuliko magazeti yote nchini. Hakuna gazeti linalofikia hata nusu ya mwananchi kwa kusomwa. Hivyo Mwananchi linaaminika na umma.
Najua kuna watu wana chuki binafsi na mwananchi kama gazeti na wahariri wa mwananchi kama binaadamu. Hayo wayamalize wenyewe huko walikochukiana.

Subirini video ndio tutajua habari ile imepikwa au ni ya kweli. Kwa tuliokuwepo uwanjani tunajua nani alisema nini.

Ukituwekea hizo videos utakuwa umetusaidia sana, maana tutaweza kujua ndani ya CHADEMA tuna viongozi wangapi, na wababaishaji wangapi. Kama Halima Mdee na Nasari wanayakaata waliyoyasema, tutawaongelea pia, ndiyo tutakapojua kama tunapoteza muda wetu kuwasaidia watu wenye sifa za kuwa viongozi au tunawasaidia waimbaji taarabu.
 
Siwezi kumjibia Semtawa na sijawahi maisha yangu kumtuma habari Semtawa au mwandishi yeyote yule. Mimi sio mhariri. Waliozoea kufanya hivi ili waandikwe wanadhani wote tunafanya hivyo hivyo.
Mh.Mbunge, binafsi nilipenda kutoa kaushauri kangu kadogo tu....kuwa makini sana na watu wa magamba.
Kuanzia viongozi wake hadi wapambe wao kama hawa unaowaona hapa jamvini....nia yao ni kukugombanisha
na viongozi wa chama chako (CDM) Iweje kila ukifanyacho iwe kibaya iwe kizuri wao ni kukusifia tu? Shtuka mkuu.
 
Nilikuwepo uwanjani pale lake Tanganyika Kigoma, kilichoandikwa ndicho nilichosikia pia. Videos zitawekwa hapa na zitathibitisha.
Siwezi kuwaandikia mwananchi kwani mimi silalamiki kuhusu habari hiyo. Wenye kuilalamikia habari wameandika.

Mimi ninaamini gazeti la Mwananchi ndio gazeti pekee huru la kiswahili hapa nchini. Ndio gazeti pekee ambalo umiliki wake hauna maslahi na waandishi na wahariri wake ni mahiri, hawana njaa na hawapindishwi. Ndio maana huandika ukweli muda wote na wanapokosea hawasiti kurekebisha. Ndio maana ni gazeti linasomwa kwa wingi kuliko magazeti yote nchini. Hakuna gazeti linalofikia hata nusu ya mwananchi kwa kusomwa. Hivyo Mwananchi linaaminika na umma.
Najua kuna watu wana chuki binafsi na mwananchi kama gazeti na wahariri wa mwananchi kama binaadamu. Hayo wayamalize wenyewe huko walikochukiana.

Subirini video ndio tutajua habari ile imepikwa au ni ya kweli. Kwa tuliokuwepo uwanjani tunajua nani alisema nini.

kwa hiyo unathibitisha pas na shaka kuwa halima na nassari walitamka maneo hayo?!!..wewe kama wewe unazungumziaje makanusho yao
 
Siwezi kumjibia Semtawa na sijawahi maisha yangu kumtuma habari Semtawa au mwandishi yeyote yule. Mimi sio mhariri. Waliozoea kufanya hivi ili waandikwe wanadhani wote tunafanya hivyo hivyo.

nakupongeza kwa kufunguka mwenyewe na laiti kama na huko nyuma ungekuwa unazikabili tuhuma kama hizi hakika ungezidi kuaminika zaidi kaka yangu.

Ila ni vyema Zito Kabwe ukajua kwamba hizi tuhuma mazito unayotumiwa kutoka kwetu wanaCDM wengi hasa kwa wale ambao tumekuwa tukifuatilia siasa kwa ukaribu jua kwamba ni matokeo au mavuno ya kile ulichokipanda huko nyuma, imefika hatua mpaka watu kutamka kuwa endapo utagombea ww na Lusinde basi watamchagua lusinde sasa hapa ujue kwamba watu wengi wamechoshwa na mienendo yako kisiasa, kiukweli tumechoka na tabia zako za ubinafsi kwani umekosa kabisa teamwork na kauli zako tata.

Mungu wa israel akubariki na akusadie na kukuepusha kabisa na tuhuma zote na uzidi kupata kibali machoni pa watanzania wote na wanachama wako wa CDM.
 
Mhhhhhhhh!!!!!namkubali sana mh.Zitto na ndie mgombea rais kijana mpya wa 2015,hata mkileta majunguhili taifa ni la vjana kwa ajili ya mustkabali wa taifa lao.
Haya tumekusikia....Zitto ndiye alieleta thread hii so najua yuko online hapa....unaonaje ukamuomba uanze kuishinae home wakati ukisubilia hiyo 2015? Maana nyinyi ndiyo vizabinazabina wenyewe mnaosababisha huyu mh.aeleweke vibaya
kwa viongozi wake. shame on u
 
Nakuomba invisible uwasiliane na zito akupe hiyo video utuwekee hapa tumalize ubishi na Tido Mhando
 
Nilikuwepo uwanjani pale lake Tanganyika Kigoma, kilichoandikwa ndicho nilichosikia pia. Videos zitawekwa hapa na zitathibitisha.
Siwezi kuwaandikia mwananchi kwani mimi silalamiki kuhusu habari hiyo. Wenye kuilalamikia habari wameandika.

Mimi ninaamini gazeti la Mwananchi ndio gazeti pekee huru la kiswahili hapa nchini. Ndio gazeti pekee ambalo umiliki wake hauna maslahi na waandishi na wahariri wake ni mahiri, hawana njaa na hawapindishwi. Ndio maana huandika ukweli muda wote na wanapokosea hawasiti kurekebisha. Ndio maana ni gazeti linasomwa kwa wingi kuliko magazeti yote nchini. Hakuna gazeti linalofikia hata nusu ya mwananchi kwa kusomwa. Hivyo Mwananchi linaaminika na umma.
Najua kuna watu wana chuki binafsi na mwananchi kama gazeti na wahariri wa mwananchi kama binaadamu. Hayo wayamalize wenyewe huko walikochukiana.

Subirini video ndio tutajua habari ile imepikwa au ni ya kweli. Kwa tuliokuwepo uwanjani tunajua nani alisema nini.

Safi kwa kujitokeza naibu katibu wangu wa chama Zitto, leo kuna thread nimesoma humu imenishitua sana, kuna baadhi ya member wanakushutumu wewe ktk uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 ulimnadi mgombea wa ccm JK badala ya Dr.Slaa, ni kweli kamanda?
 
Last edited by a moderator:
Twende taratibu Zitto:

1. Je kuna uhusiano wowote wa Moja kwa moja kati ya Mwasiti Almasi na kamanda Halima Mdee, Joshua Nassari, na
hao waheshimiwa wa magambaEsther Bulaya, Deo Filikunjombe bila CONNECTION yako?
2. Je ni kwanini unadhan kamanda Mdee na Nassari wamekana kilichoandikwa na Mwananch?
3. je ni kwanini hiyo Story itoke kwenye gazeti la mwananchi pee yake na siyo mengine?

ni hayo kwanza ikija video nitaendelea isipokuwa imechakachuliwa
 
All in all mimi nataka kumuuliza Mheshimiwa Zitto, kama unadai kuwa yaliyosemwa na Mdee na Nassari ndiyo yaliyoandikwa, je wewe ulijisikiaje walipoyasema. Yalikuumiza roho kwani taratibu za chama kumpata mgombea urais unazifahamu na hawa waheshimiwa wamekwenda kinyume, ama ulifurahia kwamba wamekusafishia njia? Hili ndilo unatakiwa kulijibu. Mimi sioni kama kusema au kutosema kuna matter sana, suala ni wewe ulijisikiaje?

Wewe unaufahamu ukweli wa moyo wako, lakini sisi tunaona kuwa wewe ni furaha yako watu wakikusifia kuwa unaweza kuwa rais, ndiyo maana unataka kuweka video ku-prove jinsi unavyofaa. Unajiharibia. Ingekuwa mimi ni wewe ningewakemea hao waheshimiwa palepale jukwaani, kwani muda wa hayo mambo bado na taratibu za chama haziruhusu. Kwa kukaa kwa ko kimya Mh!!!!!!! sijui maana yake ni nini.
 
Mwananchi wanasema lao
Halima Mdee anasema lake
Joshua Nassari anasema lake na
Zitto nae anasema lake. Sasa tumwamini nani kati yenu?
 
INGEKUWA VIZURI TUSUBIRI HUO MKANDA NDIO AMBAO UTATUTEGULIA KITENDAWILI HICHI
:israel:
 
Waandishi wa bongo ni kizungu zungu juzi nilikuwa nasikiliza kipindi kimoja cha michezo akaohojiwa kiongozi wa TFF ambaye alitumia neno "kwa mfano simba ikifungwa robo fainali..." matokeo yake akatafsiriwa kama amesema "simba itafungwa robo fainali..."

safari bado ni ndefu na mishahara bado ni midogo. Lakini i am not surprised hawa Mwananchi siku zote wapo mstari wa mbele kuipaka matope serikali. Na wanapofanya hivyo wana Chadema hutoa sifa kem kem kwa hili gazeti, waandishi, Tido nk mkuki ndio huo umechoma kwa binadam sasa , pole sana Zitto.
 
INGEKUWA VIZURI TUSUBIRI HUO MKANDA NDIO AMBAO UTATUTEGULIA KITENDAWILI HICHI
:israel:
nilitak Zitto atujibu kwanza hayo maswali matatu, mengine kama alivyosema tusiseme mambo yote, nasi tunajua kilichotokea na Connection yake na Mwananchi, wabunge na tamaa yake ya urais.
 
All in all mimi nataka kumuuliza Mheshimiwa Zitto, kama unadai kuwa yaliyosemwa na Mdee na Nassari ndiyo yaliyoandikwa, je wewe ulijisikiaje walipoyasema. Yalikuumiza roho kwani taratibu za chama kumpata mgombea urais unazifahamu na hawa waheshimiwa wamekwenda kinyume, ama ulifurahia kwamba wamekusafishia njia? Hili ndilo unatakiwa kulijibu. Mimi sioni kama kusema au kutosema kuna matter sana, suala ni wewe ulijisikiaje?

Wewe unaufahamu ukweli wa moyo wako, lakini sisi tunaona kuwa wewe ni furaha yako watu wakikusifia kuwa unaweza kuwa rais, ndiyo maana unataka kuweka video ku-prove jinsi unavyofaa. Unajiharibia. Ingekuwa mimi ni wewe ningewakemea hao waheshimiwa palepale jukwaani, kwani muda wa hayo mambo bado na taratibu za chama haziruhusu. Kwa kukaa kwa ko kimya Mh!!!!!!! sijui maana yake ni nini.

UNAHITAJI MAOMBI WEWE MAANA HUELEWEKI NINI UNACHOKITAKA HAWO WALIOSEMA NA WAKAJA KANA KAULI ZAO KUTOKANA NA KUTISHWA NA YULE MWENZANGU HAO NDIYO YATUPASA TUWABANE WATUAMBIE KWANN WALIKANA KAULI ZAO NA N NANI ALIYEWATISHA? HAYO NDIO TUNAPASWA KUYAJUA:baby:
 
Mwananchi wanasema lao
Halima Mdee anasema lake
Joshua Nassari anasema lake na
Zitto nae anasema lake. Sasa tumwamini nani kati yenu?
Mkuu, Mwasiti nae kaongea lake kasema alijulishwa tu ujio wa hao wabunge, tutajua ukweli tu badae kama aliwaalika yeye ama Zitto, ama walijipeleka?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom