Urais, Halima, Nassari na Kigoma

Urais, Halima, Nassari na Kigoma

Status
Not open for further replies.
Zitto Kabwe mwanzoni alipoingia kwenye SIASA alitimiza WAJIBU wake vizuri KITAIFA na KICHAMA. Zitto ni jasiri,mwelewa,msemaji mzuri ila Kadiri siku zinavyokwenda anazidi kujitoa ktk mtizamo wa kuwa MTETEZI wa MASLAHI ya chamana TAIFA na kujikita ktk MASUALA BINAFSI.Kwa sasa fuatilieni anachokifanya ZITTO BUNGENI hakina TIJA kwa CHAMA chake na hata mengine anayoyafanya bungeni unaweza ukafikiri yana tija kwa taifa lakini kiundani anajaribu kujijenga YEYE BINAFSI. Kwa kuthibitisha angalia jinsi alivyochukua ile HOJA ya KUIWAJIBISHA SERIKALI mwezi wa nne iliyoibuliwa na TUNDU LISSU yeye akaifanya kama ni ya kwake.Wtz ni vizuri mumfatilie vizuri huyu mtu ANACHOSEMA na ANACHOTENDA siku zijazo tusipokuwa MAKINI anaweza akawa ni TATIZO ogopa mtu anayependa SIFA tena sifa hizo zimwendee YEYE kama YEYE na si CHAMA chake au TAIFA lake.Ninahisi ZITTO bado anatumiwa na USALAMA wa TAIFA kuyumbisha UELEKEO wa UPINZANI na kama si hivyo basi namshauri ZITTO arudi kwenye mstari kama zamani ili UKOMBOZI wa TAIFA uendelee bila kukoma mimibinafsi nampenda sana ila staili yake anayokwenda nayo inantia mashaka.Ninajua ZITTO anajiandaa kwa URAIS wasiwasi kama akikosa nafasi ya kugombea ndani ya CHADEMA itakuwaje? Bila shaka ataasi au atazidi kukihujumu CHADEMA kama alivyofanya uchaguzi uliopita akakisaidia NCCR kupata WABUNGE badala ya kusaidia WAGOMBEA wa CHADEMA.Mwisho CHADEMA fanyeni UCHAGUZI wa VIONGOZI wenu mapema na pili MGOMBEA URAIS achaguliwe mapema ili wale ambao ni watu wachokochoko wajulikane mapema na wabainishwe ili wakati wa uchaguzi twende sambamba bila WASALITI.Pia hilo litasaidia kuanza kumjenga sehemu mbalimbali za nchi.Mkichelewa ni kuwafanya watu wa mjini wamjue vijijini wanakosa fursa.THE EARLIER THE BETTER cdm amkeni.

Speculations!
 
Now nimejua true color ya Mh Zitto kabwe lakini bado najiuliza kitu gani kiko behind zitto kabwe kutaka kuivuruga chadema. Hebu soma makala hizi za Ramadhan Semtawa

Moto wawaka Chadema, NI VITA YA KAMBI ZA MBOWE, ZITTO

Sunday, 01 May 2011 22:56

By Ramadhan Semtawa
VITA vya makundi vimezidi kuviandama vyama vikubwa vya siasa nchini, ambapo sasa hali si shwari ndani Chadema, ambako kunadaiwa kuwepo mkakati wa kumng'oa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Zitto Kabwe.

Kabwe ambaye pia ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini na Naibu Kiongozi wa Upinzani Bungeni, anadaiwa kuponzwa na msimamo wake kupinga ununuzi wa magari mitumba yenye thamani ya Sh480 milioni ya Chadema.

Zitto Kabwe boosts CCM will never defeat him
Thursday, 09 September 2010 08:34

By Ramadhan Semtawa

Former Kigoma North MP Zitto Kabwe has vowed to retain his seat in the coming General Election despite plans by Chama Cha Mapinduzi to oust him.

Mr Kabwe made the statement after the CCM campaign manager, Mr Abdulraham Kinana, announced plans to win all constituencies that were under opposition parties in the last five years.

Mr Kinana was quoted as saying that CCM planned to win all constituencies which were under opposition parties. He said they were going to set camps in those constituencies, including Kigoma North and Moshi Urban, in a bid to dislodge outgoing MPs.

Mr Kinana was quoted to say that there was a need for the ruling party to strengthen its campaigns in some constituencies which have been dominated by opposition parties for a long time now.

But in his response Mr Kabwe said the ruling party had no power to oust him. He said Kigoma North would always remain an opposition party’s constituency since voters were aware of the strength and importance of electing him.

Zitto atembea na barua ya kujiuzulu Chadema

*ASISITIZA ATAMUUNGA MKONO KAFULILA KIGOMA KUSINI

Na Ramadhan Semtawa

HALI ya kisiasa ndani ya Chadema, inazidi kuwa mbaya, baada ya Naibu Katibu Mkuu wa chama, Kabwe Zitto kuandaa barua ya kujiuzulu nyadhifa zote ndani ya chama ambayo anatarajiwa kuiwakilisha wakati wowote atakaporejea nchini.

Zitto kupitia barua pepe aliyoitumia Mwananchi Jumapili, aliweka bayana msimamo wake wa kuchukizwa na siasa chafu zinazoendelea ndani ya chama hicho na kwamba, sasa yupo tayari kujivua nyadhifa zote ndani ya chama hicho ukiwamo ubunge.

"Ninayo barua ya kujiuzulu kila nafasi niliyonayo ndani ya chama ikiwamo ya ubunge, nataka kuendelea na maisha yangu," aliweka bayana Zitto. Hatua hiyo ya Zitto ambayo inazidi kukiweka chama hicho njiapanda, inakuja wakati Katibu Mkuu wa Chadema Dk Willibrod Slaa, akieleza kwamba hali ni shwari ndani ya chama hicho.

Wakati akizungumza na waandishi wa habari juzi, pamoja na kutetea uamuzi wake wa kuwatimua Ofisa Habari wa chama hicho, David Kafulila na Ofisa wa Bunge, Danda Juju, Katibu Mkuu huyo alilishambulia gazeti la Mwananchi kwa madai kuwa linaishambulia Chadema kwa kuchapisha habari inayoeleza hali tete iliyopo ndani ya chama hicho. Akielezea kuhusu hatua yake hiyo, Zitto alisema: "Sitaki kugombana na mtu mimi.

Zitto Kabwe atangaza kung’atuka
Published 03/1/2007
na Ramadhan Semtawa

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, ametangaza kung’atuka katika wadhifa wake mwaka 2010.

Kabwe alitangaza adhima yake hiyo jana, wakati akiongea na waandishi wa habari katika Hoteli ya Greenbeach mjini Maswa mkoani Shinyanga.

Alisema amefikia uamuzi huo bila kushinikizwa na mtu yeyote na ameamua kutangaza mapema ili kutoa nafasi kwa wanaotaka kugombea nafasi hiyo, ili wajiandae.

Kabwe alisema anatamani kufanya kazi za kitaalamu, hasa zinazohusu taaluma yake baada ya kuwa mwakilishi wa wananchi kwa kipindi cha miaka mitano.

“Tangu nimalize masomo yangu chuo kikuu, ni kipindi cha mwaka mmoja tu niliofanya kazi kisha nikachaguliwa kuwa mbunge, hivyo nina hamu ya kufanya kazi nyingine mbali na hii ya uwakilishi,” alisema Kabwe.

Alisema uamuzi wake wa kuachana na ubunge hauhusuni na masuala ya siasa ambayo iko katika damu yake.
 
anafanya ziara binafsi marekani na afrika kusini kuonana na viongozi binafi na rais thabo mbeki.
naona kijana yupo bizzy na urais.
 
Zitto Kabwe mwanzoni alipoingia kwenye SIASA alitimiza WAJIBU wake vizuri KITAIFA na KICHAMA. Zitto ni jasiri,mwelewa,msemaji mzuri ila Kadiri siku zinavyokwenda anazidi kujitoa ktk mtizamo wa kuwa MTETEZI wa MASLAHI ya chamana TAIFA na kujikita ktk MASUALA BINAFSI.Kwa sasa fuatilieni anachokifanya ZITTO BUNGENI hakina TIJA kwa CHAMA chake na hata mengine anayoyafanya bungeni unaweza ukafikiri yana tija kwa taifa lakini kiundani anajaribu kujijenga YEYE BINAFSI. Kwa kuthibitisha angalia jinsi alivyochukua ile HOJA ya KUIWAJIBISHA SERIKALI mwezi wa nne iliyoibuliwa na TUNDU LISSU yeye akaifanya kama ni ya kwake.Wtz ni vizuri mumfatilie vizuri huyu mtu ANACHOSEMA na ANACHOTENDA siku zijazo tusipokuwa MAKINI anaweza akawa ni TATIZO ogopa mtu anayependa SIFA tena sifa hizo zimwendee YEYE kama YEYE na si CHAMA chake au TAIFA lake.Ninahisi ZITTO bado anatumiwa na USALAMA wa TAIFA kuyumbisha UELEKEO wa UPINZANI na kama si hivyo basi namshauri ZITTO arudi kwenye mstari kama zamani ili UKOMBOZI wa TAIFA uendelee bila kukoma mimibinafsi nampenda sana ila staili yake anayokwenda nayo inantia mashaka.Ninajua ZITTO anajiandaa kwa URAIS wasiwasi kama akikosa nafasi ya kugombea ndani ya CHADEMA itakuwaje? Bila shaka ataasi au atazidi kukihujumu CHADEMA kama alivyofanya uchaguzi uliopita akakisaidia NCCR kupata WABUNGE badala ya kusaidia WAGOMBEA wa CHADEMA.Mwisho CHADEMA fanyeni UCHAGUZI wa VIONGOZI wenu mapema na pili MGOMBEA URAIS achaguliwe mapema ili wale ambao ni watu wachokochoko wajulikane mapema na wabainishwe ili wakati wa uchaguzi twende sambamba bila WASALITI.Pia hilo litasaidia kuanza kumjenga sehemu mbalimbali za nchi.Mkichelewa ni kuwafanya watu wa mjini wamjue vijijini wanakosa fursa.THE EARLIER THE BETTER cdm amkeni.
Mimi nahis wewe uko kiitikadi zaidi na sio kimaslahi yataifa, kwani hata hiyo chadema unayoiongelea kama haipo kwa maslahi ya taifa basi haifai, kama unaweza kumchafua Zitto kwa kufanya vitu kwa vitendo na kwa ujasiri basi wewe utakuwa na ajenda ya siri, kama siyo ya kikabila basi ya kiitikadi. na sidhani kama kuna mtu anaweza kukuunga mkono kwa hili, Zitto amekuwa mstari wa mbele kupigania haki za wtz, na ndio mwanaharakati wa kwanza kuibua uozo bungeni, na bado anaendelea kufanya hivyo, eti leo unasema afanya kwa maslahi ya chadema, na sio ya taifa. sidhani kama wewe ni mzima. Nakupa pole sana.
 
Swali kwa Zitto Kabwe,
Aliyekanusha kilichoandikwa na Gazeti la Mwananchi ni Joshua Nassari, hapa nilitegemea Mwandishi wa habari ile ndio aanzishe thread hii ili kuthibitisha kile kilichoandikwa, je wewe unawashwa na nini mpaka umeanzisha thread hii?
Tunakuangalia kwa makini sana usidhani wote tuliopo hapa ni wapuuzi kama unavyotaka kufikiri. ni afadhali hata Bernard Membe anayesema hajaoteshwa Urais bado kuliko hii style unayokuja nayo wewe.

Mimi mpaka siku utakayoueleza Umma mahusiano yako na Deputy Director wa Idara ya Usalama wa Taifa Jack Zoka ni upi na nikiweza kukuelewa ndipo naweza kuanza kukuamini tena otherwise wewe ni Traitor tu not otherwise, na ungekuwa Al Shabaab wewe ni mtu wa kupigwa risasi hadharani ili liwe fundisho kwa wengine wenye tabia kama zako.
 
Kila mtu ana mawazo yake na mm ninavyomwamini sidhani kama anaweza kufanya usaliti,na kila mtu ana haki za msingi za kugombea na kutangaza nia then kutakuwa na muda wa kuchagua kitu kinachotufaa zaidi baada ya hapo basi ni kushikamana kwa pamoja.kuna watu wanaandika humu ndani ili kugombanisha watu na watu,chama na mtu hawawezi wakakosa watu kama hao ukiwa dhaifu watakuchota ukiwa makini utawajua kama watu wanaotumwa na NAPE Nauye.
 
Mimi nahis wewe uko kiitikadi zaidi na sio kimaslahi yataifa, kwani hata hiyo chadema unayoiongelea kama haipo kwa maslahi ya taifa basi haifai, kama unaweza kumchafua Zitto kwa kufanya vitu kwa vitendo na kwa ujasiri basi wewe utakuwa na ajenda ya siri, kama siyo ya kikabila basi ya kiitikadi. na sidhani kama kuna mtu anaweza kukuunga mkono kwa hili, Zitto amekuwa mstari wa mbele kupigania haki za wtz, na ndio mwanaharakati wa kwanza kuibua uozo bungeni, na bado anaendelea kufanya hivyo, eti leo unasema afanya kwa maslahi ya chadema, na sio ya taifa. sidhani kama wewe ni mzima. Nakupa pole sana.

Ifke hatua tkbali au kama tnakanusha ttoe 7b za msingi ztakazo watoa watazamaji ktk fikira potofu. Nlmpenda Z lakin kweli ukimuangalia kwa sasa n tofaut na z aliyekuwa anazuiliwa kwenda MLIMANI kwa madai anaenda kwa mambo ya KISIASA. Tuwe makini kpinga HOJA.
 
Speculations!
Kuna ubaya gani ku-speculate? okay kaa subiri taarifa rasmi wakati wapenda mabadiliko tunasonga mbele.

Siyo siri Zitto amechagua mbinu chafu kujihakikishia CHADEMA inampa ugombea wa urais. Anatumia kila mbinu kuonesha bila yeye CHADEMA haina future. He is using blackmails, e.g email kwamba anang'atuka, nahisi hata habari ya kwamba CCM ina mpango wa kuichukua Moshi na Kigoma.

Zitto asituyumbishe.
 
Unachhongea ni porojo,
Napata hisia kuwa zitto ni tishio kwa maslahi ya baadhi ya watu, ndomana kila kukicha hawaishi kumtaja.
 
Kazi tunayo sana watz. Kupata kiongozi ambaye yupo yupo ladhi kufa kwajiri ya wananchi. Mimi kama kijana bado nina wasiwasi na hawa vijana wenzetu ambao wapo kwenye siasa kama wanania ya dhati kuleta mabadiliko au wanatumia mgongo kujinufaisha.
Je kunamtu anaweza simama kwamba ni msafi 100% kati ya hao wote wasemwao kila siku kwenye magazeti yetu? Wanatumia magazeti na redio mbalimbali kujitangaza na kutufanya sisi raia kutopata nn wanakitaka.

Kwani wanashindwa nn kupambana na matatizo tulio nayo leo hii, Madaktari, Walimu, Madini yetu yana chukuliwa bila manufaa yeyote, mbuga zetu ndo balaa kabisa halafu tunakaa na kusema mambo ya Uraisi kweli? Wanasema lisemwalo lipo nakama halipo basi laja.

Hivi tunafaida gani yakuwa na madini, gesi, mafuta (wanasema wanafanya uchunguzi wakati wanachukua na kupeleka nje), Hakuna uzalendo kabisa ktk nchi hii. Mimi nalia na wananchi wa vijijini ambao wanadanganya sana kwa maneno matamu wakati hakuna msaada wowote.
 
akumbuke alifika hapo baanda ya kuwezeshwa, anajisaliti mwenyewe. mnafiki, msaliti hata fika popote...
 
Mimi nahis wewe uko kiitikadi zaidi na sio kimaslahi yataifa, kwani hata hiyo chadema unayoiongelea kama haipo kwa maslahi ya taifa basi haifai, kama unaweza kumchafua Zitto kwa kufanya vitu kwa vitendo na kwa ujasiri basi wewe utakuwa na ajenda ya siri, kama siyo ya kikabila basi ya kiitikadi. na sidhani kama kuna mtu anaweza kukuunga mkono kwa hili, Zitto amekuwa mstari wa mbele kupigania haki za wtz, na ndio mwanaharakati wa kwanza kuibua uozo bungeni, na bado anaendelea kufanya hivyo, eti leo unasema afanya kwa maslahi ya chadema, na sio ya taifa. sidhani kama wewe ni mzima. Nakupa pole sana.

Akili yako imekupoteza, ikiwa unadhani zito anafaa kuwa rais wa jmt asubiri atimize miaka 55, wakati anasubiri akitumikie chama kufa kupona, ni sisi tutamtunukia hiyo top position nchini, ama la anakwisha kisiasa kwa stail ya mutamwega.
 
Mchakato gani tena wa kumtafuta mgombe a urais wakati baba yetu dr.slaa yupo...............
Acheni kutupotezea muda kwa kuzungumzia watu km zitto..........huyu kijana ni mbinafsi sana na kwa kweli for sure hawezi kupenya kwenye siasa za tz za sasa kwani watz wanafuatilia maneno na matendo ya mtu na wakati gani maneno au matendo yanafanyika....
Watz tupo makini tunajua kwenye msafara wa mamba ma kenge hawakosi mi naona zitto ni kenge kati ya mamba cdm
 
Pro-CDM, Kwa hiyo mnataka Zitto awe anazungumzia maslahi ya chama tu!? Hivi kuna mwanasiasa gani asiyependa kujijenga!?
Wenye akili timamu siku hizi hawachagui chama wanachagua mtu..Hata Zitto akiamua kujitolea 200% kwa chama bila kujijenga mwenyewe na image yake mtaenda kumsaidia kulitetea jimbo la Kigoma? Au mnadhani watu wa jimbo lake watachagua chama na sio mtu??
Huyu Slaa tumemjua yeye kama yeye sio kupitia CDM, ila watu wengi zaidi wameijua CDM kupitia Slaa, na hata hiyo idadi kubwa ya wabunge wamepatikana kupitia mgongo wa Slaa..Mwacheni na yeye Zitto ajijenge kama ilivyokuwa kwa mwenzake
 
Niko pamoja na wewe mkuu, huyu jamaa hasomeki vizuri sio mtu wa kumuamini saana, kajiweka kando sana na chama sijajua lengo lake ni nini, lazima wana cdm tuwe makini na huyu mtu na naamini chama chetu na wanachama tupo makini. Nimeshuhudia kwenye mambo ya msingi ya kichama huyu mtu haonekani na ingali yeye ni naibu katibu mkuu kwa hili hata mimi nina wasi wasi naye.
 
Usalama wa taifa siyo taasisi ya maana kwa taasisi zenye muelekeo wa kupinga serikalina wapenda mabadiliko kwa njia yoyote lazima ipate mamluki iwe ndani ya chama,kanisa,msikiti,shule,chuo na mabenki na mbaya sana taasis kubwa kama cia-usa,m16 -uk zinatumia hadi marais wa nchi,mawaziri wa nchi zingine kuwa mawakala wa taasisi zao.

Hivyo kwa mwenendo ulivyo kati ya zito na jack zoka naamini tayari yupo kwenye payroll ya tiss.tiss ipo kwa ajili ya kutumia fedha na zawadi mbalimbali kuwa karibu nao ili kupata mikakati yandani ya taasisi pingamizi.hata hivyo zito bado anakazi kubwa ya kufanya maana strategy anayotaka kutumia kufikia malengo yake ni muflisi.ccm na tiss wanaweza kumtumia kufikia malengo yao na baadae wakamwacha kama condom.tiss,cia,m.16 siku zote hawana rafiki wa kudumu na wakala yoyote mifano ni mingi, wapi charles taylor,osama hao ni mawakala waandamizi bado wadogo kama hawa akina zzk.ni vema zzk akachagua njia ya kuungwa mkono na watu wengi kuliko ya sasa-binafsi.
 
Mbona maroloso mengi kwa zitto mleta mada mjinga kila siku zitto aah tumechoka acheni kamanda apige kazi wote mnaompinga zitto nasema wajinga akili zenu zina matundu kwa nyuma mtu huwezi kuwa perfect kama malaika majinga makubwa nyee KAMANDA ZITTO TINGA GWANDA INGIA MSITUNI MAADUI BADO WENGI
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom