T 2020 BKM jasusi mbobezi niguse ninukeMumemponza mwenzenu ona wamemnyoa sasa.
Kaote tena.Habari za muda mabibi na mabwana!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nawashauri wanachama wenzangu na wananchi kwa ujumla. Mwaka 2020 tusipoteze tena kama ilivyotokea mwaka 2015. Haya yote ni kwa sababu hatukutulia vizuri katika mchujo wa kumpata kiongozi bora.
Karibuni kwa maoni yenu.
====
Kwani hata upinzani si mnataka kuula kichwa badala ya kujenga viwanda?Kaliwa kichwa sasa nendeni na kiwili wili
Lissu atoshaTwende na membe
Twende na Tundu Antipas Lissu.Twende na membe
kazi na bataTwende na membe
tulienda nae mpaka 2021 bongo nyosoTunaenda na Magu mpaka 2022 ( Miaka 7 awamu ya kwanza) then anatuchukua awamu ya pili mpaka 2029 akimaliza hana cha kuongeza muda then ndio tunaanza kujadili wengine wa kumrithi