Kipanga boy
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,409
- 1,212
Hawa ambao hawapo kwenye system hawajui kitu kabisahuyo tena yatakuwa mambo ni yaleyele ya uswahili wa JK.inabidi akitoka huyu aingie mwingine tena ambaye hayupo kwenye system tena kama Baba Jesca.
Lowasa ndo anasimile kwenye mambo ya vitaAkisimama Membe Lowasa au Lisu anachukua nchi mapema hata kabla kura kuhesabiwa. Akishinda tujiandae na vita visivyo lazima kati yetu na Rwanda na baada ya kuipiga Rwanda ataipiga Malawi. Membe ni Mbabe sana na hatupo tayari kwa hasara.
Kwani muda wa kampeni tayari ?Habari za muda mabibi na mabwana!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nawashauri wanachama wenzangu na wananchi kwa ujumla. Mwaka 2020 tusipoteze tena kama ilivyotokea mwaka 2015. Haya yote ni kwa sababu hatukutulia vizuri katika mchujo wa kumpata kiongozi bora.
Karibuni kwa maoni yenu.
Ulishaona Nchi gani wanakula Demokrasia?.Habari za muda mabibi na mabwana!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nawashauri wanachama wenzangu na wananchi kwa ujumla. Mwaka 2020 tusipoteze tena kama ilivyotokea mwaka 2015. Haya yote ni kwa sababu hatukutulia vizuri katika mchujo wa kumpata kiongozi bora.
Karibuni kwa maoni yenu.
Mkuu baada ya 2025 anampasia mzee mzima Majaliwa.T 2025 JPM.
Mtoa post aliyekutuma mwambie hujawakuta.
Kama umejituma mwenyewe (maana ndio zenu)nakushauri ujiandae tu kisaikolojia kwa sababu JPM is for Tanzania na akimaliza tunamuongezea.
Itakuwa poa sana mkuu.Mkuu baada ya 2025 anampasia mzee mzima Majaliwa.
Watamkumbuka tena Magu, maana hata Magu mwenyewe anamkubali mzee Majaliwa.
Itakuwa poa sana mkuu.Mkuu baada ya 2025 anampasia mzee mzima Majaliwa.
Watamkumbuka tena Magu, maana hata Magu mwenyewe anamkubali mzee Majaliwa.
Atapitishwa na kamati kuu ipi?Habari za muda mabibi na mabwana!