Urais 2015: Mtei amshukia Zitto

Urais 2015: Mtei amshukia Zitto

Molemo did you mean 001%?

Chama
Gongo la mboto DSM

Katika Thread zangu hii ni post yako ya ngapi? May you count please and then will be rewarded
 
Mzee mtei amesema vyema, kwa maoni yangu zitto hawezi kuishinda ccm 2015, pia cdm ikiendeleza malumbano ya hizo kambi itaparaganyika na kubaki historia! Chama kirudi kwa wananchi na si mtu!
 
Nakubaliana na wanaosema DEMOKRASIA YA KUJITANGAZIA URAISI BILA UTARATIBU NA WAKATAI MUAFAKA ni vurugu tuu.
 
Huyu Zitto anaboa sana,nadhani lile tamasha lake la kigoma lilivyojaza watu akadhani anapendwa vile,watu walikuja kuangalia wana muziki na sio yeye,kwa ubunge sawa lakini kwa uraisi hata na yeye anajua hayuko popular kiasi hicho,ila naona anatekeleza kazi aliyopewa na zoka,mimi kura yangu ya 2015 ni CHADEMA,lakini kama ikitokea muujiza wakamsimamisha Zito basi ama sitapiga kura au nitampa Asha Migiro
 
Mwasisi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA Edwin Mtei amemuonyambunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe kuacha kutangaza mambo ya Urais sasa kwani anasababisha mpasuko ndani ya CDM na badala yake ajikite kukijenga chama mpaka muda utakapofika ili chama kitoe utaratibu.

Mzee Mtei amesema amemshauri mara kadhaa Zitto umuhimu wa kutulia kama wenzake ndani ya chama na kukijenga chama lakini mbunge huyo amekuwa mkaidi na hasikii.

Pia Mzee Mtei amesema endapo mbunge huyo ataendeleza harakati zake za kutaka umri wa Urais ushuke hadi miaka chini ya 40 ili tu yeye apate nafasi ya kugombea basi atakuwa ni mbinafsi wa kupindukia na mwenye uroho mkubwa wa madaraka.

Akijibu madai hayo ya Mzee Mtei,
Zitto Kabwe amemuonya Muasisi huyo wa chama na amewataka wazee ndani ya CHADEMA kuheshimu Demokrasia na kusema anaamini ni yeye atakayeweza kuishinda CCM mwaka 2015 na anataka Mzee Mtei akiwa bado hajafa amshuhudie jinsi atakavyobadili nchi akiwa kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Source: Mwananchi Jumamosi.

My Take:
Nadhani umefika wakati sasa wa Kamati Kuu kutoa mwongozo kuhusu suala hili. Hili suala la kila mtu kujitangaza kugombea Urais sasa linataka kupoteza mwelekeo wa harakati za CHADEMA kujijenga.

Imefika wakati wa M/kiti na Katibu mkuu wa chama kuongoza Kamati kuu kutoa hitimisho la jambo hili. Simaanishi kufukuza watu Hapana! Lakini itangaze muda muafaka wa wanachama kutangaza nia, kwani binafsi naamini DEMOKRASIA BILA NIDHAMU NI FUJO.

Hivi kuonyana huku hatima yake ni nini?

Zitto si aachwe tu atangaze kama hawezi watu watampuuza.
 
Katika Thread zangu hii ni post yako ya ngapi? May you count please and then will be rewarded

Aaah mkuu are you afraid that I `m gonna expose your dirty game? Do I need a reward for expressing my view? Hell no! what I do is engaging in political correction; by the way I did ask some question in my previous post I am still waiting for the answers; I will up for next hours waiting for explainations why Zitto is feared by Chadema top brass .

Chama
Gongo la mboto DSM
 
huyu zito ni kama dhaifu alikuwa na ndoto ya kuwa raisi kapambana kaiba kachafua wengine ili awe raisi hatimaye kawa rahic check sasa anavyotupeleka mchakamchaka na ufisad
 
Mkuu Ritz;
Nakumbuka juzi Aweda alidai ndani ya Chadema hakuna makundi mambo ni mswano tu; leo molemo anatuhabarisha mwenye chama mzee Mtei hapendezwi na mh. Zitto na harakati zake za kugombea uraisi, na nimeshtushwa na hii kauli ya mh. Mbowe kutumia 72% ya pesa yaani kigezo cha yeye aachiwe kugombea uraisi; kwa mantiki hii huu mradi apate kurejesha pesa zake hivi kweli Chadema inaweza ni suluhisho la matatizo ya Tanzania? Mkuu hawa jamaa ni mafisadi kama wale wanaowapigia kelele hii ni hatari sana kwa mustakabli wa taifa letu.
Mimi nilishaona toka zamani kuwa pilikapilika hizi zote za CHADEMA wana ajenda zao za SIRI ambazo mtu mwingine yoyote yule hapaswi kuzifahamu ila wanataka kututumia Watanzania na shida zetu kama daraja ili waende IKULU wakafanye mambo yao! Mimi nasema hapana kwa CHADEMA wawe wawazi ili baadae tusije laumiana, nimeona kwenye poast nyingi humu ndani ukijadili jambo linalohusu CHADEMA likawa tofauti na matakwa yao utashambuliwa kwa matusi mpaka basi hivi ni sahihi kweli?
 
huyu zito ni kama dhaifu alikuwa na ndoto ya kuwa raisi kapambana kaiba kachafua wengine ili awe raisi hatimaye kawa rahic check sasa anavyotupeleka mchakamchaka na ufisad

Wadhaifu ni wale waoga wa demokrasia waliozoea kumshinikiza Zitto asifanye maamuzi yake kisiasa

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mwasisi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA Edwin Mtei amemuonya mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe kuacha kutangaza mambo ya Urais sasa kwani anasababisha mpasuko ndani ya CDM na badala yake ajikite kukijenga chama mpaka muda utakapofika ili chama kitoe utaratibu.

Mzee Mtei amesema amemshauri mara kadhaa Zitto umuhimu wa kutulia kama wenzake ndani ya chama na kukijenga chama lakini mbunge huyo amekuwa mkaidi na hasikii.

Pia Mzee Mtei amesema endapo mbunge huyo ataendeleza harakati zake za
kutaka umri wa Urais ushuke hadi miaka chini ya 40 ili tu yeye apate nafasi ya kugombea basi atakuwa ni mbinafsi wa kupindukia na mwenye uroho mkubwa wa madaraka.

Akijibu madai hayo ya Mzee Mtei, Zitto Kabwe amemuonya Muasisi huyo wa chama na amewataka wazee ndani ya CHADEMA kuheshimu Demokrasia na kusema anaamini ni yeye atakayeweza kuishinda CCM mwaka
2015 na anataka Mzee Mtei akiwa bado hajafa amshuhudie jinsi atakavyobadili nchi akiwa kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Source: Mwananchi Jumamosi.

My Take:
Nadhani umefika wakati sasa wa Kamati Kuu kutoa mwongozo kuhusu suala hili. Hili suala la kila mtu kujitangaza kugombea Urais sasa linataka kupoteza mwelekeo wa harakati za CHADEMA kujijenga.

Imefika wakati wa M/kiti na Katibu mkuu wa chama kuongoza Kamati kuu kutoa hitimisho la jambo hili. Simaanishi kufukuza watu Hapana! Lakini itangaze muda muafaka wa wanachama kutangaza nia, kwani binafsi naamini DEMOKRASIA BILA NIDHAMU NI FUJO.

Hivi suala la umri wa Urais ni la Zitto peke yake au ni suala la vijana walio wengi hapa Tanzania? Mimi naamini ni suala la vijana wengi na si suala binafsi la Zitto hadi ionekane ni mbinafsi wa kupindukia. Watanzania tunaambiwa umri wa wastani wa kuishi ni miaka 45 lakini kwenye kugombea urais unaambiwa miaka sijui 42; kimantiki hii haina maana. Vijana piganieni umri ushuke mpate nafasi mgombee.
 
msimamo wangu uko wazi 2015 nitaichagua chadema ila akisimama zito kama candidate bac kura yangu anayo dr. Asha Rose Migiro
 
gesi gesi gesi..mafuta..uranium....nani aisyetaka kuwatawala wadanganyika afaidi? hehehehee:biggrin:
 
Mkuu wangu chama,
Ndani ya Chadema makundi yapo wala sio siri tena, Edwin Mtei, hawezi kumwambia hayo maneno mkwe wake Mbowe wala Dr Slaa, kamwambia Zitto sababu sio chaguo lake.
 
Last edited by a moderator:
Huyu mzee ni wa hovyo hovyo tu ndio maana Zitto anampuuza.Mwaka huu atasema mpaka yatampalia mate hakuna atakaesiliza ujinga wake.
 
Kwa hiyo ndani ya Chadema ni marufuku kutangaza kugombea urais.

Kila jambo lazima lifanyike kwa utaratibu Ritz ,kwani hata huko CCM nani ametangaza kugombea urais kama anavofanya Kabwe? Pia nadhani Zitto hana nia ya kugombea urais kupitia CDM ,May be anaitumia CDM kujipatia/Kujiongezea umaarufu then aje kuchepukia CCM.Kama angekua na nia ya kugombea kupitia CDM angetafuta kwanza uungwaji mkono kwenye chama chake.Kibaya zaidi ni kwamba uungwaji mkono wake kwenye chama chake unazidi kushuka.Nahisi ni mvurugaji tu.
 
Last edited by a moderator:
mzee hapo yuko saw kabisa hata mda wa kuchukua form haujafika lakini naona wana siasa wengine wanakurupuka sana,kila m2 atsema kwamba yy ndo anfaa kuwa rais,kama mzee MTEI alivo sema zitto atulie wkijenge chama kwanza mda ukifika basi ndo atangaze hiyo nia yake
 
ni kwel kabisa mkuu sabasita nani asiyetaka utajiri wa ges na mafuta halafu ukute m2 mwenyewe katoka kwenye dhiki
 
Last edited by a moderator:
Zitto akiona picha za mr dhaifu akiwa Canada akivutwa na vitoroli kupitia farasi naona ndio anachanganyikiwa kabisa kwa tamaa anataka hata kubadilisha birth certificate yake ili isome miaka 42 afikapo 2015
mkuu ee umenimaliza ponti zangu yaani hapo kwenye vitoroli na safari za europe ndio panamchanganya dogo!
 
Back
Top Bottom