mbinguni
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 2,767
- 1,068
Hayo ni mawazo yako japo huajafanya tathmini yeyote ya kisayansi ukaujua ukweli.CCM kwenye upinzani wanahaha Dr.Slaa peke yake na si mwingine.Mfano rahisi tu ni kwamba itokee tu Slaa leo aseme anaacha siasa,ccm watafanya sherehe kubwa.Slaa ndio kikwazo cha kweli kwa chama tawala.
Na ukweli uko wazi mkatae mkubari dr.slaa hana mvuto kama aliokuwa nao 2010 kwa hiyo ccm wanaelekea kushinda kirahisi sana sana 2015 ... Mvuto wa zitto au lema au mnyika ni mkubwa kwa wananchi kuliko dr.slaa... Mzee mtei ,mbowe wamechemka wanauza chama mchana kweupe.....