TUKUTUKU
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 11,763
- 4,046
Mkuu wamesema wamempigia simu!Huwa mnamkutaga wapi huyo Mzee Mtei? Huwa anaongea na gazeti lenu pekee?
Mkuu wamesema wamempigia simu!Huwa mnamkutaga wapi huyo Mzee Mtei? Huwa anaongea na gazeti lenu pekee?
MWASISI wa Chadema,Edwin Mtei amemtaka Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Zitto Kabwe kumwachia Katibu Mkuu wake, Dk Willbrod Slaa fursa ya kuwania tena urais mwaka 2015 kwa madai kuwa ndiye chaguo la watu kwa sasa.
Kauli hiyo ya Mtei inakuja siku kadhaa baada ya kuunga mkono kauli ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kwamba Dk Slaa awanie tena urais katika uchaguzi ujao huku yeye akijiondoa katika orodha ya viongozi watakaowania nafasi hiyo kupitia Chadema.
Akihojiwa na gazeti hili, Mtei alisema Zitto anapaswa kumwachia Dk Slaa apeperushe bendera ya chama hicho katika uchaguzi ujao kwa kuwa ndiye chaguo la wengi.
Zitto atagombea baada ya Dk Slaa na kwa sasa amwachie katibu mkuu atupeperushie bendera ya chama katika uchaguzi ujao kwani ndiye chaguo la wengi, alisema Mtei.
Mtei alisema yeye anasimamia msimamo wa Mbowe na kamati kuu ya chama hicho kuhusu kumpendekeza Dk Slaa kuwania nafasi hiyo.
Alisema kila mmoja ndani ya chama amekuwa na hisia na mawazo tofauti lakini msimamo wake kwa sasa ni kumtaka Dk Slaa awanie nafasi hiyo ya urais na si Zitto. Kila mmoja na hisia na maoni yake, Dk Slaa ana yake, Freeman na yake hata mimi nina hisia zangu na Slaa ndiye pendekezo langu nataka atupeperushie bendera, alisema Mtei. ( MWANANCHI JAN 3,2013)
Mtei ni mzigo katika taifa toka enzi za uhuru
mwananchi sasa limekua kama tambala la deki
"Kila mmoja na hisia na maoni yake, Dk Slaa ana yake, Freeman na yake hata mimi nina hisia zangu na Slaa ndiye pendekezo langu nataka atupeperushie bendera," alisema Mtei. ( MWANANCHI JAN 3,2013)
Very good indeed
Huwa mnamkutaga wapi huyo Mzee Mtei? Huwa anaongea na gazeti lenu pekee?
Kila mmoja na hisia na maoni yake, Dk Slaa ana yake, Freeman na yake hata mimi nina hisia zangu na Slaa ndiye pendekezo langu nataka atupeperushie bendera, alisema Mtei. ( MWANANCHI JAN 3,2013)
Very good indeed
mwananchi sasa limekua kama tambala la deki[/QU ila tanzania daima limekuwa kapeti cyo la kufunikia uchafu wenu enh, leo mnaliona siyo, busara ilikuwa mumshauri mzee wenu aache mazoea na aruhusu demokrasia cdm sio kulilalamikia gazet wakati ni kaz ya gazet kutafta habari na mtei ni source nzuri hasa kwa habari za unafiki wenu.
MWASISI wa CHADEMA,Edwin Mtei amemtaka Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Zitto Kabwe kumwachia Katibu Mkuu wake, Dk Willbrod Slaa fursa ya kuwania tena urais mwaka 2015 kwa madai kuwa ndiye chaguo la watu kwa sasa.
Kauli hiyo ya Mtei inakuja siku kadhaa baada ya kuunga mkono kauli ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kwamba Dk Slaa awanie tena urais katika uchaguzi ujao huku yeye akijiondoa katika orodha ya viongozi watakaowania nafasi hiyo kupitia CHADEMA.