Kisa umejua Niko mwanza ndo unaniambia nije kukuona uraia? Umesahau kpnd like umeniambia uko chuga, nimechoma mafuta kuja ukaingia mitini 😂 kila nkikuangalia Sina hamu kabisa.Ha haaa basi kila unae muona huko unasema huyu anaweza kuwa demi.
Baadae basi tuonane pale URAIA
Lakini mbona unanisingizia kiasi hiki jirani? Niletee basi samaki ukirudi...Kisa umejua Niko mwanza ndo unaniambia nije kukuona uraia? Umesahau kpnd like umeniambia uko chuga, nimechoma mafuta kuja ukaingia mitini 😂 kila nkikuangalia Sina hamu kabisa.
😂 Haya bana jihany yangu kipenzi mwenye shape lake town. Ngoja nije pm nikubless na vocha.Kwa bibi ni Matombo
Karibu sana jirani😂 Haya bana jihany yangu kipenzi mwenye shape lake town. Ngoja nije pm nikubless na vocha.
Mmh ya kwwli haya jirani?Loh...
Siku ukiniona utakuja kutengua hii kauli😅. Sina wowowo mie
Unakula vocha tu hahaKaribu sana jirani
Naona majirani mmeniamuliaMmh ya kwwli haya jirani?
Kanikimbia hajajaUnakula vocha tu haha