murutongore
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 2,051
- 639
Sir, if you find that you run short of words (like you say) critisise or improve on someone's arguments you simply keep your big mouth shut, otherwise this is a mere attempt to assassinate intellectual thinking in JF. Just an advice
Mmesahau Prof Silas Rwakabamba alikuwa mkuu wa kitivo cha uhandisi UDSM Kagame akamyakua kwasababu ya utusi wake leo ni waziri wa miundombinu Rwanda.
If that is what you call intellectual thinking, then i have big doubts about YOUR "intellectual thinking". Just thinking out loud.
Food for thought. I doubt if you will comprehend. Mhutu na Interahamwe is two different things. Kwetu hatuna uhutu wala ututsi. Tuna unyarwanda. Sisi tunapambana na interahamwe kama wewe. Either you are hutu,tutsi,twa etc. Ukileta ideology yako in the open then you are fair game. Kuna mahakama maaalum ambayo inawatafuta watu kama nyie. Kama una some brains kidogo, utajua kuwa hata Ujerumani, raia wote hawakuwa NAZI. Ila wale walioshiriki katika mauaji mpaka leo bado wanakamatwa. Vivyo hivyo, Interahamwe wote (na wewe ukiwemo) kuna siko mtafikishwa mbele ya mahakama kujibu mashtaka.
Read below if you can comprehend:
BBC News - Erich Priebke: Nazi war criminal
... well said ndugu!...congratulations....unazidi kuwavua nguo...1. Sihitaji propaganda za ndi Umunyarwanda. Mimi nafahamu tofauti ya mhutu na interahamwe toka kitambo. Nyinyi ndio mnaoamua kutumia maneno haya interchangeably when ever it suits you. Kinachowafanya media zenu (new times rwanda) kumpachika uhutu first lady wetu ni nini, kama sio chuki zenu dhidi ya wahutu? kwani if angekuwa mhutu so what?
Interahamwe imeua watutsi sawa sikatai. Lakini mbona waanzilishi wake walikuwa watutsi, na rais wake alikuwa mtutsi aliyejifanya mhutu na alishiriki kikamilifu kwenye mauaji? Ndiyo amehukumiwa, lakini the question is kwanini ALIONGOZA mauaji dhidi ya watutsi wenzie? what did he have to gain? How many other interahamwe members were actually tutsis pretending to be hutu if rais mwenyewe anayeamua tukachinje nyumba ipi alikuwa mtutsi? Je is it not possible kwamba kwamba ukiacha extremist hutus, interahamwe pia ilijaa watutsi wahalifu waliotumia opportunity ya vita kufanya uhalifu dhidi ya watutsi wenzao (looting, raping etc)? Tatizo badala ya kujibu maswali haya we unaleta matusi. Are these not valid questions worthy to be answered by a great thinker as you pretend to be?
2. "kwetu hakuna uhutu au ututsi": hii imeshaonekana wazi kuwa ni sera yenu wachache ya kuziba watu midomo kuwa minorities mmehodhi madaraka. Nilishatoa mfano kuwa hapa Tanzania haiwezekani litokee kundi la waasi la kihindi lipindue nchi halafu lilete rais mhindi, waziri mkuu mhindi, wakuu wa majeshi wahindi, jeshi lote wahindi, polisi wote, wakuu wa mikoa, wakurugenzi wa idara zote muhimu, mabalozi n.k woooote muhimu wawe wahindi (tena wahindi toka Uganda, sio Tanzania). Unadhani serikali hii ya kihindi ikiweka sheria kali ya kukataza watu kujadili uafrika na uhindi itakuwa ni kwa sababu ya kudumisha umoja wa watanzania au kuendeleza udikteta wao?
Hii sera yenu ingefaa sana kama mngeimplement Arusha accord, lakini mkamtungua ndege ya rais, mkapindua serikali, mkahodhi madaraka, halafu sasa mnadai eti "we are all rwandans" what hypocrisy! The only reason kwa nini hakuna fujo leo ni kwa sababu mna jeshi tu baasi, lakini moyoni watutsi wana woga kwa sababu they know it's just a matter of time kabla wahutu hawajadai haki zao, and it won't be pretty. Let's be honest, tuache propaganda na rhetorics, kilichosababisha mapinduzi ya wahutu miaka ya late 50' ni nini?
Zimbabwe kuna waafrika (majority) na wazungu(minorities, former colonial masters). would it make sense kwa serikali ya ian smith ya wakati ule kudai kuwa eti "there is only one zimbabwe, no african no white"? Hata mwehu angeona kwa nini wanasema hivyo. where is the onness when only one tribe holds all the reigns of power?
Tazama Burundi with its history almost identical to yours (belgians, tutsis and hutus). Mbona watutsi na wahutu huko sasa wanaelewana? waliresolve vipi issues zao? ni kupitia peace talks sio ubabe na ideologies za kifalme za kip.umbavu p.umb.avu.
Wahutu walikuwa tayari kushare madaraka kupitia arusha accord nyinyi mkatungua ndege ya rais wao, mkavamia nchi, mkapindua... leo hii mnashauriwa kufanya mazungumzo na wale wale waliokuwa tayari kuzungumza na nyinyi when they didn't even have to (they were the gov, while you RPA/RPF were external aggressors/terrorists) mnatishia ku-hit watu wanaoshauri (kikwete)!
Even worse, mnatengeneza situation kwa jirani zenu. Watutsi DRC hawafikii hata 1% ya population nzima (congo ina makabila zaidi ya 250 tutsi ni moja wapo tu), lakini mnafadhili vikundi vya waasi, mnapenyeza watu wenu humo kama kabarebe, ntanganda (ex-RPA soldiers) n.k. M23 walishateka Goma na wakatishia kwenda kinshasa kuchukua nchi nzima. Obviously, ingetokea Makenga kapindua DRC, angesema vile vile "there is no tutsi, bemba, baluba...only congolese" angepiga marufuku watu kujadili kuwa you people are less than 1% but control 99%. Leo hii Ntaganda huko ICC anajitetea kwa kinyarwanda, hajui lugha yoyote ya taifa kati ya NNE za DRC! You try to comprehend that!
sio kila thread lazima ujibu.
Genocide ni mauaji yanayofanywa na kundi moja la watu kutokomeza uwepo wa kundi lingine kwa misingi ya ukabila,dini n.k sasa unaweza vipi kusema mauaji ya rwanda ya kikabila 94 siyo genocide wakati yalihusisha mpaka vichanga vya siku kadhaa?
Halafu kuna sehemu nyingine unaongea kishabiki sana mpaka nahisi unainterest na kundi unalolitetea hasa pale unapojaribu kulisafisha ili lionekane ni totally innocent.
Nimepitia historia ya paul rusesabagina anaonekana ni mhutu lakini mama yake na mke wake wote walikuwa watutsi kwavyovyote vile huyu mtu alikuwa neutral tu lilipokuja suala la ukabila.
Nimejaribu kupitia pia ya robert kajuga alikuwa ni mtutsi lakini baba yake alichukua ID ya kihutu kwasababu za kiusalama yeye na familia yake,usalama dhidi ya nani sijajua bado na pia mtu huyu anatumikia kifungo cha maisha kwa uhusika wake.
Kama tunavyofahamu watu wengi waliohusika kwenye genocide wanatumikia vifungo au wameidhinishwa kukamatwa na mahakama sasa unaweza nisaidia majina ya watutsi wengine wanaotumikia vifungo au kusakwa kwa uhusika wao apart from kajuga?kwa maelezo yako natumaini watakuwa wengi tu kwasababu interahamwe(the main suspect)ilikuwa kama yao kwasababu iliongozwa na wao tena kiongozi mkuu aliwekwa na Kagame.
Halafu umesema mauaji haya yalifanywa na kundi dogo tu tena lililokuwa na zana duni kama mapanga,marungu na mashoka,naamini kipindi hicho rwanda kulikuwa na serikali tena kwa mujibu wako ilikuwa ni bora na haikuwa na ukabila kwani ilizuia mauaji ya aina hiyo huko nyuma,sasa ilifanya nini kukizuia hiki kikundi kidogo tu cha hao wahutu wenye msimamo mkali?na nani alizuia yasiendelee?
Ninavyofahamu mimi labda kama utaweza kuniaminisha tofauti ni kuwa mauaji ya rwanda 94 yalifanywa na wahutu wenye msimamo mkali na yalilenga watutsi wote na wahutu wenye msimamo wa kati
Bwana Jmali,Hapa tunaongelea maisha yawatu waliokufa, ndio maana sometimes reactions zinakuwa kali:Ningependa kuongerea point by point kama ulivyo bainisha:Kwanza inawezekana wewe sio mu NyaRwanda, ila nimekuwa forced kukuita hivyoa manake, your interest na thread ambazo unapost kila mara unaonyesha kwamba you have something ithching you zaidi ya kukataa uonevu nashangaa hata program ya nd`UmunyaRwanda unaifahamu! cha muhimu sio kwamba wewe ni MunyaRwanda au cha muhimu ni threads na ideology ambayo unajaribu kuipenyeza forcefully kila mara unapo post thread hapa jukwaani😛ili:Sijui nimakusudi au kutoelewa, ukijaribu kutofautisha wa Tutsi waliokuwa wamekimbia nchi na wale waliokuwa wamebaki nchini Rwanda:Kweli Rwanda ilikuwa chini ya mfalme, kama zilivyokuwa pande nyingi tu za Afrika kipindi hicho,kwa hiyo hiyo haiwezi kuwa sababu:fact ya kwamba wa mTutsi ndio alikuwa mfalme ni kwasababu ufalme ulikuwa katika njia ya hertance, manake Baba akiwa mfalme, then the first born anakuwa mfalme pindi tu baba yake akifaliki, this was common to all Kingdoms around this region:Wazungu walipofika walikuta nchi iko chini ya mfalme, kwa taarifa yako hii issue ya Tutsi and Hutu wao ndio waliifanya kuwa makabila, kabla ilikuwa class division, wafugaji walikuwa wakiitwa WaTutsi,Wakulima wakiitwa Wahutu, na haikuwa kabila ndio wengi walikuwa wakiachana na kazi za ukulima na kuanza ufugaji, pindi tu ukifikisha ng`ombe zaidi ya 10 hapohapo tayari ulikuwa unaingia into Tutsi class:Kwa maoni yako ni kwamba wa Tutsi si wanya Rwanda, na ndio maana ukitoa mifano yako unawalinganisha na wazungu!?kwamba rwanda ilitawariwa na wazungu +waTutsi hii nikupotosha:Ingekuwa hivyo then kayibanda mhutu asingeweza kuwa Raisi kama Wa Tutsi wangekuwa na support ya mzungu:Siongerei mauaji ya siku mia moja tu, mauaji yalianza tangu mwaka 1961, pale wa tutsi walipokimbizwa kutoka nchi yao Kumbuka Kagame pia alizaliwa nchini Rwanda kipindi hicho akiwa mtoto mdogo, ndio maana nimesema si sahihi kutofautisha wa Tutsi waliotokea Uganda Tanzania, etc na wale walio baki Rwanda kipindi hicho:Kilichotokea ni kwamba wahutu wakisaidiwa na Belgium waliwakimbiza wa Tutsi:Sababu ya mzungu kumusaidia muHutu kipindi hicho sinyingine ila ni kwasababu wa Tutsi ambao walikuwa viongozi walikuwa wameandikia UN wakiomba independence, kitu ambacho hakikufurahisha mkoloni;Another big issue ambayo nitapenda unijibu, manake baada ya jibu lako nitapost speeches na video evidences:Unakubali kwamba Genocide ilikuwa planned kabla hata ya kutunguliwa kwandege?Unakubali kwamba kuna mauaji mengine dhidi ya wa Tutsi yalifanywa kabla hata ya kutunguliwa kwa ndege?Are you sure kwamba ndege ya habyarimana ilitunguriwa na RPF?harafu nadhani utatoa evidences, manake na mimi nina evidences zinazoonyesha kwamba ndege hiyo haikutunguriwa na majeshi ya RPF:Hivi mapigano kuanza mwaka 1990 kati ya majeshi ya habyarimana na yale ya RPF unaweza kusema kwanini, RPF iliamua tu kushambulia bila sababu yoyote?Hivi Arusha agreement kati ya RPF na serikali ya Habyarimana ilikuwa ikiongerea nini hasa?kama kweli RPF ilikuwa haina uhusiano wowote na Rwanda?Samahani kwa kutumia mtindo wa kuuliza ila nadhani itasaidia kuonyesha ukweli halisi:Genocide against Tutsi haina utata wowote, it is well known by the International communities including UN:Neno Genocide against Rwanda lilitumiwa kwa mala ya kwanza na Mwalimu Nyerere akiwa nchini South Africa kwenye mkutano na ma Raisi wengine wa Afrika, na sio kweli kwamba ilikuwa ni campaign ya Kagame:Watu waliokufa rwanda wanajulikana kwa majina, hivyo kusema kuna utata, kwa mafuvu sio kweli, na hii nimojawapo ya ideologies zinazokuwa spread by Genocide denials:Calling a spade a spade ni kwamba wa Hutu waliua wa Tutsi, pale wa Tutsi walipokuwa wakijaribu kujihami majeshi ya srikali yalikuwa yanaingiria:labda mwisho ni kuulize kama ikitokea ukawa raisi wa Rwanda leo utafanya nini?Kwa kufualia post zako ni kwamba utawafukuza wa Tutsi wote, sasa sijui utawapelka wapi:What i know ni kwamba, Wa Tutsi w Rwanda ni wa NyaRwanda 100% kama vile walivyo wa hutu, na lazima waishi kwa amani na majirani zao na serikali inasaidia katika hilo, ila kwasasa what i see ni kwamba wananchi wa Rwanda tayari wamesha sahau tofauti zao:raia wa KinyaRwanda wanachagua viongozi wao kulingana na uwezo na wala sio urefu wa pua, meaning hawaangalii kama huyu ni mTutsi au Mhutu,na Kiongozi anayechaguliwa, anaapa kuongoza nch kwa masilahi ya nchi na sio kwa masilahi ya kabila fulani:1. Huyu jean marie ni nani au unamuadress jean marie runiga? LOL. Natumaini unanilenga mimi jMali. kama ni hivyo tuendelee. kama sivyo potezea.2. Mi sio mnyarwanda, mimi mtanzania pure. tatizo la hawa wenzetu ukipingana nao huwa wanakosa hoja wanaishia kukupachika uhutu na uinterahamwe, kama vile ukikosoa CDM hata uwe constructive vipi utaambiwa we gamba fasta, ingawa huyo anayejiita CDM hana hata kadi! Sijui kama unajua kuwa Salma kikwete naye ni mhutu, kwa sababu tu ya yale maneno ya kikwete.3. Inaelekea huna ufahamu sana na historia ya Rwanda. unaongelea revenge killings kwa upande wa RPA kivipi? RPA ni jeshi la watutsi waliotokea Uganda, hawakuwa na connection yoyote na watutsi waliokuwa Rwanda. Hawa ni kizazi cha watutsi wafalme waliokimbia miaka ya 50'. Hivyo si kweli kwamba waliua in revenge of ndugu zao waliouliwa na jeshi la Rwanda wakati huo. RPA ndio walikuwa wavamizi. Wahutu ndio waliokuwa wanajihami. Hata leo hii watutsi wa rwanda wanaongea kifaransa, wakati wale wa kuja wanaongea kiingereza. Kinachowaunganisha ni kabila tu na si vinginevyo. Kwa hiyo msingi wa hoja wako ni kinyume chake kabisa, kama kuna habari ya revenge ni wahutu ndio waliotakiwa kurevenge si watutsi! RPA waliua wanyarwanda (>80% wahutu) toka mwaka 90 hadi 94! Mpaka serikali ikaomba poo kupitia mazungumzo ya Arusha. Wewe unaanza kuhesabu mauaji ya siku 100 tu ya genocide tena ambayo yana utata wa nani alimuua nani, hii sio sawa hata kidogo. 3. Samahani sikubishii lakini naomba ushahidi wa hao RPA unaodai walikuwa executed kwa war crimes. 4. Mimi kama mtanzania siwezi kuwa mkabila hata nikijitahidi vipi. Narudia tena kukuomba ukatafute historia huru ya Rwanda uone tatizo liko wapi. Minority na majority tunayozungumzia hapa si kama ya huku Tanzania. Sisi tulikuwa na wakoloni wazungu, hivyo majority tulikuwa sisi (waafrika), minorities walikuwa wazungu. Rwanda ilikuwa na mkoloni mzungu + Mtutsi. Hivyo 'the people' walikuwa ni wahutu+watwa wakipambana na mtutsi na mzungu. Ndio maana yakatokea mapinduzi ya 1958/59 kupindua ufalme wa kitutsi. labda ili tuelewane kama watanzania tuchukulie mfano wa zanzibar ambapo majority (wakina karume etc) walipindua usultani wa minorities, na kisha sultani na raia zake wakakimbilia uhamishoni uingereza, oman n.k Hivi wewe ungekubali kizazi kile cha sultani (baada ya miaka 30+) kiunde jeshi toka sijui dubai halafu kishambulie zanzibar kwa miaka minne, kitungue ndege ya karume, kipindue nchi, kiunde serikali nyingine ya minority etc...? Hivyo ndivyo exactly ilivyotokea Rwanda, substitute sultani na kagame.Kwa kawaida hakuna chuki kati ya mhutu na mtutsi as long as kwa maneno ya Thabo Mbeki katika mgogoro huu huu: "majority are represented and minority are protected". Ndio maana hakukuwa na genocide wala nini miaka yote hiyo toka mapinduzi mpaka pale kagame alipoanza chuki zake mwaka 90.Na ukiangalia vile vile hakukuwa na chuki dhidi ya watutsi wenyeji wa DRC, walikuwa wanaishi kwa amani kabisa mpaka Mobutu aliwapa uraia miaka ya 70' , mpaka pale kagame alipoanza kuleta vikundi kama M23. Sijui kama unajua M23 walishaanza kuimba 'genocide' against tutsi in DRC, wakati wao ndio walikuwa wanateka miji mizima mizima kama Goma, huku wakitangaza kutaka kwenda kuchukua Kinshasa! walichokuwa wanataka kufanya M23 ndio hicho hicho ambacho Kagame alifanikiwa kufanya Rwanda mwaka 94. Infact makamanda wote wakuu wa 'waasi' wa kitutsi DRC kama Laurent Nkundabatware, Bosco ntaganda, sultani makenga etc, walikuwa askari wa Kagame mwaka 94! Kwa vile unaonyesha kutojua historia naomba utafute vyanzo huru katika CV za hawa mabwana ili uthibitishe kwa uhakika kabisa, usidhani napiga porojo hapa.Ndio maana nikaanzisha hii thread kuonyesha kuwa technically wanaweza kufanya hivi kwa nchi zote za EA, na kutimiza ile conspiracy ya 'Bahima empire'. Mind you simaanishi watutsi wote, namaanisha watutsi extremists tu.5. Siwachukii watutsi wala wahutu, nachukia udhalimu. Lengo la kuanzisha thread hii ni kuonyesha udhalimu wa kundi la watu ambao ni extremests, sio kabila zima. Huwezi kusema thread inayoonyesha magaidi ambao ni waislamu ina chuki dhidi ya uislamu.6. kwa mara nyingine SOMA HISTORIA. Neno inyenzi (mende) ni jina ambalo akina kagame walijipachika wenyewe tena wakilitumia kujitapa. Hii ilikuwa wakati ule walipokuwa wakifanya mashambulizi Rwanda miaka ya 90, walikuwa wanajiita mende kwa sababu walikuwa wanavamia usiku na asubuhi/mchana hawaonekani. Jina hili walilieneza wenyewe kupitia radio yao waliotengeneza mipakani kwa ajili ya kurusha matangazo yao ya propaganda za kutishia wanavijiji wa Rwanda Ndio maana wahutu waliwaita hivyo. Tafadhali kama huamini jaribu angalau ku-google tu ili upate ukweli toka vyanzo vingine ujithibitishie mwenyewe kuwa hizi si porojo.7. Denying a genocide is not an international crime. Ni crime katika baadhi ya nchi tu kama Rwanda. Vile vile angalia mtu unadeny nini exactly. Genocide ni mauaji ya kundi moja kulitekeza lingine kwa misingi ya ukabila, udini n.k. Lakini kwa case ambayo kuna civil war ambapo participants ni kabila moja kubwa vs lingine dogo, ni makosa kudai kuwa lile dogo linafanyiwa genocide. It is a war. Ndio maana vita vya wakulima na wamasai morogoro haviitwi genocide against masai. I don't deny wahutu mfano interahamwe wameua watutsi wasio na hatia, far from it. Lakini mauaji ya 94 yanatakiwa yaangaliwe katika muktadha mpana zaidi wa vita vilivyodumu miaka minne, sio tu siku 100 za kutunguliwa ndege. Mi nitakuwa tayari kukubali kuwa kulikuwa na genocide endapo genocide hiyo itakuwa included kama kipengele cha vita kubwa na si genocide yenyewe ikijitegemea kama tukio la kivyake vyake. kwa sababu kama nilivyosema kwenye post iliyopita kuwa kama swala lilikuwa ni chuki tu, kwa nini wahutu wasingewamaliza watutsi toka walivyowapindua ufalme wao miaka ya 50? mpaka wangoje 94?Mwisho kabisa sijui umeongea kinyarwanda? hata sijakuelewa mi sizungumzi hiyo lugha. Nasisitiza hakuna chuki hapa, ukweli tu!
Since i joined JF sijawahi kuona jitu hater na roho mbaya kaa hili,na nilishakuambia hizi garbage zako to re write Histry peleka kwa inorant fools na wajomba zako ambao ni criminal WANTED for genocide ndio watakuamini1. Sihitaji propaganda za ndi Umunyarwanda. Mimi nafahamu tofauti ya mhutu na interahamwe toka kitambo. Nyinyi ndio mnaoamua kutumia maneno haya interchangeably when ever it suits you. Kinachowafanya media zenu (new times rwanda) kumpachika uhutu first lady wetu ni nini, kama sio chuki zenu dhidi ya wahutu? kwani if angekuwa mhutu so what?
Interahamwe imeua watutsi sawa sikatai. Lakini mbona waanzilishi wake walikuwa watutsi, na rais wake alikuwa mtutsi aliyejifanya mhutu na alishiriki kikamilifu kwenye mauaji? Ndiyo amehukumiwa, lakini the question is kwanini ALIONGOZA mauaji dhidi ya watutsi wenzie? what did he have to gain? How many other interahamwe members were actually tutsis pretending to be hutu if rais mwenyewe anayeamua tukachinje nyumba ipi alikuwa mtutsi? Je is it not possible kwamba kwamba ukiacha extremist hutus, interahamwe pia ilijaa watutsi wahalifu waliotumia opportunity ya vita kufanya uhalifu dhidi ya watutsi wenzao (looting, raping etc)? Tatizo badala ya kujibu maswali haya we unaleta matusi. Are these not valid questions worthy to be answered by a great thinker as you pretend to be?
2. "kwetu hakuna uhutu au ututsi": hii imeshaonekana wazi kuwa ni sera yenu wachache ya kuziba watu midomo kuwa minorities mmehodhi madaraka. Nilishatoa mfano kuwa hapa Tanzania haiwezekani litokee kundi la waasi la kihindi lipindue nchi halafu lilete rais mhindi, waziri mkuu mhindi, wakuu wa majeshi wahindi, jeshi lote wahindi, polisi wote, wakuu wa mikoa, wakurugenzi wa idara zote muhimu, mabalozi n.k woooote muhimu wawe wahindi (tena wahindi toka Uganda, sio Tanzania). Unadhani serikali hii ya kihindi ikiweka sheria kali ya kukataza watu kujadili uafrika na uhindi itakuwa ni kwa sababu ya kudumisha umoja wa watanzania au kuendeleza udikteta wao?
Hii sera yenu ingefaa sana kama mngeimplement Arusha accord, lakini mkamtungua ndege ya rais, mkapindua serikali, mkahodhi madaraka, halafu sasa mnadai eti "we are all rwandans" what hypocrisy! The only reason kwa nini hakuna fujo leo ni kwa sababu mna jeshi tu baasi, lakini moyoni watutsi wana woga kwa sababu they know it's just a matter of time kabla wahutu hawajadai haki zao, and it won't be pretty. Let's be honest, tuache propaganda na rhetorics, kilichosababisha mapinduzi ya wahutu miaka ya late 50' ni nini?
Zimbabwe kuna waafrika (majority) na wazungu(minorities, former colonial masters). would it make sense kwa serikali ya ian smith ya wakati ule kudai kuwa eti "there is only one zimbabwe, no african no white"? Hata mwehu angeona kwa nini wanasema hivyo. where is the onness when only one tribe holds all the reigns of power?
Tazama Burundi with its history almost identical to yours (belgians, tutsis and hutus). Mbona watutsi na wahutu huko sasa wanaelewana? waliresolve vipi issues zao? ni kupitia peace talks sio ubabe na ideologies za kifalme za kip.umbavu p.umb.avu.
Wahutu walikuwa tayari kushare madaraka kupitia arusha accord nyinyi mkatungua ndege ya rais wao, mkavamia nchi, mkapindua... leo hii mnashauriwa kufanya mazungumzo na wale wale waliokuwa tayari kuzungumza na nyinyi when they didn't even have to (they were the gov, while you RPA/RPF were external aggressors/terrorists) mnatishia ku-hit watu wanaoshauri (kikwete)!
Even worse, mnatengeneza situation kwa jirani zenu. Watutsi DRC hawafikii hata 1% ya population nzima (congo ina makabila zaidi ya 250 tutsi ni moja wapo tu), lakini mnafadhili vikundi vya waasi, mnapenyeza watu wenu humo kama kabarebe, ntanganda (ex-RPA soldiers) n.k. M23 walishateka Goma na wakatishia kwenda kinshasa kuchukua nchi nzima. Obviously, ingetokea Makenga kapindua DRC, angesema vile vile "there is no tutsi, bemba, baluba...only congolese" angepiga marufuku watu kujadili kuwa you people are less than 1% but control 99%. Leo hii Ntaganda huko ICC anajitetea kwa kinyarwanda, hajui lugha yoyote ya taifa kati ya NNE za DRC! You try to comprehend that!
Hiyo nikawaida lakini, mimi naona ungeanza hivi JMALIA MnyaRwanda Mhutu babake kaua watu harafu akapigwa akakimbia nchi sasa anaweweseka kwenye mitandao ya jamii akijifanya raia wa nchi nyingine,just talk and talk umeshindwa na hiyo ideology yako haiwezi kukufikisha popote, by the way hao wa Tutsi unaowachukia hata Tanzania wapo, fika Tabora utaambiwa.
Other wise hata Obama babake ni Mkenya, harafu historia ya nchi ya Rwanda ndio sababu.
Your interest with Rwanda inaonesha wewe sio mu Tanzania.
Tulia ndugu.
Hao uliowaongelea hawakupenda kuzaliwa kwenye hizo nchi, it was bad history created from ethnic ideologies kama hizo zako.
I wish ungekua karibu yangu, nikuzabe kibao.
His name was Ambassador Bandora. Before that he was president of the student union at UDSM (DUSO). Very strategic these people!Jina lake limenitoka labda kuna wanaokumbuka hii kesi: tuliwahi kuwa na Balozi wetu Nigeria miaka fulani kumbe Mnyarwanda tulimpomshtukia alienda kwao Rwanda akapewa zinga la cheo kuiwakilisha Rwanda UN!
- No research, no right to make conclusions!
Mkuu,Kiswahili sio lugha ya baba nimekikuta shuleni, lakini kipindi hicho tulikuwa wengi tuu, sijui unatokea upande gani wa Tanzania lakini najua wengi wanajua hilo:Kama unaweza kujua the meaning of my messages that`all manake sio wa Tanzania wote wanajua Kiswahili, kumbuka kuna wa toto wengi tu wa kitanzania wana zaliwa nchi zanje:Angalia the contents na sio mchangiaji ni nani:Nikitumia uzoefu wa kawaida kabisa wa kuangalia kiswahili chako naona kuwa wewe uraia wako una mashaka na hata hivyo kimbunga kinakuhusu na hizo hasira za ki kagame za kutaka kuzaba watu vibao eti kwa sababu ametoa mawazo yake inaonyesha kabisa wewe uraia wako una mashaka. Tabia za watanzania tunavumiliana.
Since i joined JF sijawahi kuona jitu hater na roho mbaya kaa hili,na nilishakuambia hizi garbage zako to re write Histry peleka kwa inorant fools na wajomba zako ambao ni criminal WANTED for genocide ndio watakuamini
Ukweli ndio huu sasa sijui mtamuamini Jmali au?Rwandan Genocide - Wikipedia, the free encyclopedia