Uraia wa waTutsi !

Mbona watanzania wanapenda kukemea ya wengine ilhali kwao kwanuka vile vile kama sii zaidi?
 
Mbona watanzania wanapenda kukemea ya wengine ilhali kwao kwanuka vile vile kama sii zaidi?

Most of them are not Tanzania's,ni wahamiaji haramu waliokimbia Rwanda kutokana genocide waliyofanya na wengine ni TZs wahutu wa mipakani wenye akili mbovu za kibaguzi towards Tutsi.
 
Africa ni ngumu mno kutochanganyika,lazima katika kila nchi kunakuwa na walowezi.
Nalog off
 
Most of them are not Tanzania's,ni wahamiaji haramu waliokimbia Rwanda kutokana genocide waliyofanya na wengine ni TZs wahutu wa mipakani wenye akili mbovu za kibaguzi towards Tutsi.

Kwanini watutsi mbaguliwe?!.. unachekesha sana; naona unaongea kinyumenyume. Watutsi ndio WABAGUZI NAMBA MOJA, MMEJAA CHUKI NA ROHO MBAYA nashangaa sana saivi unasema mnabaguliwa. And if so, then answer my question in the beginning of this comment. .
 
Kweli humu jf kuna watu kama jmali,ndonya,wana mtazamo mpotofu dhidi ya watusi,kwa taarifa yako umoja wa mataifa umekubali kwamba palifanyika Genocide ya watusi rwanda hiyo haipingiki tena,halafu nyie usijifanye kua mnaijua definition ya genocide zaidi ya hayo mataifa yaliokaa na kupitisha hoja hiyo,kingine usitake kudanganya watu,serikali ya MRND haijawahi kushirikisha mtusi katika serikali labda kwa hao walioweza kujificha kwa ID fake,lakini mtusi alikua hakubaliki katika hiyo serikali,kingine wewe na wenzako ingawa mnahaki ya kusema mnalotaka hayo mnayofanya ni kupinga kua hapakua genocide ya watusi na kueneza chuki dhidi ya watusi,na siku hali iliyotokea rwanda ikitokea tanzania ni nyie wa kwanza mtakao pelekwa mahakamani,haya yajuzi ni mtikila aliyaleta watu wakafukuzwa,wakanyanganywa mali zao hapakufa mtu,sasa mkiendelea kwa mtindo huu mtajikuta mkiua hao watusi kutokana na sumu mnazopandikiza kwa watanzania,mungu ibariki afrika uiepushe na mikakati ya shetani.
 

Hebu nikuulize wakati wahutu wanatawala peke yao rwanda kuanzia 1959 mpaka 1994 mbona hapakua makelele na chuki? ina maana kwamba wahutu walikua na haki ya kutawala rwanda peke yao?sasa watusi wameshika madaraka tena kwakuwashirikisha wahutu serikalini kelele nyingi na chuki dhidi ya watusi imepamba moto,sasa mnataka nchi itawaliwe na wahutu peke yao,kwani wao ndio wanyarwanda peke yao?naomba unitajie mawazili watusi waliokua katika balaza la mawazili la habyarimana,viongozi jeshini na wabunge kutoka chama cha habyarimana.
 

Seems like you are accusing the wrong person,nakushauri pitia tena nilichoandika ila kwa kifupi there was only one genocide in Rwanda and it was a genocide against the Tutsi...and please mkuu do not mention me again in this hate thread,i hope you will respect that.
 
Tueleze kilichopelekea hiyo hali kuanzia 1959. Nini kilikuwa kinafanyika kabla ya 1959? nyie watutsi ndio mlikuwa mmeshika madaraka na kuwafanya wahutu kuwa second class citizens. Sasa walipochukua madaraka mkaona nyie ni bora sana hamstahili kuongozwa na wahutu ndo mana wengine mkakimbia Rwanda. By the way, wahutu ndio true inhabitants wa rwanda na burundi. Nyie ni wakuja tu!...
 
pamoja na kuwa sipendi saaana kuingia ndani sana ya uzi huu ila naufuatilia kwa karibu, najua bapa bongo wote tutsi na hutu tumeishi nao sana tu, kule mpanda mwese ilikuwa ni ngome kuu ya kambi ta tutsi na bulyankuru tabora ni ngome kuu ya hutus hizo za kigoma ni changa saana kiumri. kwangu nimesoma hata nao toka shule za msingi ,secondary jeaashini na hata chuo kikuu, na bado wengi saana katika jamii tunayoishi. kikubwa kwangu hawa jamaa ni ndugu zetu tu kama walivyo wengine hapa bongo, nisichokipenda ni pale ss tunapowakubali kama ndugu zetu hali wao hawako tayari kuishi pamoja. inasikitisha unapoona jitihada za kuwaunganisha halafu wanatoleana maneno machafu yenye maudhi na chuki. wanatakiwa tu waelewane kwani kama ni mambo ya 1994 inawezekana wanaobishana sasa ni watoto kwa kusimuliwa tu kwani baba zao tayari ni wazee, na kama ni hivyo je amani ya kweli itarudi katika ukanda ule?
 
 
 

Bado hapa kwetu watakuja kuibuka kwa mtindo huo, unamkuta jamaa kasoma Buguruni akaendelea na shule Ilboru na kadhalika kisha akibanwa sana anakuwa Mnyarwanda.

Hata mm namfaham mnyarwanda mmoja aliyesoma ilboru, alafu udsm computer science. Kwa sasa sijui tu wapi si ajali ni kiongozi Tanzania
 
 
Hao uliowaongelea hawakupenda kuzaliwa kwenye hizo nchi, it was bad history created from ethnic ideologies kama hizo zako.
I wish ungekua karibu yangu, nikuzabe kibao.
if they are normal people why couldn't they remain in those countries which grew and natured them?, why cause disasters in other countries?
 
umeongea hoja nzuri, wikiendi karibia balimi Ya bariiiii iidi na Kilo moja makaange, usikose tafadhari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…