Uraia wa waTutsi !

Hawa jirani zetu wana uzalendo wa hali ya juu sana. yaani mtu kazaliwa na kukulia ugenini lakini anapakumbuka kwao na anenda kuitumikia nchi yake!
 

ukubwa wa nchi siyo excuse ya umaskini wetu, THINK!
 
Mtemi milambo alifanya hilo kosa, mmoja wa wake zake wadogo, alikuwa mtusi. Ukienda tabora leo, kuna sehemu wamejaa inaitwa utusuni. Jamaa noma hao. Wanawake zao wazuri ila vimeo. Kuoa uoe wewr, mimba watie watusi wenzao. So kweli kweli

Wandugu hz habari za hao jamaa ukioa lazima MIMBA iwe ya Mnyarwanda ina ukweli kiasi gani? Manake hizi Stori binafsi nimezikia cku nyingi sana!!
 
ukubwa wa nchi siyo excuse ya umaskini wetu, THINK!

Nami nakuunga MKONO mi nadhani kinachowasaidia RWANDA khs Maendeleo ni Usimamizi Mzuri wa hizo FEDHA manake na cc tunapata mapesa mengi2 lkn ZinazoIBIWA ni nyingi kuliko zinazofika kwenye Miradi Pamoja na kwamba TZ ni kubwa lkn pia ina Raslimali zakutosha kuweza kufanya NCH iwe na Maendeleo ya kweli!
 

I agree u sister.We will defend our lovely country by any means from any external threats.We cant have federation some of our fellow they dont have demecracy especially in free and fair election,transfer of power.We Tanzanians let us stick in SADC where there is democracy.Imagine Kaguta takes a presidency of federation will he accept to transfer of power to another person also Kagame takes the presidency will his oppenents be free from execution.
 
ukubwa wa nchi siyo excuse ya umaskini wetu, THINK!
Kweli kabisa but it requires much more effort, capital, human development and all to do with propelling growth/development of a nation compared to the size of Rwanda.
 
OK, let me reflect on this first (si unajua kuna style za kujiongelesha humu ndani)
 

Jmali, umewakamata pabaya! Big up...they always don't like this fact. The problem is that, some tutsi don't regard non-tutsis as human being ndo mana hawaoni kama kuna wahutu waliouliwa na watutsi pia. GOD is not a human being, all will be laid bare in very good time..
 
Kweli kabisa but it requires much more effort, capital, human development and all to do with propelling growth/development of a nation compared to the size of Rwanda.

Natofautiana na wewe, kadri eneo linavokuwa kubwa ndiyo na raslimali zinaongezeka, wewe unadhani ni kwa nini mataifa mengi yameamua kuunganisha nguvu na kutengeneza dola kubwa zaidi, US, USSR, UK, CHINA
 
Hawa jirani zetu wana uzalendo wa hali ya juu sana. yaani mtu kazaliwa na kukulia ugenini lakini anapakumbuka kwao na anenda kuitumikia nchi yake!

Ndio hasa mjadala wa thread hii. mtutsi wa dizaini hii akiwa raisi wetu itakuwaje? atakuwa raisi wetu sisi au raisi kivuli wa Rwanda? Na hawa watu wako nchi zote za EAC, ikitokea tukawa na marais wa Kenya, Uganda, Tanzania, Burundi wenye asili ya kitutsi....si ndio Hima empire hii?
 
Natofautiana na wewe, kadri eneo linavokuwa kubwa ndiyo na raslimali zinaongezeka, wewe unadhani ni kwa nini mataifa mengi yameamua kuunganisha nguvu na kutengeneza dola kubwa zaidi, US, USSR, UK, CHINA
How big is the sahara na kuna nini? Nadhani hoja yako inataka thread nyingine. Swala hapa lilikuwa ni kama kufananisha wafanyakazi wawili wenye kipato sawa; mmoja ana majukumu wa watoto wawili na mwegine watoto kumi. Kitakachotokea mwenye watoto wawili anaweza wa descipline na kumonitor watoto wake kirahisi na hela yake inaweza wanufaisha watoto haraka zaidi, kuliko mwenye watoto wengi.

Sasa ukitaka kuzungumzia kwanini sisi tuko nyuma na Rwanda it is another topic, yenye mambo mengi mfano utayari wa jamii, miundombinu, capital investment, siasa, sheria na meengi. Ukubwa wa eneo unaambatana na ukubwa wa task, maana changamoto zinazidi, demands zinazidi/tofautiana, social policies get complicated (allocation wise).

The first steps of building a nation such as preparing the infrastructure and preparing people is very expensive, vilevile huwezi kuwekeza heavily on those sector kama unawatu 45 million whereby 80% are considered poor inabidi huwawezeshe na hao hili waweze kupata mlo, bado unachangamoto hela utatolea wapi za kuwekeza sehemu zingine muhimu, walipa kodi wachache, it is not an easy asking.

Ianzishie topic yake kama unataka, lakini ka-rwanda ni kadogo mno kanaweza fanikisha mengi haraka kutokana na size yake.
 


1. The same UN pia imetoa ripoti hii: for those interested pia just cut and paste....

"The United Nations today finally released a delayed report implicating the government of Rwanda in genocide in the Democratic Republic of Congo, despite a vigorous campaign by Kigali to quash the allegations"

source: Delayed UN report links Rwanda to Congo genocide.

The report: UN human rights commission.

2. Swala la nini kifanyike itategemea kwanza kama tunakubaliana kuwa kuna tatizo. Maana naona wewe pamoja na maelezo yangu yote, bado umeshikilia kuwa nina chuki na watutsi wote na huoni nothing wrong with what these tutsis nimewaandika hapo did. Mpaka hapo utakapokubali kuwa watutsi sio malaika bali ni binadamu kama sisi wengine, ndipo tutakapoanza kujadiliana nini kifanyike.
 

Typical Tanzanian excuses, hasa linapokuja suala la Rwanda kuendelea! Hakuna nchi ndogo kuliko Rwanda zinazosota miaka nenda miaka rudi? Watanzania hatujaamua kuendelea, viongozi wetu hawajataka kufanya kazi kutuendeleza, Rasilimali zilizopo karibia kila mkoa zikitumika ipasavyo nchi yetu INAENDELEA haraka mno, its just insane kutetea umaskini wa nchi yetu, hatuna excuse hata JK analijua hilo (rejea kauli yake: "hata mimi sijui kwa nini Tanzania ni maskini"), Amini nakwambia leo hii ukiswap China na Tanzania ( wachina waje bongo na wabongo waende china) haitachukua miaka 10 ile nchi tutaichakaza na tutatarejea umaskini kisha tutaanza kumezea mate Bongo yetu. Anyway tuachane na hiyo topic Mkuu.
 

Mnaonaje tukianzisha thread kuhusu nini kifanyike bongo, kwa sababu ukweli ni kuwa tuna matatizo somewhere. Hatutakiwi kuwa hivi tulivyo! ndugu Happy Feet, ni kweli kwa kiasi kikubwa spidi ya Rwanda inachangiwa na udogo wake, lakini kuna vitu kama national airline yetu (ATCL) imetushinda, lakini Rwanda wameweza. Kwa saizi ya Ukubwa wa bongo compared to Rwanda, si tungetakiwa tuwe na Rwandair kama 3 hivi? au sio. Hatuna hata moja hii ni aibu. mnaonaje tukianzisha thread hii?
 
Last edited by a moderator:

Dillusional creature.
 
Aitakuwa vibaya lakini utamuhitaji Mchambuzi na kundi lake hili uitendee haki wale jamaa wanaweza kuandika habari kwa urefu na kuweka stats zinazoweza tumika kwenye mjadala.

Hila naona kama kwanza ungeendelea na jamaa zako.
 
Lol,acha kujitia aibu,unajifanya everything expert kumbe hata 101 economics ni zero,and this kagame ,tutsi or rwanda blaming,accusations,lies and all these conspiracies haziwasaidii kitu tafuteni hobby kama Hamna cha kufanya,angalia jf international first page is full of topics bashing kagame or tutsi,seems kuna some obsession or mental issues going on for some of yo.
 
Hawa jirani zetu wana uzalendo wa hali ya juu sana. yaani mtu kazaliwa na kukulia ugenini lakini anapakumbuka kwao na anenda kuitumikia nchi yake!

Una maanisha jirani zetu wepi? wahutu au watutsi? Na huo uzalendo unaousema ni kwa nchi au ni kwa kabila lao? Na nchi hiyo ya kwao unayo maanisha ni ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…