Uraia wa nchi mbili: Maendelo na Matokeo yake!

Uraia wa nchi mbili: Maendelo na Matokeo yake!

hahahaaaaaaa ....hahahahaaaaaaaa.......

Imekuwa swala la "get your colors right..." E bana eh, sijawaji kukuona umenyong'onyea namna hii Papa XIV.

Hahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa... Mkuu Tuna, umeshamchoka "the Intellectual Jujitsu," Mrithi wa Muongofu Joseph Alois Ratzinger?

Haki ya nani harudii tena kujifanya Shaban Robert wa ubunifu. Huyo mtaalam wa Federal Reserve atakuwa ni Kiranga mwenyewe aliomba kazi kichwa kichwa kwa kutumia mawakala wa Dumb Blondes Staffing Agency Inc. kumbe wanamuingiza mkenge tu.

Usichoelewa binadamu wewe usiye mantiki ni kwamba, principle haina hoja ya wingi, kama ni vibaya kuua binadamu, basi ni vibaya kuua binadamu mmoja au kuua halaiki kama Rwanda.

Kama ni vibaya kumnyima raia wa Tanzania nafasi ya kutafuta maisha nchi za nje, basi ni vibaya tu, haijalishi kwamba inamuathiri raia mmoja wa Tanzania au wengi. Zaidi ya hapo si kweli kwamba wanaoathirika na kitu hiki ni watu wachache, kuna watanzania wametapakaa kila kona ya dunia.

Na ndio hoja ya msingi ambayo haijajibiwa na wasukumaji wa uraia huria.

Je, wanazidi kumi hawa Viranga waliokosa kazi Federal Reserve kwa kutokuwa raia? Kwamba, hata kama ni kweli kesi ya Kiranga ingekuwa sio ya kubuniwa na alioomba kazi Federal Reserve akakosa bado tunarudi pale pale: Kiranga mmoja na rafiki zake watatu wamekosa kazi serikali ya Marekani ingetusaidia nini Tanzania hawa mpaka tuwatengenezee sera ya nchi?

Tungepata utafiti. Bernard Membe alisema kuna utafiti umejibu hayo, lakini ripoti hataki kuitoa.

Sasa wewe mtu hujui tofauti ya blonde na grey unataka tuingie kwenye nuances za labor na dual citizenship wapi na wapi?

Hujui Alif unataka kuwa muazana, hujui kujumlisha unataka kuwa theoretical physicist.

Wapi na wapi, get the basics rights first, draw a rainbow and name the colors, back and forth, ukiweza hiyo exercise labda gradually unaweza kuja kuchangia hapa.

Tindikali hafifu wee. Nakunywa kama soda.
 
Mhhh! let's wait and see because there are so many "Waheshimiwa" who are against this idea simply because "hawa wanataka kufaidi huko waliko na huku pia" "Wakimbizi hawa waliikimbia nchi basi hawastahili kabisa kupewa tena uraia." na "Uraia wa nchi mbili utaongeza ujambazi na ugaidi nchini."
Not sure about that!
What about advantages:
Career and Work, Connection to Native Land, Property Ownership, Investments etc. Nadhani pande zinaweza kufaidika zaidi, especially to those who will be able to take advantage of it.
 
Kuna kitengo kinachoshughulikia ujambazi na ugaidi na wanalipwa kwa shughuli hiyo.
Hatuwezi tukakaa na kutonunua kideo na flat TV eti tunaogopa zitavutia wezi kuja kutuibia. Hii inanikumbusha mtazamo wa mjomba wangu aliyekuwa na fedha kama takataka, na bado alikuwa anaishi katika kijibanda cha kajamba nani. Nilipomshauri kununua nyumba yenye nafasi, jibu lake lilikuwa eti anaogopa wachawi watamroga, Wauuu!

Ufumbuzi: Pesa itayopatikana (indirect money kutokana na kuongezeka kwa wawekezaji) kutokana na uzinduzi wa Urai wa nchi mbili itumike kuimarisha Jeshi la polisi na uinuaji wa maisha bora kwa wananchi.
 
ivi huyu membe miaka mitano ya uwaziri wake anachoshikilia ni dual citizenship kana kwamba uo ndio mwarubaini wa matatizo yetu!
 
Mimi I am for dual citizenship au hata kama hawaitaki dual citizenship kuwe na kadi ya kuonesha ancestry etc kama system ya India ila naona kama serikali haina nia ya kupitisha hii wanajaribu tu kuwapa kama moyo watu walio nje
 
Bravo Serikali. Dual citizenship italeta mazuri. Naomba Serikali iangalie impact baada ya kuruhusua Dual citizenship ili tuweze kuona baada ya muda, mfano miaka mitano, mabadiliko kiuchumi, kijamii nk.
 
Katika pita pita zangu, nimekutana na hii autobiography kwenye publication moja hivi, ikanifanya kujiuliza hivi dual citizenship ilisharuhusiwa au?

Simon XXXXXX​
Simon is the Center for Creative Leadership’s regional director for Sub-Saharan Africa. His key responsibilities include providing regional management for CCL’s work in the region, strategic client-relationship management to clients across a range of industries and sectors and assisting with developing the Center’s presence in Africa. At CCL, Simon has worked in Assessments Operations, Client Solutions, Operations and with the Leadership Beyond Boundaries initiative.
He has held positions as a client solutions operations associate, client-solutions project
manager and key account manager in CCL’s EMEA Region, providing creative approaches andsupport for the delivery of successful high-quality interventions for global companies in a variety of business sectors.
Born in Tanzania and holding dual Tanzanian and Belgian citizenship, Simon has worked across Europe and Africa. His areas of expertise and interest include leadership development, innovation, diversity, international development and facilitating youth leadership workshops.​
 
Wanji,
Mkuu nchi za nje hawakatazi Dual, ni sisi Tanzania tunaokataa dual lakini huyu jamaa huko aliko (Belgium) ana uraia wa nchi mbili pamoja na kwamba Tanzania hawautambui. Ndio maana watu wanashangaa wanaposikia kwamba Watanzania waishio nje walikimbia na kuukataa Utanzania hali huko waliko wanatambulika kuwa ni raia wa Tanzania waliohamia nchi hizo na kupata Uraia.
 
hizo mbwembwe za kung'arisha CV tu, Dual citizenship Bongo bado. ninavyofahamu mimi Bunge jipya la wabunge tutakao wachagua 31 oct ndio watakaojadili muswaada wa Dual citizenship wakipitisha poa ndipo itakuwa sheria lakini kwa sasa huyo jamaa akigombea ubunge tu yanamkuta maswahubu yaliyomkuta Bw Bashe wa Nzega
 
Bila shaka bunge la Chadema ndilo litamaliza utata huu, hili la sisi m haliwezi.
 
Ukweli usiofichika kuna watu wengi sana wana dual citizenship, ingawa officially haijawa recognised. Sheria ya dual citizenship haijapitishwa. Lakini redio mbao zinatujuza kuwa hata Waziri Lawrence Masha, Mbunge wa ccm, Waziri wa Mambo ya Ndani, ana dual citizenship. Ni raia wa Marekani. Hilo halimzuii kupewa ubunge na uwaziri katika serikali ya ccm. Ila kwa mtanzania kama mimi ukijulikana tu una uraia wa nchi nyingine hata kama ni kwa kufikirika (hakuna ushahidi), jina lako halipitishwi kugombea ubunge. Wenye macho na masikio waone na kusikia.
 
Wana JF ... Ukisoma Citizenship Act yote ya 1995 na naimbatanisha hapa.. hakuna kipengele hata kimoja kinachosema kwamba mtanzania wa kuzaliwa Tanzania.. (aliyeupata uraia huo kutokana na baba yake kuwa mtanzania wa kuzaliwa) atapoteza uraia wake simply kwa kuchukua uraia wa nchi nyingine... kama kuna sehemu sijaisoma vizuri tafadhalini nionesheni maana Act 1995 inasema ni mpaka Mtanzania huyo a-renounce uraia wa Tanzania.. kitu ambacho wabongo hawafanyi hivyo...kumbukeni kwamba sheria nyingi za mataifa ya Magharibi hazisemi kwamba au haziwaamuru kwamba wa-renounce utaifa wao kabla ya kuchukua uraia wa nchi za kimagharibi...ndo maana hata kama mtu atachukua uraia wa nchi hizo bado watamtambua kuwa ni mtanzania tu... kwani wanajua kwamba uraia ni suula la makaratasi tu... na sio nafsi ya mtu.. Nafsi za wabongo ziko bongo hata huku ughaibuni... haya mambo ya uraia wa ulaya ni makaratasi tu na mteremko wa maisha katika shughuli za maisha huku ughaibuni (kwa maoni yangu).. hili linatakiwa kufahamika na watanzania wa TANZANIA... Pia kama wakiamua kuchunguza wabongo waliorudi.. ni wengi tu watabunbulika kwamba sio raia wakiwemo watu wenye nyadhifa kubwa serikalini hata kwenye taasisi za Bunge...(msije mkaja kuniambia wataje maana hapa si mahali pake na zitakuwa habari za maji taka)

Citizenship Act ya 1995 ya Tanzania inasema tu kwamba ni m-Tanzania yule tu aliyepata utanzania for any means of registrations ndo automatically ana-loose utanzania...

zaidi ni kwamba, Loophoole kwa watanzania walio na uraia pacha...ni kwamba wanaweza tu kurudi bongo na kwenda kwenye mahakama ya mwanzo na ku-predge oath of allegiance kwa TANZANIA na kudai kwamba hawakuwa na muda wa ku-renounce uraia wa nchi nyingine... na serikali/MAHAHAMA ikakubali the validity ya oath hiyo... kwa waliofuatilia sula la Bashe watabuliana kwamba BASHE alienda ku-pledge oath of allegiance kwa tanzania na akakubaliwa ndo maana baada ya home office yetu kuangalia oath hiyo wamemtangaza kwamba ni mtanzania...

Kumbuka hata kama BASHE angekuwa MSOMALIA na sheria ya somalia haisemi au haimulazimishi mtu kwamba ni lazima a-renounce usomali basi ataendelea kuwa na pass ya somalia au hata ya mataifa mengine ambayo hayana mkwara...

someni kwa makini vipengele vinavyohusiana na uraia wa Tanzania wa kuzaliwa na muone loopholes zilivyo...

soma hapa http://www.bunge.go.tz/Polis/PAMS/Docs/6-1995.pdf
 
Mbona section 7(4) inaongelea raia wa aina hiyo? Kama dual yake ilikuwa kabla hujatimiza miaka 18 basi section 7(1)

Ni kweli kuna loophole kwenye tarehe ya kuukana huo uraia mwingine. Nafikiri ni fair maana mtu mwingine hata anaweza asijue kuwa ana dual, hivyo lazima umpe nafasi ya kuukana uraia mwingine. Wizara husika ndio itapima kama sababu zako zinatosha au hapana. Inaelekea Bashe aliukana huo uraia mwingine alipokuwa na miaka 25. Sections 8 na 26 zinatoa tafsiri ya wakati gani mtu anaweza kuukana huo uraia mwingine.
 
Let us keep fingers crossed that Serkali enacts the dual citizenship as indicated before 2011. Inshallah. Has any one any idea what happens in the interim period -- that is between now and the law is passed whether one can travel with a Tanzanian passport if one has obtained a second nationality...Would like to hear from any one
 
libeneke la dual citizdenship for bongo

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Mh. Bernard Membe

​

By Mkinga Mkinga
The law to allow Tanzanians to hold dual citizenship should finally be enacted by the end of the year, Foreign Affairs and International Co-operation minister Bernard Membe said yesterday.

Speaking in Dar e s Salaam at an International Organisation for Migration (IOM) meeting, Mr Membe said research conducted on the proposal had established that the new law would not harm the country.

"The government is regretting locking out Tanzanians overseas during the 49 years of our Independence, while some African countries have been granting dual citizenship to their people," Mr Membe said.

Tanzanians living abroad will receive the news with jubilation, as they have for many years campaigned for the introduction of such a law to enable them to belong to both their host countries and their motherland.

Many have complained that lack of such a law disadvantages them, as it denies them opportunities they could access if they were citizens of the countries where they work. Yesterday, Mr Membe explained that the issue had taken many years to conclude because the ministry did not wish to "rush such a sensitive issue".

He added: "We decided to conduct a thorough research before introducing this law, which deals with the basic rights of a person."

The research had enabled the government to establish that dual citizenship "is not bad, as some people were trying to depict it".

The minister went on: "On the contrary, there will more benefits for the country and the individuals, if we to adopt the law to enable our fellow Tanzanians living abroad to market our country as well."

During the research, it had been found that Tanzanian experts working abroad had been contributing immensely to their host countries. Therefore, he said, the enacting of the law would enable them to also assist their motherland without any hitch.

Mr Membe said the ministry had already started to move to tap the great economic potential of the Tanzanians overseas. After receiving the report, the ministry established a special department to deal with the affairs of those in the Diaspora.

"Everything regarding how to deal with the Tanzanians living abroad is almost ready. We need to fully utilise their skills and wealth to push forward our development agenda," he said. ​

The Dual Citizenship Act, the minister added, would give those abroad the right to adopt the citizenship of their host countries while maintaining their Tanzanian nationality. Under the current law, a Tanzanian who adopts the citizenship of another country is automatically stripped of his nationality.​

Minister Membe said they had directed all the country's embassies and high commissions overseas to register all Tanzanians to enable the government to have full information and data on the nationals living abroad.

Speaking to reporters at the meeting, which brought together experts from various ministries, embassies and some Tanzanian experts working in the UK, Mr Daniel Mwasandube, a quantity surveyor based in Britain, said many Tanzanians had opted to leave the country in search of better lives.

He said most of them "are very patriotic but lack of supportive laws", such the one granting dual citizenship, has blocked them from serving their country better.

"Many Tanzanians cannot land high paying jobs abroad, though they have the qualifications, simply because employers look for people who hold the passports of those countries," he said.

In preparation for the introduction of dual citizenship, the Law Reform Commission was tasked to conduct a national study and gather the public's views.

In 2006, the commission recommended amendments to the relevant laws so that Tanzanians can also enjoy dual citizenship.

According to the 'Final Report on the Introduction of Dual Citizenship in Tanzania', the commission chaired by Judge Anthony Bahati, said the issue deserved "a positive and forwarding-looking consideration".

The commissioners said it was high time Tanzania adopted dual citizenship because in a globalised world, the country could not develop without interaction with other nations.

Dual citizenship, according to the commission, was desirable as it conferred benefits both to the country and nationals desiring to hold the citizenships of other countries.

"A person with dual citizenship has greater flexibility in his choice of where to live and/or work," reads part of the report.

But the members of the commission also recommended that national identity cards be issued first before adopting the system.

Once it becomes law, Tanzanians will no longer have to renounce their citizenship, and the same will apply to foreigners wishing to take up Tanzanian citizenship, if their countries of origin allow that.

Source: Sheikh Hassan Mbamba
www.mpluskconsultants.com
GLOBAL ADVANCE TANZANIAN NETWORK

Haya wadau habari ndio hiyo wavuja jasho wa kawaida wa nchi hii wanahitaji hii kitu, na je ni vipaumbele vya nchi hii kwa wakati huu.​

Mkuu acha kupotosha. Kwanza hiyo source uliyoweka sio ya kweli. Hii habari iliandikwa na Mkinga Mkinga kwenye tovuti ya The Citizen mnamo tarehe 20 Januari 2010. Pia inaweza kupatikana hapa; allAfrica.com: Tanzania: Dual Citizenship At Last. Hamna kitu kwenye hiyo www.mpluskconsultants.com. Pili habari yenyewe ni ya zamani sana but you want to make it look new. Please for copyright issues, verify or change your source.
 
Na ije haraka wanachelewa bana...who want to be Tanzanian..aaaaggghh!!
 
Great idea!!....bravo tz! Tunataka damu mpya viongozi wenye mawazo mapya!!
 
ivi huyu membe miaka mitano ya uwaziri wake anachoshikilia ni dual citizenship kana kwamba uo ndio mwarubaini wa matatizo yetu!

part of his job description kuhakikisha watz waliong'ambo ya nchi wanaishi kwa raha zao.
mwenye ufunguo wa kufungulia neema kwa watz ni president na si foreign minister
 
Hv mwenye mamlaka ya kusimamia mambo ya uraia ni waziri wa mambo ya ndani au waziri wa mambo ya nje?!!
Au membe ana Uhamiaji yake pale Foreign.Wadau nn majukumu ya wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa?
 
adui wa Tanzania bado ni yuleyule..umaskini,maradhi,uongozi bora na lile lingine nyeti!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom