Uraia wa nchi mbili: Maendelo na Matokeo yake!

Uraia wa nchi mbili: Maendelo na Matokeo yake!

Fanya mazoezi ya comprehension tena.

Nimeeleza hapo ni jinsi gani kazi fulani za Federal Reserve zinavyohitaji high security clearance.Nimeeleza ni jinsi gani dumb blondes wa employment agencies walivyo bungle the requirements kwa kutomwambia jamaa kwamba kazi inataka US Citizen, wao washazoea Green Card inakuwa poa for most jobs, that was not the case in this case.Nimeeleza ni jinsi gani mshkaji alivyokuwa encouraged kwamba ana requirements zote, only kuja kuambiwa kwamba ana qualifications zote kasoro uraia wa US.

Kama hii story ni kweli, basi nategemea Mwombaji yoyote mwenye intellectual na professional calibre ya kuomba kazi Federal Reserve (na amabye ana uzoefu wa kuomba kazi taasisi nyeti za Federal government) angegundua mara moja kuwa hawezi kutimiza kigezo cha Uraia from casual inspection ya application requirements. Kwa hiyo, I don't buy the nonsense eti "mshkaji alivyokuwa encouraged kwamba ana requirements zote, only kuja kuambiwa kwamba ana qualifications zote kasoro uraia wa US".

Sasa usichoamini ni nini? Kwamba Federal Reserve wanataka kuwa na high security clearance kwa kazi fulani? That is only logical, and it can be verified. Kwamba Feederal Reserve wana outsource hiring process kwa employment agencies? Kwamba kuna dumb blondes ambao hawawezi ku chew gum and walk katika hizi agencies ambao wanaweza ku miscommunicate requirements? Kwamba kuna watanzania wanao qualify kwa hizi kazi?

Hata kama recruitment process happens to be outsourced, bado application requirements zitaweka wazi "by Federal law" kigezo cha Uraia/Security Clearance pale ambapo vinahitajika kwa kazi fulani. Sasa kama stori yako ni kweli, itakuwa ni ajabu kwa Mwombaji mwenye wasifu wa kupeleka maombi ya kazi Federal Reserve kushindwa kutambua kigezo cha msingi kama kile cha Uraia kwa kazi ile. So to hell with your ridiculous tale of "dumb blondes miscommunicating requirements." Its not for nothing makampuni na taasisi kubwa na nyeti zinatumia external Recruitment Specialists. Mjamaa asingepita beyond pre-screening ya CV yake over the phone, na makaratasi yake yote yangeishia ndani ya bin-liner.

Umenichekesha sana uliposema mtu akipata uraia wa Marekani anaukana uraia wa Tanzania siku hiyo hiyo, ndiyo kilichopo mawazoni mwako nini? Kuna watu wako eligible kuwa raia Marekani lakini wanasubiri vitu viende kiserikali na wawe na uraia kote, Marekani na Tanzania. Kama hamjui vitu vingine fanyeni uchunguzi kwanza si kujiaibisha, a little knowledge is dangerous indeed.

It sounds very suspicious. Sijawahi kusikia kuhusu mtu ambaye angeweza kuwa Raia wa Marekani miaka mingi na bado anao uwezo huo lakini kwa hiyari yake, ameamua kutoitumia privilege hiyo eti sababu tu Tanzania bado haina "dual citizenship law" wakati Marekani inaruhusu Uraia wa Nchi mbili??? Halafu, mtu huyo ameamua kuweka makazi yake ya kudumu Marekani, na anajua hawezi kupata kazi nzuri inayolipa sababu ya kutokuwa na Uraia wa Marekani, na isitoshe hajui kama kuna uwezekano wa sheria ya Uraia wa nchi mbili kupitishwa Tanzania na lini? It doesn't make any sense at all. Excuses kibao, lakini bado story yako haina mantiki. Hakika inaelekea story yote ni uwongo mtupu.
 
Kama hii story ni kweli, basi nategemea Mwombaji yoyote mwenye intellectual na professional calibre ya kuomba kazi Federal Reserve (na amabye ana uzoefu wa kuomba kazi taasisi nyeti za Federal government) angegundua mara moja kuwa hawezi kutimiza kigezo cha Uraia from casual inspection ya application requirements. Kwa hiyo, I don't buy the nonsense eti "mshkaji alivyokuwa encouraged kwamba ana requirements zote, only kuja kuambiwa kwamba ana qualifications zote kasoro uraia wa US".

Hata kama recruitment process happens to be outsourced, bado application requirements zitaweka wazi "by Federal law" kigezo cha Uraia/Security Clearance pale ambapo vinahitajika kwa kazi fulani. Sasa kama stori yako ni kweli, itakuwa ni ajabu kwa Mwombaji mwenye wasifu wa kupeleka maombi ya kazi Federal Reserve kushindwa kutambua kigezo cha msingi kama kile cha Uraia kwa kazi ile. So to hell with your ridiculous tale of "dumb blondes miscommunicating requirements." Its not for nothing makampuni na taasisi kubwa na nyeti zinatumia external Recruitment Specialists. Mjamaa asingepita beyond pre-screening ya CV yake over the phone, na makaratasi yake yote yangeishia ndani ya bin-liner.

It sounds very suspicious. Sijawahi kusikia kuhusu mtu ambaye angeweza kuwa Raia wa Marekani miaka mingi na bado anao uwezo huo lakini kwa hiyari yake, ameamua kutoitumia privilege hiyo eti sababu tu Tanzania bado haina "dual citizenship law" wakati Marekani inaruhusu Uraia wa Nchi mbili??? Halafu, mtu huyo ameamua kuweka makazi yake ya kudumu Marekani, na anajua hawezi kupata kazi nzuri inayolipa sababu ya kutokuwa na Uraia wa Marekani, na isitoshe hajui kama kuna uwezekano wa sheria ya Uraia wa nchi mbili kupitishwa Tanzania na lini? It doesn't make any sense at all. Excuses kibao, lakini bado story yako haina mantiki. Hakika inaelekea story yote ni uwongo mtupu.

Nimesema juu kwamba.

1. Si kazi zote za Federal Reserve zinahitaji uwe raia, in fact most ya kazi hazihitaji uwe raia.
2.Kwa sababu hiyo juu, low level recruiters wamezoea kuwaunganisha watu wenye green card kwenda kufanya interview/ kazi Federal Reserve.
3. Nimeonyesha pia jinsi gani process ya kufanya kazi ilivyokuwa inapitia chain kubwa, kuanzia Federal Reserve HR, mpaka kuja outsourced employment agencies kwa mabosi, na wao wana delegate kwa recruiters, nika invoke information theory na kuonyesha jinsi gani information inavyozidi kupitia mikono mingi ndivyo inavyozidi kuwa corrupted.
4.Nimeeleza ni jinsi gani kwa sababu recruiters wamezoea ku recruit low level opportunities ambazo hazihitaji security clearance wala uraia wa US, na kwa sababu ya mazingira yao ya ushindani kutaka kupata watu mapema ili wasiwahiwe na wenzao, hawakuwa makini katika kuieleza hii requirement ya uraia, mchizi wangu akaambiwa una green card? akajibu ndiyo, resume yake ikapokelewa na agency, wakai forward Federal Reserve.Federal Reserve kuangalia wakaona jamaa ana Green Card, ikawa soo.
5.Zaidi ya yote, nimeeleza ukweli kwamba regardless ya wewe kama unaamini au huamini hii habari, ukweli unabaki kwamba Watanzania wanalostishwa kwa kukosa duial citizenship. Hata kama hii requirement ya uraia ingewekwa apparent tangu mwanzo, mchizi angekosa jinsi ya kuweza ku apply kwa sababu hana uraia, na hana uraia si kwa sababu hana eligibility, bali ni kwa sababu hakutaka kuwa na uraia wa Marekani wakati nchi yake ya kuzaliwa ambayo uraia wake anautaka bado haijaruhusu dual citizenship.

Sasa kati ya points hizo hapo isiyoeleweka ipi, inayoweza kufanyiwa serious dispute - other than the alfu lela ulela za ku derail topics, ambazo tunawajua wengine ni jadi yenu hapa, mmemrithi Kuhani Mkuu- kisichoeleweka kipi?

Eti it sounds suspicious kwa sababu hujasikia mtu ambaye ana eligibility ya kupata uraia wa Marekani asipapatikie uraia wa Marekani.Huyu bwana ana a very valid reason ya kuto apply uraia wa Marekani, amesema hataki ku apply kwa sababu sheria za nchi yake Tanzania haziruhusu, anasubiri sheria za Tanzania ziruhusu ata apply.Tatizo liko wapi hapo?

Au unafikiri kwa vile wewe una mawazo ya kuvunja vunja sheria tu na kupapatikia uraia wa Marekani kama vile ni dhahabu sijui, unafikiri kila mtu yuko hivyo hivyo?

Kuna machizi kibao wana Green Cards na hata hawana mpango na uraia wa Marekani, kuna wahindi wanarudi kwao India wanachukua kazi bomba kuliko wanazopata Marekani, kuna watu wengine matawi ya juu uraia wa Tanzania unawapa priviuleges ambazo hawawezi kuzipata kamwe kwa uraia wa Marekani.

Kwa hiyo kama wewe umetoka kwenye miti huko Tanzania, na unaona uraia wa Marekani ni kitu cha kuabudiwa kiasi cha kuvunja sheria za Tanzania, kaa ukijua kwamba si kila mtu ana shida kama zako.
 
All in all, regardless ya kama unaamini hii illustration au huamini, huwezi kubisha kwamba wabongo wanaotaka kufuata sheria na wenye qualifications za kufanya hizi kazi zinazotaka high security clearance wanakwamishwa vibaya kwa kukosekana kwa dual citizenship bongo.

Sasa kuna watu wanataka kuderail main discussion tha thread ambayo imejikita katika ukweli huu, wanataka kuleta alfu lela ulela na ubishi kama mshipa wa punda.

Hilo la kukwamishwa kukosekana kwa dual citizenship hata mimi limeshanikumba. Kuna mzigo Federal Reserve Bank of Atlanta ambao uliniponyoka hivihivi nauona kisa nimekataa kuchukua gamba la bluu. Kwa kweli sijisikii vizuri kuacha uraia wangu wa kuzaliwa na kuchukua mwingine. Ndio maana nataka sana wapitishe hiyo sheria ya uraia wa nchi mbili. Sasa sijui hofu yao nini....
 
I smell a lot of 'cyber' hate in the air ambayo inawafanyisha watu waende completely of topic, seriously stop bickering about some random story for no obvious reason.
Cha maana kwenye hii topic ni swali ambalo Mwanafalsafa1 alichouliza in the last page, hii dual citizenship italeta benefits gani Tanzania? Au itawabenefit individuals ambao wameikimbia our damned country kama huyo rafiki yake Kiranga ambaye amebaniwa kazi kisa hana uraia ya Marekani?
 
Hilo la kukwamishwa kukosekana kwa dual citizenship hata mimi limeshanikumba. Kuna mzigo Federal Reserve Bank of Atlanta ambao uliniponyoka hivihivi nauona kisa nimekataa kuchukua gamba la bluu. Kwa kweli sijisikii vizuri kuacha uraia wangu wa kuzaliwa na kuchukua mwingine. Ndio maana nataka sana wapitishe hiyo sheria ya uraia wa nchi mbili. Sasa sijui hofu yao nini....

School them my dude,

Eti kuna mjinga mjinga katoka kwenye miti huko bongo haamini kwamba kuna wabongo wana eligibility ya kuchukua uraia lakini wana principle ya kutovunja sheria on this one.

Anaona kama hadithi za kufikirika tu.

Wabongo!
 
It sounds very suspicious. Sijawahi kusikia kuhusu mtu ambaye angeweza kuwa Raia wa Marekani miaka mingi na bado anao uwezo huo lakini kwa hiyari yake, ameamua kutoitumia privilege hiyo eti sababu tu Tanzania bado haina "dual citizenship law" wakati Marekani inaruhusu Uraia wa Nchi mbili??? Halafu, mtu huyo ameamua kuweka makazi yake ya kudumu Marekani, na anajua hawezi kupata kazi nzuri inayolipa sababu ya kutokuwa na Uraia wa Marekani, na isitoshe hajui kama kuna uwezekano wa sheria ya Uraia wa nchi mbili kupitishwa Tanzania na lini? It doesn't make any sense at all. Excuses kibao, lakini bado story yako haina mantiki. Hakika inaelekea story yote ni uwongo mtupu.

Coach, mbona wapo atu wengi ambao ni permanent residents kwa miaka mingi tu na hawajachukua uraia kwa sababu bongo haina uraia wa nchi mbili? Na si kweli kuwa huwezi kupata kazi nzuri kama huna uraia wa Marekani. Kwanza kazi nyingi nzuri ziko kwenye sekta binafsi ambako uraia siyo kigezo cha kuzipata.
 
I smell a lot of 'cyber' hate in the air ambayo inawafanyisha watu waende completely of topic, seriously stop bickering about some random story for no obvious reason.
Cha maana kwenye hii topic ni swali ambalo Mzee Mwanakijiji alichouliza in the last page, hii dual citizenship intaleta benefits gani Tanzania? Au itawa benefit individuals ambao wamekimbia our damned country kama huyo rafiki yake Kiranga ambaye amebaniwa kazi kisa hana uraia ya Marekani?

Paradox,

Mimi nimewaeleza watu kwamba hata ukisema kwamba huamini hii story yangu, the fact kwamba kuna kazi za maana zinataka watu wawe na uraia wa Marekani kwa mfano, na the fact kwamba Tanzania hairuhusu dual citizenship inawaweka pabaya hawa ndugu zetu, kwa sababu wanapata choice either wachukue uraia wa Marekani kimazabe yaje kuwakuta kama yaliyomkuta Jack Pemba na uraia wake wa Uingereza, au waachane na uraia wa Tanzania wachukue uraia wa kigeni na kuanza kuomba visa kuja kumuona bibi Tanzania, wapoteze haki zote za uraia.

Kwa hiyo regardless ya illustration yangu, mtu anayeuliza Dual Citizenship inatusaidia nini? Obviously watu wetu wengi zaidi wakiweza ku qualify kwa kazi kubwa tunakuwa na influence kubwa, tunakuwa na remmittances nyingi zaidi etc etc.

Sasa hata hili nalo wapenda alfu lela uleala wanaka kutoka katika mada kwa kuendekeza ubishi usio kichwa wala miguu hawataliona.

Nyani Ngabu kaja kuonyesha mfano mwingine wa hapo hapo Federal reserve.

Lakini kuna watu ubishi ni asili yao.
 
Unadai "umeeleza" hiki na kile, kile na hiki...lakini si kweli. Hakuna sehemu hata moja umeeleza hayo unayodai hapo juu.

Vinginevyo, hoja yako eti "kuna machizi kibao wana Green Cards na hata hawana mpango na uraia wa Marekani" haina nguvu hata kidogo. Wapo Watanzania wengi sana wenye Uraia wa nchi mbili na hawapati matatizo yoyote Tanzania (practically speaking of course), unless labda you're one of those freaks wenye ambition za kuwa Rais wa Tanzania or Mbunge wa CCM siku moja. Sasa ni Watanzania wangapi wenye malengo kama hayo? Hii story uliyotoa siyo mfano mzuri au hai wa ku-illustrate matatizo ya kutokuwapo kwa Sheria ya Uraia wa Nchi Mbili, kwani watu wa dizaini uliyotumia kwenye mfano wako aidha ni extremely marginal or simply non-existent.
 
Lama naeleza vitu na bongopanzi lako halielewi si tatizo langu, ni tatizo lako.

Halafu penye ukweli uongo hujitenga.Nyani Ngabu huyo hapa kumbe anajua hizi habari za Federal reserve na yeye alishindwa ku apply kwa sababu hiyo hiyo, mfano hai wa Mtanzania anayeheshimu sheria za uraia za nchi yake.

Kama wewe umezoea kuvunja sheria na kuishi kimazabe mazabe si kila mtu anataka upuuzi kama huo. Unataka kuforce kwamba kuwa na uraia zaidi ya mmoja Tanzania ni poa tu, na kuna watu wengi wanafanya hivyo.

Kuna watu wengi wanaiba pia, na hata hawakamatwi, lakini hili halifanyi kuiba kuwa kitu poa.

Kuna watu wamezoea kufuata njia za mkato mkato tu maisha yao yote, halafu wanakuja hapa JF utawasikia "ufisadi, ufisadi" kumbe wao ndio mafisadi hasidi wakubwa.
 
Nyani Ngabu huyo hapa kumbe anajua hizi habari za Federal reserve na yeye alishindwa ku apply kwa sababu hiyo hiyo, mfano hai wa Mtanzania anayeheshimu sheria za uraia za nchi yake.

Kuamua kutotuma au kutuma maombi huku ukifahamu vigezo vilivyowekwa wazi kwenye maombi ya kazi ni vitu viwili tofauti. Umeshindwa ku-convince kadamnasi kuwa mhusika kwenye mfano wako kweli hakuelewa vigezo vya msingi vilivyotangazwa kwa ile kazi zaidi ya kusingizia "dumb blondes miscommunicating requirements" (guess how credible that is to old fools like myself!). Mfano wako hau reflect hata kidogo how real people act in the real world. Any rational person will take advantage of any available loopholes (be they legal, practical or whatever), to get ahead of the game (your dubious "ethically predisposed" ass included).
 
Wewe umekuwa kadamnasi tangu lini? kadamnasi makamasi.

Kama real people unaozoea kukutana nao kila siku ni wezi wezi na watu wanaofuata shorcuts tu, si kila mtu yuko hivyo, si kila mtanzania yuko hivyo.As if kuku prove wrong Mtanzania mwingine huyo hapo Nyani Ngabu, hana mpango wa kuchukua uraia wa mtu wakati eligibility anayo, sasa ukiona hapa JF tu mtu kashatokea mara moja kama mfano, ujue huko mtaani ndio wapo kibao.

Sasa wewe uliyezoea ku hang na wezi wezi tu watu wa kutaka shorcuts lazima uone haya mambo ni ya ajabu, lakini si ajabu wala nini, ni mambo ya kawaida tu.
 
Wewe umekuwa kadamnasi tangu lini? kadamnasi makamasi.

How come all of a sudden you've decided to argue out of ethical sense of some individuals like Nyani Ngabu wakati all the way umekuwa uking'ang'ania eti huyo fictitious applicant wako hakuwa na makosa kuamua kutuma maombi kwa kazi ambayo ha-qualify, na wenye kulaumiwa ni "dumb blondes miscommunicating requirements"?
 
Hakuwa na makosa kwa sababu initially haikuwekwa apparent kwamba alihitajika kuwa raia.Hujui kusoma? Mbona nishaandika hapo juu?

Au na wewe ni version yetu ya "dumb blonde" --> "dumb dude" ?
 
Yet another dumb excuse for something that's obviously not true for anyone with even the most minimal experience applying for work in Federal Government. How about you proving it? Show us how this could be so!
 
Dude,

Get a life, some coherency, some exercise to slimthat fat azz of yours, then you may be able to examine things with sense.

I don't need to prove shyt to your fat azz.
 
Huyo parcels bure tu atakupotezeeni muda....Ndo zake hizo huwa anabisha vitu vilivyo wazi,haijalishi nani atasema ni mgumu sana kuelewa,na akishindwa atareserve kwenye maneno ya kijinga,ni mzito kweli kweli kuelewa.
 
Dude,

Get a life, some coherency, some exercise to slimthat fat azz of yours, then you may be able to examine things with sense.

I don't need to prove shyt to your fat azz.

Sasa maisha yangu yanahusiana vipi na maada na hoja tunayojadili hapa? Naona mwenzangu huna la ziada zaidi ya kuanza matusi. Nimemaliza malumbano. Peace! I'm out!
 
Huyo parcels bure tu atakupotezeeni muda....Ndo zake hizo huwa anabisha vitu vilivyo wazi,haijalishi nani atasema ni mgumu sana kuelewa,na akishindwa atareserve kwenye maneno ya kijinga,ni mzito kweli kweli kuelewa.

Umemshtukia JMushi siyo? Halafu mwenyewe anajiita "kadamnasi" lol. Labda kadamnasi ya makamasi.
 
Sasa maisha yangu yanahusiana vipi na maada na hoja tunayojadili hapa? Naona mwenzangu huna la ziada zaidi ya kuanza matusi. Nimemaliza malumbano. Peace! I'm out!

Inaonekana huna maisha na kutokuwa na maisha kuna affect reasoning yako, unaleta vitu ambavyo havipo na kuacha kujadili vilivyopo.

Ndiyo maana nakwambia fanya mazoezi upunguze futa hilo, ufanye damu ichemke labda inaweza kupitia kwenye ubongo wako na kuchukua a few dead braincells na kuziflush, na kukupa nyingine mpya, unaweza kurudi na akili kidogo.
 
kichwa panzi bia moja ushaanza kelele...Wachamba kwa mabua toka lini wakajua ku flush? Get your colors right first, then you may have something to discuss with me...
hahahaaaaaaa ....hahahahaaaaaaaa.......

Imekuwa swala la "get your colors right..." E bana eh, sijawaji kukuona umenyong'onyea namna hii Papa XIV.

I don't buy the nonsense eti "mshkaji alivyokuwa encouraged kwamba ana requirements zote, only kuja kuambiwa kwamba ana qualifications zote kasoro uraia wa US....Sasa kama stori yako ni kweli, itakuwa ni ajabu kwa Mwombaji mwenye wasifu wa kupeleka maombi ya kazi Federal Reserve kushindwa kutambua kigezo cha msingi kama kile cha Uraia kwa kazi ile.

So to hell with your ridiculous tale of "dumb blondes miscommunicating requirements"

Hahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa... Mkuu Tuna, umeshamchoka "the Intellectual Jujitsu," Mrithi wa Muongofu Joseph Alois Ratzinger?

Haki ya nani harudii tena kujifanya Shaban Robert wa ubunifu. Huyo mtaalam wa Federal Reserve atakuwa ni Kiranga mwenyewe aliomba kazi kichwa kichwa kwa kutumia mawakala wa Dumb Blondes Staffing Agency Inc. kumbe wanamuingiza mkenge tu.

Hii story uliyotoa siyo mfano mzuri au hai wa ku-illustrate matatizo ya kutokuwapo kwa Sheria ya Uraia wa Nchi Mbili, kwani watu wa dizaini uliyotumia kwenye mfano wako aidha ni extremely marginal or simply non-existent.

Na ndio hoja ya msingi ambayo haijajibiwa na wasukumaji wa uraia huria.

Je, wanazidi kumi hawa Viranga waliokosa kazi Federal Reserve kwa kutokuwa raia? Kwamba, hata kama ni kweli kesi ya Kiranga ingekuwa sio ya kubuniwa na alioomba kazi Federal Reserve akakosa bado tunarudi pale pale: Kiranga mmoja na rafiki zake watatu wamekosa kazi serikali ya Marekani ingetusaidia nini Tanzania hawa mpaka tuwatengenezee sera ya nchi?

Tungepata utafiti. Bernard Membe alisema kuna utafiti umejibu hayo, lakini ripoti hataki kuitoa.
 
Back
Top Bottom