Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,085
Judgement umeamka swalama lakini?
Beibe ! Mamboo? Umekuaje wewe! Jana nimekutafutaje? Na issue ikiwa tunajipangaje hapa kuna mnuso wa harusi Ruhazwe Jr & Madame B
hujaiona hiyo? Watu wanasogeza mautamu yao karibu!
kweli nimeku miss Madame
Sijaamka swalama kama ilivyo ada! Utaniuliza sababu, si ndiyo?
Issue rafiki yangu (family friend) amefiwa na mdogo wake, hapa tuko Bugando mortuary nje tunasubiriana tujipange watakaoingia ndani kuosha then burial being held later today.
Mtei!
Mambo? Afu unapoteaga sana! Kama BAGAH ?
Mnabanwa na mijimama nini? Unajua kuna mijimama mithili ya miss Bantu! Inakaba penati kama mpira wa kona!
Sijaamka swalama kama ilivyo ada! Utaniuliza sababu, si ndiyo?
Issue rafiki yangu (family friend) amefiwa na mdogo wake, hapa tuko Bugando mortuary nje tunasubiriana tujipange watakaoingia ndani kuosha then burial being held later today.
Ooooh, Inna lillahi wa inna illahi rajjun.Sijaamka swalama kama ilivyo ada! Utaniuliza sababu, si ndiyo?
Issue rafiki yangu (family friend) amefiwa na mdogo wake, hapa tuko Bugando mortuary nje tunasubiriana tujipange watakaoingia ndani kuosha then burial being held later today.
BT, I'm adult now hilo nalijua, bt kwa uzoefu wangu urafiki uletao hayo ni ule urafiki wa kitoto!
Watu wazima nadra sana, na hasa mimi nimebase pale mnapokua na masuala ya kimsingi mf. Mimi nimepata pesa nataka kununua gari wakati nyumba sina, naweza seek ushauri kwa friends wakanishauri nifanye lipi, siongelea ule urafiki wa kukicha niko kwa rafiki, kila lake au langu tujuzane laa.
Ambitious mi nilikua namshauri mtoa mada
yeye ndie alisema haoendi anonymity, not me
Halafu wewe unaishi na mimi, weka wazi hapa:
if avatar inachanganya watu, itakuaje wakiniona? :A S 576:
Urafiki wa humu si wa kinafiki kabisa.......... huu ndio urafiki halisi, mambo ya kutembeleana na kununuliana soda nani atayaweza....... marafiki zangu wakae huko huko, siwahitaji mie......................LOL
labda kuutengeneza kwenye mazingira hayo.... Ninamaanisha si kujuana kiundani, tufahamiane, tusaidiane, tushauriane ila kila mtu na lake.........
La sivyo itakuwa hatari........
Hii maujumbe nimeipenda.