Urafiki wa Members Jf umekaa KIUNAFIKI zaidi, kuliko uhalisia.

wazo zuri sana Judgement

haya mimi naitwa mathematics naish Dar, Kimara Stop Over na Suka
Kuna member wa Kimara humu tufahamiane/tuonane hata Kesho?
 
Last edited by a moderator:
Eti ee!
We umesema hutaki Pm na wake za watu.
Na hao wakisema hawataki Pm na waume za watu,
atabaki nani jamvini?
Maana naona idadi kubwa ya member ka wapo ktk ndoa hv,
japo cna uhakika.

Hapo si ndo poa! Ngoma draw? Mke wa mtu na Mume wa mtu, mnaenda sirini kutafutani?
Labda pawe na dharura maalumu isiyo na vimelea vya cheatin'.
O/wise kwa miamala ya kawaida kwa nini msiimalizie hapa kunako kada ya mnasi ? Kun-nini!
 
Umenishangaza sana unalilia urafiki, maishani mwako unakojulikana nao umeshindwa kuwaweka na kuwajua sasa nini kuja humu kulilia kujua watu?

Forums zimejaa duniani na watu wanatumia majina ya sio yao, na maisha yanaendelea bila watu kulalamika na imeshazoeleka na inasaidia sana mwa maishani mwa wengi.

Ukitaka kujua watu zaidi watumie PM wakitaka kukujua pia basi watakujibu.

Nenda kamuombe Mungu akusaidie upate urafiki wa unaotaka. As wewe umeonyesha kuwa urafiki huuwezi unang'ang'ania hadi mama yako anakushtua.
 
Macho ya Nazi !
Matatu bt huwa hayaoni ! na hayajui kwa nini yapo!
Unachoongea hakiendani na Thrade!
Umekurupuka! Mkuu.
Cheza ngoma kufatana na biti!
Ukikuta Rege , nata na biti zake , usinate kitaarabu! S a w a s a w a ?
 
Poor husband poulee jamanii hun watakuwa wamekusikia lakin tatizo faking nying mi nahis huku kuficha id ndo shida dats why bt smtms hiz social network ts nt only havn fun bt also to participate ktk suala moja au jingne but mylove people hapa by observation dnt wana know one another n dats real bad huwez mjua au fahamiana na kila mtu jf bt sm of u can baana. Naunga mkono
NB:sio kisa mi mkewe
 
Walaa Bibie hamna tisho hapo!
Ni kweli huwezimjua huyu ni mke wa mtu au vipi, ndiyo maana nikaanika hadhara kweupee!
Ili atakaejijua ni mke wa mwenyewe tusizoeane kupitiliza na Pm na nini, sitaki.
Kama kuchart na mke wa mtu iwe public not privacy, Note : nikisema mke wa mtu nna maana real wife, not wife on line.
Jieleze tuuu nakuchora sijui wataka nin sahiv ntalala sasaivi
 
Macho ya Nazi !
Matatu bt huwa hayaoni ! na hayajui kwa nini yapo!
Unachoongea hakiendani na Thrade!
Umekurupuka! Mkuu.
Cheza ngoma kufatana na biti!
Ukikuta Rege , nata na biti zake , usinate kitaarabu! S a w a s a w a ?

U supa star kazi etiii hebu atupishe sie waulizwa mkaa wajibu gas namna gan wewe bby ndo walimwengu hawa
 
Macho ya Nazi !
Matatu bt huwa hayaoni ! na hayajui kwa nini yapo!
Unachoongea hakiendani na Thrade!
Umekurupuka! Mkuu.
Cheza ngoma kufatana na biti!
Ukikuta Rege , nata na biti zake , usinate kitaarabu! S a w a s a w a ?

wewe ndio umechemsha kichwa cha habari, kujiongelea na kulilia urafiki. embu soma ulichoandka then tafakari then jiulize.
 
Judgement uko sawa kabisa na hili suala ni zito sana kwa baadhi ya watu hope wana sababu zao.
Ila kwa aliyeko Arusha im available.
 
Umenishangaza sana unalilia urafiki, maishani mwako unakojulikana nao umeshindwa kuwaweka na kuwajua sasa nini kuja humu kulilia kujua watu?

Forums zimejaa duniani na watu wanatumia majina ya sio yao, na maisha yanaendelea bila watu kulalamika na imeshazoeleka na inasaidia sana mwa maishani mwa wengi.

Ukitaka kujua watu zaidi watumie PM wakitaka kukujua pia basi watakujibu.

Nenda kamuombe Mungu akusaidie upate urafiki wa unaotaka. As wewe umeonyesha kuwa urafiki huuwezi unang'ang'ania hadi mama yako anakushtua.

Mbona katoa ushauri mzuri watu mbona mna roho za ajabu?
 
Umenishangaza sana unalilia urafiki, maishani mwako unakojulikana nao umeshindwa kuwaweka na kuwajua sasa nini kuja humu kulilia kujua watu?

Forums zimejaa duniani na watu wanatumia majina ya sio yao, na maisha yanaendelea bila watu kulalamika na imeshazoeleka na inasaidia sana mwa maishani mwa wengi.

Ukitaka kujua watu zaidi watumie PM wakitaka kukujua pia basi watakujibu.

Nenda kamuombe Mungu akusaidie upate urafiki wa unaotaka. As wewe umeonyesha kuwa urafiki huuwezi unang'ang'ania hadi mama yako anakushtua.

Usifiche busara zako. Ficha upumbavu wako.
 
ulyoyasema yana ukweli sana. Itakuwa poa endapo utakutana na mtu anaye jua urafiki. Waweza juana na m2 humu halafu akawa tatizo. Mwngne anakimbilia kwenye malovedavi.

Mimi humu nafahamiana na member kadhaa. Wengne tayari tumeshaonana na wengne bado tunawasliana kwa simu tu...
JF ni mahala pazuri sana kuwepo
 
Back
Top Bottom