Urafiki wa Members Jf umekaa KIUNAFIKI zaidi, kuliko uhalisia.

Judgement umeamka swalama lakini?

Sijaamka swalama kama ilivyo ada! Utaniuliza sababu, si ndiyo?
Issue rafiki yangu (family friend) amefiwa na mdogo wake, hapa tuko Bugando mortuary nje tunasubiriana tujipange watakaoingia ndani kuosha then burial being held later today.
 
Beibe ! Mamboo? Umekuaje wewe! Jana nimekutafutaje? Na issue ikiwa tunajipangaje hapa kuna mnuso wa harusi Ruhazwe Jr & Madame B
hujaiona hiyo? Watu wanasogeza mautamu yao karibu!

Power to u bana mi si unajua hali yangu halis ya sasa
 
Sijaamka swalama kama ilivyo ada! Utaniuliza sababu, si ndiyo?
Issue rafiki yangu (family friend) amefiwa na mdogo wake, hapa tuko Bugando mortuary nje tunasubiriana tujipange watakaoingia ndani kuosha then burial being held later today.

Pole sana Judge yote hayo ni mipango ya Allah.
Mpe Pole nyingi Best friend wako.
Mwambie Ajikaze,tuko pamoja nae.
 
Mtei!
Mambo? Afu unapoteaga sana! Kama BAGAH ?
Mnabanwa na mijimama nini? Unajua kuna mijimama mithili ya miss Bantu! Inakaba penati kama mpira wa kona!

Acha mchezo wewe.
Mbele ya mijimama,
hata kazini utatamani usiende kwa huduma zao/zetu.
Anatimiza majukumu yake bhana.
 
Sijaamka swalama kama ilivyo ada! Utaniuliza sababu, si ndiyo?
Issue rafiki yangu (family friend) amefiwa na mdogo wake, hapa tuko Bugando mortuary nje tunasubiriana tujipange watakaoingia ndani kuosha then burial being held later today.

Pole sana Judge yote hayo ni mipango ya Allah.
Mpe Pole nyingi Best friend wako.
Mwambie Ajikaze,tuko pamoja nae.
 
Mwali anza kuweka wewe binti unajua ladies first au umesahau..unaogopa kupoteza u-miss anonymous??
Ambitious mi nilikua namshauri mtoa mada
yeye ndie alisema haoendi anonymity, not me
Halafu wewe unaishi na mimi, weka wazi hapa:
if avatar inachanganya watu, itakuaje wakiniona? :A S 576:
 
Last edited by a moderator:
Sijaamka swalama kama ilivyo ada! Utaniuliza sababu, si ndiyo?
Issue rafiki yangu (family friend) amefiwa na mdogo wake, hapa tuko Bugando mortuary nje tunasubiriana tujipange watakaoingia ndani kuosha then burial being held later today.
Ooooh, Inna lillahi wa inna illahi rajjun.
pole sana ndugu yangu. I am so sorry
Mpe pole sana rafiki yetu, Be there for him.
 
BT, I'm adult now hilo nalijua, bt kwa uzoefu wangu urafiki uletao hayo ni ule urafiki wa kitoto!
Watu wazima nadra sana, na hasa mimi nimebase pale mnapokua na masuala ya kimsingi mf. Mimi nimepata pesa nataka kununua gari wakati nyumba sina, naweza seek ushauri kwa friends wakanishauri nifanye lipi, siongelea ule urafiki wa kukicha niko kwa rafiki, kila lake au langu tujuzane laa.

labda kuutengeneza kwenye mazingira hayo.... Ninamaanisha si kujuana kiundani, tufahamiane, tusaidiane, tushauriane ila kila mtu na lake.........

La sivyo itakuwa hatari........
 
mkuu Judgement marafiki wa kwenye mitandao hasa JF na Facebook sio wazuri, mimi kuna jamaa nilijuana nae humu JF baadae akaja kunitapeli na simu zangu hapokei na yupo humu Jf full time, mkuu jali maisha yako usihangaikie urafiki wa mtandao ni hasara na kupoteza time yako..... Nawapenda wana JF wote karibuni kwa urafiki
 
Ambitious mi nilikua namshauri mtoa mada
yeye ndie alisema haoendi anonymity, not me
Halafu wewe unaishi na mimi, weka wazi hapa:
if avatar inachanganya watu, itakuaje wakiniona? :A S 576:

Dah!!Bora waendelee kuiona na hii avatar tu..usije ukasababisha watu wakakope magari ya kukuzawadia ili tu waambulie angalau ki-date kimoja.
 
Last edited by a moderator:
Urafiki wa humu si wa kinafiki kabisa.......... huu ndio urafiki halisi, mambo ya kutembeleana na kununuliana soda nani atayaweza....... marafiki zangu wakae huko huko, siwahitaji mie......................LOL

Asante baba cantalisia but mi mama nakungojea pale job kwangu kwakuwa unapajua tena usisahau bites kama nilivyokuambia siku za nyuma.
 
Mi huwa naogopa kusema job kwangu au home kutokana na kuwa humu ndani sometimes tunaichana hata kaya kuu na ni hatari sana mtu ukifahamika kiundani si unaona hata majina tunaweka feki.
 
labda kuutengeneza kwenye mazingira hayo.... Ninamaanisha si kujuana kiundani, tufahamiane, tusaidiane, tushauriane ila kila mtu na lake.........

La sivyo itakuwa hatari........

Haswaa that's what i mean! Umeichungulia nje ya pitch! Y'day kuna Thrade ya Platozoom nilikupa tip kwamba you are the one lady among of ladies who lookin' forwad much rapidly! Hata hivyo Platozoom akawa ananibishia, sijui ulipapitia hapo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom