samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,495
- 24,183
Mama afungue njia upande wa kusini na central kuanzia Msumbiji, DRC, Angola Malawi, Zambia mpaka Namibia na Botswana.. huko kuna population kubwa na mahitaji mengi...tukiweza kuwaleta hapa na watu wetu wakafika huko kibiashara basi mambo yanaweza kuwa murua kuanzia uchumi wa jumla na wa watu mmoja mmoja..