Urafiki na Rwanda vs Urafiki na Kenya upi una Manufaa Kwa Tanzania?

Mnaharibu thread mbona ilikuwa vzr tu
Haiependezi kutukanana wazazi kisa tu Kenya na rwanda
Achana na hawa watoto wa siku hizi..unamuelewesha na kumpa reference,akishindwa hoja anakuita shoga. Wakati kizazi chao ndo wanaongoza kuliwa
 
Kumekuwa na maneno na hofu kutoka kwa baadhi ya Watanzania hasa baada ya Raisi Samia kufanya juhudi za kuurejesha tena uhusiano na Kenya ambao ulidhoofika sana awamu ya Tano.

Awamu ya Tano iliona Ni muhimu zaidi kuikumbatia Rwanda ya Kagame kuliko Kenya. Ikafikia wanyarwanda hadi wanakuwa sehemu ya mfumo wetu wa ulinzi kwa kiongozi wa juu.

Naomba tujadili ni upi uhusiano wenye Kati ya haya mataifa mawili una manufaa kwetu kama nchi.
Kwanza nikulaumu kwa kuonyeshesha wazi wazi kulaumu uongozi wa awamu ya 5 na kuisifia awamu wa 6. Kama mchokonozi au mwanzilishi wa mada hukutakiwa kuonyesha upande. Hiyo ingepelekea wachangiaji kutochangia kiushabiki.

Yote kwa yote elewa kwamba kuna nchi nyingi ambazo hutegemea nchi nyingine kama vyanzo vyao vya mapato. Ni kwa mda mrefu sana Kenye imeitegemea TZ kama chanzo chake cha mapata÷
1. Kwa kutuuzia bidhaa zao za viwandani
2. Viwanda vyao kuendeshwa kutokana na law material za TZ.
3. Kuuza madini yetu kama kwamba wao ndiyo wamiliki au wachimbaji wa madini hayo (alikuwa ni No 2 kwa mauzo ya Tnite Duniani)
Baada ya JPM kuzuia huo ujanja/wizi wake ndiyo wakaanza fugisu figisu ambazo hazina maana.

Pia kumbuka Rwanda ndiyo chanzo cha machafuko ya DRC. Wanaendeleza na kufadhili machafuko hayo kwa maksudi ili waendelee kuwaibia madini yao.

Kwa hiyo hili swala la Kenya na TZ usiliangalie juu juu au kwa mapenzi ya maraisi wetu. Choko choko ya Kenya na TZ hazikuanza leo. Hata JKN na Kenyata walivurugana sana. Kwa Mwinyi ndiyo ikawa kimya kwa sababu mzee mwinyi sera yake ilikuwa ni ruksa kwa kila kitu.

Kumbuka kwa kikwete jumuia yote ya EA walimtenga. Hasa Kenya na Rwanda. Sbb ya kumtenga mimi na wewe hatuijui. Lakini pia ilikuwa wakifanya vikao bila kumhusiha Kikwete.

Wazo la Samia ni wazo sahihi. Lakini aangalie tusije ingizwa choo cha kike. Wakenye wana uweze mkubwa sana wa kucheza na fursa. Wakiona mama anawabana lazima wataanzisha ujinga wao. Kumbuka waliturudishia dhahabu ambayo hawakuwa na sababu ya msingi ya kuturudishia. Kwani waliyokuwa na dhahabu hiyo waliinunua na siyo kwamba waliiba. Na kwa habari ya chini ya capet ni kwamba waliyokuwa na dhahabu hiyo walifidiwa pesa yao na serikali yao. Je walikuwa na umuhimu gani kuturejeshea hizo dhahabu? Wakenya nenda nao kwa umakini mkubwa na siyo kiushabiki.
 
Kenya ni mlango wa biashara za mazao kwenda Somali, Ethiopia, Sudan na kwingineko chakula cha Tanzania kinafika mbali mno kuwazuia wakenya ni kujifungia fursa zilizo wazi kabisa.
Hili wazi lako ni wazo mfu.

Kwani wafanyabiashara watanzania wanashindwa nini kwenda kuuza mahindi moja kwa moja katika hizo nchi ulizozitaja? Ubunifu wa wafanyabiashara wetu ni 0+. Kenya ingekuwa ni nchi ya kupitishia bidhaa zetu na kuzipeleka zinakohitajika na siyo kutegemea wafanyabiashara wa Kenya ndiyo wapeleke bidhaa zetu sokoni.

Ubunifu huu ndiyo inatakiwa upatiwe ufumbuzi na Serikali yetu na wafanyabiashara wetu. Siyo kulazimisha mahusiana na nchi ambayo inakupenda kutokana na kunafaika na wewe. Rafiki wa kenya ni rafiki mwenye kuinufaisha Kenya. Lakini ikionekana ww utanufaika na kenya huo ndiyo unakuwa mwisho wa urafiki na wajinga hao.
 
Kumekuwa na maneno na hofu kutoka kwa baadhi ya Watanzania hasa baada ya Raisi Samia kufanya juhudi za kuurejesha tena uhusiano na Kenya ambao ulidhoofika sana awamu ya Tano.

Awamu ya Tano iliona Ni muhimu zaidi kuikumbatia Rwanda ya Kagame kuliko Kenya. Ikafikia wanyarwanda hadi wanakuwa sehemu ya mfumo wetu wa ulinzi kwa kiongozi wa juu.

Naomba tujadili ni upi uhusiano wenye Kati ya haya mataifa mawili una manufaa kwetu kama nchi.
Huwezi kuchagua majirani, hawa wote wataendelea kuwepo permanently ktk pande zote za border zetu hata baada ya sisi sote kuondoka hapa duniani.

Huwezi ku-Rank umuhimu wa jirani/nchi kwa kuangalia tu ukubwa wa nchi au idadi ya watu.... Angalia nchi kama Israel, Switzerland, Austria etc.

RWANDA:
90% ya mizigo ya Rwanda hupita ktk bandari ya Dar es Salaam, hayo ni mapato kwetu. Makampuni yetu mengi kama akina Bakhresa, MO Enterprises etc yamewekeza sana Rwanda. Rwanda pia ni muhimu kwa hali ya ulinzi na usalama ktk eneo la maziwa MAKUU ambalo ni very volatile especially kwa mipaka ya nchi yetu ya upande wa magharibi...

KENYA:
Umuhimu wa Kenya ni ktk cross border trade ingawaje wao wanataka kuchukua raw materials toka kwetu na kutuletea finished goods. Zaidicya makampuni 500 ya Kenya yamewekeza TZ ingawaje mtaji wenyewe ni less than USD 1.5 billion which is paltry ukilinganisha na idadi ya hizo kampuni. Kenya inazuia wafanyabiara wetu wakubwa na wadogo kama akina Rostam Aziz, Bakhresa, MO Enterprises na akina mama wauza mahindi mipakani kufanya biashara Kenya lakini wao wanataka kuja kufanya biashara TZ....

Kwenye mambo ya geopolitic diplomacy ni lazima uwe sober badala ya kuamua mambo emotionally....
 
Hili wazi lako ni wazo mfu.

Kwani wafanyabiashara watanzania wanashindwa nini kwenda kuuza mahindi moja kwa moja katika hizo nchi ulizozitaja? Ubunifu wa wafanyabiashara wetu ni 0+. Kenya ingekuwa ni nchi ya kupitishia bidhaa zetu na kuzipeleka zinakohitajika na siyo kutegemea wafanyabiashara wa Kenya ndiyo wapeleke bidhaa zetu sokoni.

Ubunifu huu ndiyo inatakiwa upatiwe ufumbuzi na Serikali yetu na wafanyabiashara wetu. Siyo kulazimisha mahusiana na nchi ambayo inakupenda kutokana na kunafaika na wewe. Rafiki wa kenya ni rafiki mwenye kuinufaisha Kenya. Lakini ikionekana ww utanufaika na kenya huo ndiyo unakuwa mwisho wa urafiki na wajinga hao.
Huna ujuwalo wewe sukuma gang
 
Kwanza nikulaumu kwa kuonyeshesha wazi wazi kulaumu uongozi wa awamu ya 5 na kuisifia awamu wa 6. Kama mchokonozi au mwanzilishi wa mada hukutakiwa kuonyesha upande. Hiyo ingepelekea wachangiaji kutochangia kiushabiki.

Yote kwa yote elewa kwamba kuna nchi nyingi ambazo hutegemea nchi nyingine kama vyanzo vyao vya mapato. Ni kwa mda mrefu sana Kenye imeitegemea TZ kama chanzo chake cha mapata÷
1. Kwa kutuuzia bidhaa zao za viwandani
2. Viwanda vyao kuendeshwa kutokana na law material za TZ.
3. Kuuza madini yetu kama kwamba wao ndiyo wamiliki au wachimbaji wa madini hayo (alikuwa ni No 2 kwa mauzo ya Tnite Duniani)
Baada ya JPM kuzuia huo ujanja/wizi wake ndiyo wakaanza fugisu figisu ambazo hazina maana.

Pia kumbuka Rwanda ndiyo chanzo cha machafuko ya DRC. Wanaendeleza na kufadhili machafuko hayo kwa maksudi ili waendelee kuwaibia madini yao.

Kwa hiyo hili swala la Kenya na TZ usiliangalie juu juu au kwa mapenzi ya maraisi wetu. Choko choko ya Kenya na TZ hazikuanza leo. Hata JKN na Kenyata walivurugana sana. Kwa Mwinyi ndiyo ikawa kimya kwa sababu mzee mwinyi sera yake ilikuwa ni ruksa kwa kila kitu.

Kumbuka kwa kikwete jumuia yote ya EA walimtenga. Hasa Kenya na Rwanda. Sbb ya kumtenga mimi na wewe hatuijui. Lakini pia ilikuwa wakifanya vikao bila kumhusiha Kikwete.

Wazo la Samia ni wazo sahihi. Lakini aangalie tusije ingizwa choo cha kike. Wakenye wana uweze mkubwa sana wa kucheza na fursa. Wakiona mama anawabana lazima wataanzisha ujinga wao. Kumbuka waliturudishia dhahabu ambayo hawakuwa na sababu ya msingi ya kuturudishia. Kwani waliyokuwa na dhahabu hiyo waliinunua na siyo kwamba waliiba. Na kwa habari ya chini ya capet ni kwamba waliyokuwa na dhahabu hiyo walifidiwa pesa yao na serikali yao. Je walikuwa na umuhimu gani kuturejeshea hizo dhahabu? Wakenya nenda nao kwa umakini mkubwa na siyo kiushabiki.
Afadhali ungeandika kinyarwanda tungeelewa
 
Ulikuwa Ni ushamba sana kuitupa Kenya na DRC na kuikumbatia Rwanda
Kenya na DRC Congo, ndio mataifa ambayo Think Tank wa Serikali ya Tanzania wanatakiwa wayakumbatie. Huwezi kuendelea bila ya kuwa na washirika wa kipekee ambao wanakuletea hela kwenye biashara. Kenya ndio uti wa mgongo wa wakulima wa Tanzania, Congo ndio tumaini la bandari ya Dar kwa import na export. Soko la mazao mengi Morogoro lilikufa pale wakenya walipoacha kuja nchini Tanzania toka 2016. Tunashukuru sana Mama samia kwa kuondoa vikwazo hivyo. Sisi Morogoro tunawaitaji zaidi Wakenya maana wananunua mazao yetu kwa bei nzuri sana, kuliko tunavyowaitaji Rwanda ,Burundi,Uganda au Malawi.
 
Rwanda na Burundi ndiyo marafiki na ndugu wa damu wa Jiwe ndiyo maana akawa anamkorofisha sana Uhuru Kenyatta
 
Rwanda itakua na kitu fulani, kwanini inajadiliwa Sana!!?

Kunashida gani Kama Kenya na Rwanda wote wakawa marafiki zetu?!!

Kinachonisikitisha nipale tunapojadili kwa kuonyesha kuhofia ka nchi kadogoo.

Rwandese ni ndugu zetu, tukitaka kujua nenda mwese-Tabora, nenda Kigoma, nenda karagwe, nenda Ngara, nenda muleba na Biharamulo.
 
Hili wazi lako ni wazo mfu.

Kwani wafanyabiashara watanzania wanashindwa nini kwenda kuuza mahindi moja kwa moja katika hizo nchi ulizozitaja? Ubunifu wa wafanyabiashara wetu ni 0+. Kenya ingekuwa ni nchi ya kupitishia bidhaa zetu na kuzipeleka zinakohitajika na siyo kutegemea wafanyabiashara wa Kenya ndiyo wapeleke bidhaa zetu sokoni.

Ubunifu huu ndiyo inatakiwa upatiwe ufumbuzi na Serikali yetu na wafanyabiashara wetu. Siyo kulazimisha mahusiana na nchi ambayo inakupenda kutokana na kunafaika na wewe. Rafiki wa kenya ni rafiki mwenye kuinufaisha Kenya. Lakini ikionekana ww utanufaika na kenya huo ndiyo unakuwa mwisho wa urafiki na wajinga hao.
Sup mfanyabiashara kwa hiyo unachokiongea ukijui kabisa ni kama mgogoro wa SA na Zimbabwe ulivyotucost unaongea kirahisi kwa utapeleka mazao Sudan kwa ubunifu sijui akili day wapi baada ya kutatua matatizo unafikiri ubunifu..
 
Back
Top Bottom