Urafiki na Rwanda vs Urafiki na Kenya upi una Manufaa Kwa Tanzania?

Mama afungue njia upande wa kusini na central kuanzia Msumbiji, DRC, Angola Malawi, Zambia mpaka Namibia na Botswana.. huko kuna population kubwa na mahitaji mengi...tukiweza kuwaleta hapa na watu wetu wakafika huko kibiashara basi mambo yanaweza kuwa murua kuanzia uchumi wa jumla na wa watu mmoja mmoja..
 
Mimi Kama Mkenya Napenda comment Zenu Watz,Hivi karibuni naona uhusiano wetu uki kua kabisa kuliko enzi za kitambo,Tukiendelea hivi Tutakuwa Kama Canada and USA ya Africa,God Bless🔥🔥
 
Kenya ina afadhali, Rwanda ipo kojasusi na kipelelezi Kwetu. Kagame sijui anataka nini.

Rais Samia Suluhu unapotaka kuitembelea Rwanda Kuwa Makini na Rais Kagame. Kagame ni solid Dictator na mwona mbali mno kuliko kiongozi yeyote Africa hii. Ukiongeanaye na kukubaliananaye ukimpa kisogo anakumaliza.

Rwanda kwa mipango yake hiyo imechomeka majasusi nchi jirani zake mbalimbali. Yupo tayari kutumia majasusi wa kike Malaya kupeleleza au kuua viongozi wakuu wa nchi hizi na wapinzani wake waishio huko.

Kagame anapeleleza Sana mifumo ya ulinzi wa nchi jirani. Jirani akizubaa tu, huchomeka vijana wake ktk mafunzo ya kijeshi ya nchi husika na kijifanya raia wa nchi hiyo. Pia hutaka kutumia fursa za rasilimali za nchi jirani. Congo ni waathirika wakubwa Sana japo sisi pia hatupo salama kwani anatusaka kwa kutupeleleza usiku na mchana.
Kagame huyu huyu aliyefundishwa ujasusi monduli ndio wa kuivimbia Tz?
 
Hayo mambo ya undugu na urafiki ni lugha ya kidiplomasia huko duniani maana watu wanaitumia pale inapokuwa na maslahi kwao, Ila ni huku bongo tu ambapo bado tunayong'ang'ana nayo as if ni kitu halisia

Ongeleeni tu maslahi maana mambo ya undugu na Urafiki HAYAPO
Ujamaa ulituharibu sana.
 
Rwanda wilaya tu ya Ifakara ndo iwe mbadala wa Kenya? Alafu huyo mtu ni wa kukaa nae mbali. Si alitudhulumu huyo mtu?
 
Tz/ Kenya = Ssc/Yanga ...unapoungana na mpinzani utapata wapi nguvu ya kushindana!? Ili ufike pale alipo na ikibidi umshinde ... Kijiografia/rasilimali Sisi na Congo ni mijtu mikuu sana ila hatujajielewa tuu !
 
Kenya ina afadhali, Rwanda ipo kojasusi na kipelelezi Kwetu. Kagame sijui anataka nini.

Rais Samia Suluhu unapotaka kuitembelea Rwanda Kuwa Makini na Rais Kagame. Kagame ni solid Dictator na mwona mbali mno kuliko kiongozi yeyote Africa hii. Ukiongeanaye na kukubaliananaye ukimpa kisogo anakumaliza.

Rwanda kwa mipango yake hiyo imechomeka majasusi nchi jirani zake mbalimbali. Yupo tayari kutumia majasusi wa kike Malaya kupeleleza au kuua viongozi wakuu wa nchi hizi na wapinzani wake waishio huko.

Kagame anapeleleza Sana mifumo ya ulinzi wa nchi jirani. Jirani akizubaa tu, huchomeka vijana wake ktk mafunzo ya kijeshi ya nchi husika na kijifanya raia wa nchi hiyo. Pia hutaka kutumia fursa za rasilimali za nchi jirani. Congo ni waathirika wakubwa Sana japo sisi pia hatupo salama kwani anatusaka kwa kutupeleleza usiku na mchana.
Ashatupata kitambo. Kuna uwezekano mmoja wa watu wake walishawahi kuliongoza taifa
 
Kisiasa Tanzania, Kenya na Rwanda zaweza kujadiliwa na kulinganishwa kama nchi.
Kiuchumi Rwanda kuwekwa kundi moja ni ujinga.
Kuna wapumbavu wanaojidanganya kuwa Rwanda yaweza kuwa tishio kwa Tanzania na kuipa sifa za kijinga. Hicho ni kitu kisichowezekana. Ni lini paka aliwahi kushindanishwa na tembo?
Rwanda kwa kundi lake la vinchi vidogo ipo vizuri, lakini isilinganishwe na Tanzania au Kenya
kwa vyovyote vile zaidi ya siasa na diplomasia.
Hata kijeshi, Tanzania itahitaji muda mfupi tu kuisambaratisha Rwanda kwa sababu ya wingi wa rasilimali (watu na vifaa).
 
Kumekuwa na maneno na hofu kutoka kwa baadhi ya Watanzania hasa baada ya Raisi Samia kufanya juhudi za kuurejesha tena uhusiano na Kenya ambao ulidhoofika sana awamu ya Tano.

Awamu ya Tano iliona Ni muhimu zaidi kuikumbatia Rwanda ya Kagame kuliko Kenya. Ikafikia wanyarwanda hadi wanakuwa sehemu ya mfumo wetu wa ulinzi kwa kiongozi wa juu.

Naomba tujadili ni upi uhusiano wenye Kati ya haya mataifa mawili una manufaa kwetu kama nchi.
Kila nchi ni muhimu kwa upande wake. Mfano kama lengo ni udikteta na unyanyasaji basi Rwanda ni muhimu. Ila kama lengo ni uchumi na demokrasi kiasi basi Kenya ni muhimu, kwa hiyo inategemea tunahitaji urafiki na uhusiano wa aina gani
 
Kenya ni ndugu zetu wa damu. Hawa wachaga na wapare unaowaona ni wakenya waliohamia kutoka Kenya kutoka katika makabila ya wakamba na wakikuyu. Na bado tumeunganishwa na kiswahili. Pia ndo nchi ya 5 kwa kuwekeza nchini, hivyo inasaidia kuinua uchumi
 
Ni Nchi ya 2 kuwekeza nchini na sio ya 5.
 
Utajua tu shoga linalowashwa linavyong'ang'ania wanaume. Kafie mbele mkundu kunuka wewe
Niko na baba yako hapa amechora 7,nina mpaka whitedent apate ubaridi afirike siku nzima.

Ana kitu tight kinyamaaa.
Shoga ni mama yako ninae mfira kila siku
Na bora kua mpumbavu kuliko kua shoga kama wewe.
Mnaharibu thread mbona ilikuwa vzr tu
Haiependezi kutukanana wazazi kisa tu Kenya na rwanda
 
Back
Top Bottom