Mtafute muongee upweke uisheNimemnunia na mimi![]()
Inategemea na mbichwa wa mtu.Kuna wengine hadi 45 years of age.Foolish age mwisho miaka mingapi ?
Nimecheka kingamba kikiwa mdomoni 😆😆😆Inategemea na mbichwa wa mtu.Kuna wengine hadi 45 years of age.
Aiseee🙄, naomba tulimalize Kama wanaume🙏🙏.Nimesha mwambia ulivyo hauna adabu umedukua akaunti yangu, sasa wewe ndio anakusubiri kesho akiwashe kwa kutuchonganisha...🤣🤣🤣
Ubingwa umerudi?Mwaya utapata hadi wakuoana naye
Timu Madomo Zege.Habari wakuu
Sina mengi ya kusema nilikuwa nahitaji marafiki wa kike wa kubadilishana nao mawazo.
Umri wangu ni miaka 21 soon I'll be making 22, elimu yangu kidato cha sita, kazi nimeajiriwa dereva, dini muislam.
Nahitaji msichana umri kuanzia miaka 18 na kuendelea, mengine sijali
Nguvu moja![]()



Huyu anatafuta kitumbua kwa staili ya kutafuta rafiki.Wasomi wa Cuba tumeshamuelewa Kitambo.Mwaya utapata hadi wakuoana naye
Ni uvuvi haram sio?Msimkatishe tamaa ndugu yetu acheni wahusika wamfuate inbox huko