Upungufu wa kinga za kiroho

Upungufu wa kinga za kiroho

Nitarejea nikitulia
Ndio unaweza ku meditate lakini focus yako ikiwa ni kwa Mungu na bila kuchanganya na zile imani nyingine..
Hata Bwana Yesu alimeditate sana na mojawapo ya meditation ndefu ni ile ya kukaa jangwani na kufunga kwa siku 40
 
.
IMG-20180730-WA0010.jpg
 
Huu uzi ulisimama 30 July. ..... nimeu-subscribe ili kuwa karibu nao, una Vito vya hali ya juu..... huwa narudia kusoma comments zote mara kwa mara ili kupata haya madini adimu.
 
Huu uzi ulisimama 30 July. ..... nimeu-subscribe ili kuwa karibu nao, una Vito vya hali ya juu..... huwa narudia kusoma comments zote mara kwa mara ili kupata haya madini adimu.
[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Ninaelimika sana juu ya uzi zako zinanifundisha vitu vingi nisivyovifahamu. Ahsante
 
Back
Top Bottom