Upungufu wa kinga za kiroho

Upungufu wa kinga za kiroho

Mshana Jr Mkuu tafadhali naomba nifahamu hili jambo ni nini au huwenda kimetokea nini? Au linamaana gani

Jana kwenye mida ya saa Tano usiku hivi nilikuwa ndani nimekaa niko JF jukwaa la intelligence nasoma soma habari za hapa na pale huku taa ya chumbani nnimeizima ghafla ikasikika sauti ya paka nje analia kama mara 3 au 4 hivi kwa Dini niliyopo kukemea ni jambo la kawaida ikabidi nitoke nilipokaa na ikabidi niwashe taa ya ndani (NB; eneo ninaloishi ni ndani ya himaya za nyumba za kiroho na haijawahi tokea paka kuonekana au kulia eneo hilo), basi hiyo hali ikatulia nikaendelea kuperuzi mpaka saa 7 na nusu hivi usiku kisha nikazima taa ili nilale.....

Lakini zilipita kama lisaa tu ghafla nikaanza kuhisi mwili kuishiwa nguvu na kukosa usingizi huku nikitaabika, na hii hali iliendelea kila baada ya dakika 3 baada ya kuikemea inaacha then inarudi, nilikosa amani maana ilikuwa inajirudi na mara nyingine mwili unashtuka na ndoto za ajabu ajabu sasa nikawa nafumba macho lakini baada ya dakika 3 hali ni hiyo hiyo..... Sasa ikaendelea uvumilivu ukanishinda nikaamka lakini nikakumbuka kuwa chumvi ni moja ya adui namba moja wa matatizo ya kiroho nikiwa na maana kama unahisi unapata tatizo ukimwaga chumvi linapungua au unaliondoa kabisa hii ni moja wapo ya mbinu niliyowahi isoma humu JF.

Kwahiyo baada ya kuimwaga chumvi kuinenea na kuendelea kukemea hali ilitulia saa kumi na mbili kasoro asubuhi ndio nikapata usingizi....

Tukirudi nyuma mida ya kuanzia asubuhi mpaka saa kumi sikubahatika kutoka nyumbani au kuonana na yeyote yule.... Ila ilipofika saa kumi na moja jioni nilikwenda ofisini kwaajili ya kufanya HBC (Home Based Care) kwa Pt mmoja hivi mwenye miaka 135, na nilipokuwa narudi nilikutana na jamaa mmoja nikasalimiana naye kwa kumpa mkono hivyo nikawa nimehitimisha siku kwa namna hiyo.....

Swali langu ni hili je, ni nini hichi kilikuwa kinatokea na je ni kwanini na kinamaana gani? Wajuvi naombeni msaada hapa maana nawaza usiku wa Leo utakuwaje asante
 
Mkuu naomba niulize hivi watoto wanopatikana kichawi na kishirikina ni watu kama sisi au kuna vitu wamemiss
Je wanaweza shiriki ibada na peponi wanaweza kwenda
 
Huwa kuna vikao vya wanga na wachawi na huwa wanachagua eneo la kufanyia. Na kuna wakati huamua kuchagua SEHEMU ngumu kama hiyo yenu hapo na kutest nguvu zao
Siku nyingine si vikao bali ni makutano ya sherehe zao na karamu kafara za damu na nyama...
Wewe ulikuwa na nguvu za ziada za kiroho ndio maana kukawa na hizo hali
 
Dah.... Asante mkuu
 
.
heart-1463424_640.jpeg

Jr
 
Huku unawekewa mkono wenye unabii bandia, mkono wenye nguvu za kichawi, mkono wa kuzimu unachukua kinga yako halisi na kukuachia bandia
Unaenda kule unapewa kitambaa chenye upako feki unakitumia huku tayari una nguvu ile nyingine
Mara unaenda kupewa kichupa cha maji ya baraka, mara maombezi ya usiku kucha, unaichosha roho yako kwa kukaribisha wageni wane tofauti ambao kila mmoja anataka kukumiliki kiroho
Asante Sana Mshana Jr
 
Nimekuelewa ila waliofanikiwa (kutoboa) hawajui kinga ya kiroho ila kinga ya kidunia. Ukishajua maisha ni mchezo hakuna haja ya kinga ya roho. Fanya utafiti wa kina, hata waliotuletea mambo ya dini za kigeni wanacheza zaidi na ulimwengu wa roho.

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Mshana,vipi kuhusu utaratibu wa kujiombea mwenyewe?kuna mchungaji mmoja aliwah kuniambia ni lazima upitie kwa mitume wake ambao ni wao,la sivyo kuna uwezekano Mungu asikusikilize(Mimi binafsi napinga hii hoja)

Sent from my Redmi 7 using JamiiForums mobile app
 
Sio kweli kabisa huyo ni tapeli na mpigaji.. Tumefundishwa kujiombea wenyewe.. Na maombi binafsi yana nguvu kuliko ya kuombewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amen! Nimekuelewa kweli kweli na 100% upo sawa Mungu akubariki sana sana sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom