Mshana hivi Mungu wa wachina "wabudha" Mungu wa wakorea kaskazini "ukoo wa kim" na mungu wa wa Africa yupi mwenye nguvu,? Lkn pia vipi kuhusu Mungu wa walokole wakeshao makanisani usiku kucha wakimuomba Mungu wakati huo huo hali zao ki maisha ni mbaya unamzungumziaje?
Je, unawazungumziaje watu wasemao mafanikio yoyote hapa duniani yanategemeana na uelewa na maarifa ya mtu?
Kuna mhubiri mmoja alidiriki kusema nanukuu: "its not about halelujah halelujah... Its all about possessing understanding and how things work. " mwisho wa kunukuu