Naomba nikufuate pmPole sana karibu hapa ama kule kuwa huru tuu
Mshana leo umenigusa sana frankly
Mtoto wa kiume machozi yananilenga lenga
I need help
Sahihi kabisa ukishaingiza nguvu hasi yoyote kwenye maisha yako, hapo ndio mwanzo wa vita ya kiroho kwakuwa utataka kufanya mambo mabayaNadhan njia moja wapo ya kulinda kinga ya kiroho ni kutokuwa na chuki,wivu,uoga,hasira,majivuno,tamaa,ghadhabu,manunguniko...mtu mwenye upendo bila kuwa na mawazo machafu uwaga anakuwa na kinga imara sana dhidi ya nguvu mbaya za kiroho
Kichafu hakiwezi kuchafuka tena hao ndio mawakala wa giza wanaopigana dhidi ya nuru.... Usiwape nafasikaka mshana jr hata shetani ana jeshi lake katika ulimwengu wa roho na anawatumia binadamu kama sisi, swali langu je hata wao pia wanakumbwa na upungufu wa nguvu za roho mchafu kama ilivyo kwetu sio ambao tumeamua kumtumikia MUNGU wa kweli? maana wapo ambao kwao lucifer ndio mungu wao
Sema nimeandika kilichokugusa! Kuna mwingine kaona nimeandika pumba!!! Iko hivyo siku zote... Huwezi kuzuia mitazamo na tafsiri za wengine dhidi ya kile ulichoandika...Kwa mara ya kwanza umeandika vema . Kumbe upo kama mtu vile. Ok umekosa kuweka maneno machache tu muhimu sana.
Jina la Yesu.
Damu ya Yesu
Mchana huvijui hivi nikuelekeze? Vipi wewe!
Mshana jr hongera sana.tena karibu Mwanza 1day upige kichwa cha sato mzee.juzi kupitia simu namba yako ulinipa ushauli mzuri sana na kweli niitupilia mbali hizo mambo baada ya kuhangaika kwa muda mrefu sana,toka niweka pembeni hayo mambo now ni kama wiki tatu tu nafikili na nikakimbia kwa MUNGU muumba kwa imani yangu ya ki kristo kwa kweli nimestaajabu sana.jinsi ya nilivyofunguliwa ni kama miaka 7 na kumbe ni 3weeks tu.siwezi sema hapa lakini nimepata ushahidi mimi mwenyewe kwamba mambo ya kishirikina ni kupoteza muda na pesa sana sana,yeyote anaesoma nilichoandika hapa na kama bado anaenda kununulishwa kuku wekundu mala weusi nakwambia unapoteza pesa bule,rudi kwa MUNGU ili siku moja usije ukajuta.Mshana nakushukulu sana ndugu.
JAH RASTAFARI MORNING AFRICA

Karibu mkuu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Aisee takuja kichwa cha Sato ndo ugonjwa wangu